Mpaka Tuelewane Mwaka Huu!!!

Mpaka Tuelewane Mwaka Huu!!!

Nchi yetu ina wananchi wengi wajinga sana, hawajui Protocols wala namna ambavyo nchi inaenda, hawajui kazi ya diwani wala ya Mbunge wala ya Waziri
Anayewanyima hiyo elimu ndiyo ajue madhara yake
 
Nchi yetu ina wananchi wengi wajinga sana, hawajui Protocols wala namna ambavyo nchi inaenda, hawajui kazi ya diwani wala ya Mbunge wala ya Waziri
Nadhani hakuna taifa lina watu wengi wanaopenda sifa za kipuuzi na kushadadia mambo ya kijinga kama Tanzania
 
Aliyesema anahaki,,kwa sabbabu madiwani na wabunge wkati wa kampeni wanasema mkinichagua nitajenga Barbara ,,mara nitakenga madaraja,,sasa ikifika wakati wakuwajibika inabidi awajinike basi
 
Back
Top Bottom