Mpaka wa Namanga wafungwa kwa muda baada ya Kenya kuwazuia madereva malori kutoka Tanzania kwa kutokuamini vipimo vyao vya #Corona

Mnasema kwenu wagonjwa wamebaki wanne, balozi wa Marekani anatoa taarifa yake anaonesha hali bado mbaya, nani atawaamini nyie?

Hamuwezi kuchakachua hivyo vipimo kuwalinda madereva wenu?

A second thought also is a thought, huwezi kumdharau mtu simply bcoz kabadilisha msimamo wake, kama una akili timamu jiulize why?

There is nothing clear over there, unless you are myopic.
 
Kwenye hili la corona wako sahihi tupunguze matumiz ya bangi za kolomijr ktk kukabiliana na jambo hili
 
Tatizo lipo Tanzania! Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu. Ukute madereva wote kutoka Tanzania wanapewa tu vyeti hata Corona hawapimwi tena kwa sababu Tanzania inaamini kuwa Corona ilishaisha!
Wewe Una mwamini zaidi jirani yako kiasi cha kumwachia familia yako akulindie ukiamini utaikuta salama hajaichakachua, Jiamini wewe
 
Piga lock hakuna kuingia wala kutoka Wakenya mda siyo mrefu watakuja kulialia tena kwa Prof Kabudi tuyamalize..
 
Tumieni akili acheni hasira, matendo yenu yanaleta aibu kwa taifa, mjifunze kusikiliza wengine.

Hapa ndio mtajua ule uongo wenu wa wagonjwa kupungua huwa mnajidanganya wenyewe.
Uko nyuma ya Wakati mkuu, wenzia Hilo faili karibu tunalitupa kabatini wewe bado unataka lianze upya kusomwa, punguza mahaba na Mpenziyo Covd bhana,
 
Naona uko so emotional. ukiweka emotion kwenye hili swala utatoa majib ya ajabu. Ningeoendekeza uweke logic.
Siwatetei wakenya.. ila the way nionavyo mimi. Wao ni nchi huru na wana maamuzi yao.
Sidhan kama wanafanya maamuzi kumkomoa JPM. Wanafanya maamuzi kuokoa wanachi wao. Wana case nyingi za corona..so wako on high alert.
Haya masuala ya kuona kuwa tunaonewa ni victim mentality ambayo haitusaidii kwa lolote.
 
U serious unakuja wapi mkuu,ushaambiwa corona haishi leo wala kesho tutaishi nayo, hii corona ni vita ya kiuchumi, tusipokaa sawa mataifa mengi yatadondoka kiuchumi,Mkuu unaijua TB?
TB ni pandemic?
 
Unazungumzia herd immunity.? Incase hujajua yako mataifa machache yaliyofanikiwa kuudhibiti huu ugonjwa. Wamewezane wao? Kwann wengine wana struggle?
 
Kuna wakati lazima upigane kutafuta Amani, Kenya anachokifanya ni kujidekeza tu nakujiliza liza Sasa Huyo dawa yake ni kuchukua maamuzi magumu walau ya Mwezi mzima ivi ili atie akili, Waswahili wanasema mtoto akililia wembe, kama tunakaa nao mezani tunapanga then wanaenda huko na kugeuka basi wanahitaji adhabu
 
U serious unakuja wapi mkuu,ushaambiwa corona haishi leo wala kesho tutaishi nayo, hii corona ni vita ya kiuchumi, tusipokaa sawa mataifa mengi yatadondoka kiuchumi,Mkuu unaijua TB?
Kwasababu mapema. Hamaanishi watu warelax. Wasichukue hatua zozote.
Hapa lazima tujue kuwa kila nchi inatofautiana kumkakati na kimipango kwenye kupambana na corona. Hatuezi fanana hata siku moja.
Yes kupitia janga hili kuna vita ya uchumi.. lakin hatuwez fanana kimbinu. Wao.wana zakwao. Sisi tuna.zetu.
 
Yaani mtu akikaribia kufilisika lawama zake ni kulogwa kuibiwa nk! Tanzania tupunguze lawama.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Usishau na eti anapigwa vita, anaonewa wivu, anahujumiwa nk!! Tumewatangazia dunia kuwa hatufanyi tena upimaji kwa sababu hatuna tena corona - halafu watu wanatokea na vyeti vimejazwa majibu bila vipimo kufanyika!!
 
Suppose you're a president of the United republic of Tanzania, what you can do to fight against Covid-19 without affecting daily human activities and economic development of your country.
 
Uko nyuma ya Wakati mkuu, wenzia Hilo faili karibu tunalitupa kabatini wewe bado unataka lianze upya kusomwa, punguza mahaba na Mpenziyo Covd bhana,
Sasa bahati mbaya nyie mkipuuza kwa ujinga wenu, majirani zetu wanagoma kufuata ujinga wenu wa kupuuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…