Mpaka sasa Zanzibar hawajui Hussein Mwinyi anawapeleka wapi

Mlisema hivyo hivyo kipindi cha mwendazake..punguzeni mahaba au nyie sio watanzania hamna ndugu mijini na vijijini.

#MaendeleoHayanaChama
Ukiniletea post Moja tu niliyomsifia Mwendazake akiwa Rais, nitaomba Mods wa JF wanipe ban ya milele!!

Twende kazi jiwe angavu
 
we kima kweli.. hebu rusha picha hapa ya hiyo bandari ya mpiga duri... Mwinyi sasa hivi anachoweza ni kuhutubia misikitini tu ndio maana anaitwa Shehe Nyundo
 
Mambo ya ndani ya nchi zawatu hayo ... Tujadili yakwetu naana unaowaongelea aamekupa rais mwanamke je? unajua anapokupeleka?
 
umenena kweli tena kweli tupu
 
Nipe ushahidi wa huduma za jamii alizoboresha wakati kashindwa hata kuboresha hospitali
 
Daah wonders shall never end!
Mafisadi mna shida kwelikweli
 
Daah wonders shall never end!
Mafisadi mna shida kwelikweli
Ukitaka kuujua ufisadi wa Mwinyi muulize Mwamunyange.. alikwenda kudai 10% ya ununuzi wa vifaa vya kijeshi kwa Waarabu kilichomkuta anakijua mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…