Mpaka sasa Zanzibar hawajui Hussein Mwinyi anawapeleka wapi

Kwa hiyo Kinana ndo anjitapa kwamba anaweza kuwatoa watu kwa namna yoyote,mwambieni wanajipanga kulipiza😂😂😂
 
Hawa ni watu wa Makamba wanatumia mbinu zile zile za miaka ya 2005,wapuuzi sana
 
Hivi si inawezekana kuvunja haka kamuungano ili tuwasubiri wakati kakisiwa kanazama?[emoji848][emoji848]
 
Huyu bwana aliupata Urais kwa mgongo wa Magufuli na wala hakuwa chaguo la Wazanzibar. Alikuja na mikakati mingi ikiwemo ule maarufu wa kukuza Uchumi wa Bluu.
Achana kabisa na Rais Dk.Hussein Mwinyi. Ni mtu wa kazi hasa. Unafuatilia pemba anavyoifungua kiuchumi? Bandari mpigaduri? Nidhamu ya utumishi wa umma, vita ya rushwa na uzembe? Anajenga culture mpya ya utendaji kazi na uwajibikaji Zanzibar. Hii ni injini, wasipo wajibika ole wao...watakumbwa na Fagio la Chuma.
 
Huyu Ni mtoto wa Ali Hassan Mwinyi.

Ali katika kitabu chake mwenyewe na kauli yake mwenyewe alisema/ameandika amezaliwa huku bara mkoa wa pwani.
Proceed
 
Amejivika ushekhe??🤣🤣🤣
 
Mheshimiwa Mungu🤣🤣🤣
 
Alivyopata cheo watu walikua na high expectations sana...ndio tatizo
Watu waliamini Zenji inakuwa Dubeyi au hata kuipita Singapoo, watulie dozi iwaingie waisome namba, CCM ni ile ile.

Pamoja na udogo wake huko kuna WAVIVU ILA MABINGWA WA FITINA, UNAFIKI.

Everyday is Saturday..😎
 
Mnachekesha sana...nilifika Zenji baada tu ya uchaguzi na nikasikiza anavyozungumzwa,nimerudi miezi miwili nyuma nimesikia tena anavyotamkwa jipangeni upya machogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…