Konny Joseph
Senior Member
- Aug 28, 2016
- 118
- 199
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wananchi wengi ni bendera fuata upepo, wanaongea tuNchi yetu ina wananchi wengi wajinga sana, hawajui Protocols wala namna ambavyo nchi inaenda, hawajui kazi ya diwani wala ya Mbunge wala ya Waziri
Anayewanyima hiyo elimu ndiyo ajue madhara yakeNchi yetu ina wananchi wengi wajinga sana, hawajui Protocols wala namna ambavyo nchi inaenda, hawajui kazi ya diwani wala ya Mbunge wala ya Waziri
Ni balaa tupuDiwani amekalia kuti kavu
Tozo zimewapukutisha hawana kitu mifukoniipo mikoa mambo modogo ya mitaani kama hayo serikali imeyasusa wananchi wanamaliza wenyewe.
Nadhani hakuna taifa lina watu wengi wanaopenda sifa za kipuuzi na kushadadia mambo ya kijinga kama TanzaniaNchi yetu ina wananchi wengi wajinga sana, hawajui Protocols wala namna ambavyo nchi inaenda, hawajui kazi ya diwani wala ya Mbunge wala ya Waziri
pamoja na tozo bado watu wana save pesa kupitia fursa nyingi zilizopo.Tozo zimewapukutisha hawana kitu mifukoni
Mpelekee moto hadi kieleweke...
Mbona unaninyooshea vidole mimi! Mimi siyo diwani.