Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Mwanzoni ni kama ilikuwa hivyo. Madereva wa Tanzania wakaja juu kwamba karibu 6 katika 10 wanaopimwa wanaambiwa wana Corona. Wakasema hawaamii vipimo vya Kenya, wanaonewa nk, ndio ilaleta mgogoro.Ni ngumu lakin ndio solution iliyobaki. Watu wapimwe mara 2.
Atoke na cheti tz. Akifika kenya napo apimwe.
Unajua shida yetu sisi tunaona kama vile tunaonewa.
Njia uliopendekeza ndio naona iko sawa. Maana sasa kama kuaminiana kumeisha. Lazima twende na logic.
Nadhani unaweza kuelewa kwa nini Kenya wanashituka ikiwa katika madereva 10 wa Tanzania waliokuwa wanawapima walikuta 6 wana Corona, kwa wastani. Leo Tanzania ikiwapima hao madereva wanaonekana karibu wote hawana Corona!