Kaa chini ushaanza🤗Kujipendekeza tu, tumbaku zao
Kabisa kama vile kuwaengua wapinzani kwa 96% kweli watanzania na CCM yao hata ikibidi kuwaengua wapinzani wako tayari, au siyo?Uchaguzi utawajua watanzania na ccm yao mtabaki kusema tumeibiwa tumeibiwa
Eeh; ndio maana bora kusoma nyuzi za kule International news, kule kuna wachangiaji wanakupa burudani; utasikia "kobazi" mara Yahudi, kafiri hivo yaani, ilimradi msomaji huboreki. Sio huku mambo ya uchawa tu...Ni miundombinu yetu Watanzania, sio mali ya kiongozi fulani.
Kaulize masheikh! Halijafanikiwa jambo la watu ambao kiongozi wao mkuu ni mwanamke,ndivyo ilivyo.Nchi haina dini (siyo ya kidini) Mkuu, yeyote bila kujali imani yake anaweza kuwa kiongozi
DUUMwenyewe nimeshangaa hapa mbeya nimekutana na gari la ccm linatangaza eti leo ni birthday ya Rais Samia watu wakawa wanawazomea.
Embu tutolee huo upupu wako hapa, hao wanaume waliopita wamefanya nini cha tofauti na alichofanya Samia? Wote ni upupu, na kwa maeneo mengine ni worse... hizo chuki zako za kijinsia baki nazo mwenyeweKaulize masheikh! Halijafanikiwa jambo la watu ambao kiongozi wao mkuu ni mwanamke,ndivyo ilivyo.
Ukweli wa Mwenyezi Mungu wa kiislamu siyo upupu wala chuki za kijinsia,kuwa na heshima kwa dini kijana. Kama hujui nimekwambia kaulize masheikh wapo. Halafu alichofanya Samia na walichofanya wanaume ni kuna mjadala wake tofauti ujue.Embu tutolee huo upupu wako hapa, hao wanaume waliopita wamefanya nini cha tofauti na alichofanya Samia? Wote ni upupu, na kwa maeneo mengine ni worse... hizo chuki zako za kijinsia baki nazo mwenyewe
Hahahah hamna chanusuper woman wala niniIla mwanamke ni mwanamke tu kwakweli 😁
Tabia zetu ni zile zile, hata hii ya kufukuza watoto mbele ya wageni ni tabia za kina mama 😁Hahahah hamna chanusuper woman wala nini
Kweli kabisaaaa kakaSasa barabara zimefungwa hakuna raia mjini wanatangaza kwa nani ?
Halafu kuchora picha ya mtu juu bendera ya taifa ni uhuni, kesho na Lissu akiweka picha yake itakuwa sawa ?
Hahahaa haha hahaKwanini Samia asitumie Mapolisi kutangaza Birthday ili raia tushangilie tusiposhangilia tuswekwe ndani bila dhamana au tubambikiwe kesi.