Pre GE2025 Mpaka yanatumika magari kutangaza birthday ya Rais Samia lakini bado kiki imebuma. Safari hii watanzania wamenuna kwelikweli!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uchaguzi utawajua watanzania na ccm yao mtabaki kusema tumeibiwa tumeibiwa
 
Kama isingekuwa huo mkutano basi leo ikulu kungekuwa na "shughuli" na tarumbeta mpaka sare watu wangekata.
Usikute na haya mapumziko yangeendelea kuwekwa.

Naipenda nchi yangu. Acha niisave hii tarehe ili mwakani InshaAllah nikate keki na rais wangu.
 
Mchi hii ilipo fika naona hakuna wa kuiokoa
 
Viongozi wanawafundisha wananchi uchawa wa hovyo kabisa!!
Sherehe ya birthday nisherehe binafsi ya mtu haifai viongozi wa serikali kukaa wanaimbaimba 'hepibesdei' siku nzima.
Kujipendekeza Kwa mtu nijambo lahovyo ambalo Mungu hapendi fyongozi wetu waache kumpa binadam sofa na utukufru
 
Birthday! Jamii inahamasishwa iachane naa mambi ya hovyo wewe unatuletea vya namna hiyo. Itusaidie nini sasa.
 

Hapa nafikiri bendera ya Taifa zimetumika vibaya. Wajuzi toeni ufafanuzi. Je hii ni sawa?
 
Kiroho siku ya kuzaliwa ni moja tu, ambayo umetoka tumboni mwa mama basi aya mengine huwa ni mapambio, siku itakua ile na tarehe ,ila sio masaa , au mpambano ulikuepo mpaka unakua Duniani.

Hii kwangu huwa sioni maana yoyote bali kujifariji tu
 
Kwa mwenendo huu, Tanzania inakuwa nchi ya kifalme very soon
 
Wanao fanya hayo ni machawa sio yeye.
Na hawezi kugombana nawo.

Kama wewe unataka kufanya birh day Lissu hakuna wa kukuzuwia fanya.
 
CHADEMA wanapata tabu kwa lipi sasa? Yaani hawafanyi lolote na bado mnahangaika, wakikohoa tu mnapoteana wote huko Lissu kajua kubadilisha upepo mpaka mnapata mhaho
Dah, hv unajisikia hata mwenyewe?!!!!
Naona mnajitahidi kuforce umaarufu kwa kujinasibisha na Chama kubwa. Hakuna mtu rahisi kudeal naye kama huyo.......ni suala la muda tu.
 
Yaani wanawaambia watanzania akina mama wapasuliwe mikasi na waume zao wakati wa kujifungua. Hakika mungu atawanyoosha matapeli safari hii
 

Acheni mambo ya ki- Korea Korea hapa TZ
 
Wenye connection huko chichiemu mtuambie bado hawajatoa chupi zenye maandishi ya uchawa? Mana tisheti tumezichoka ,kofia ndio kabisaa tunataka chupi sasa tukipelekana magesti tuonyeshane
 
Sasa mnaweza kuelewa ni kwa nini Trump anawaona viongozi wengi wa Africa ni kama "hamnazo" hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…