Sangizi
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 1,942
- 4,230
Zuchu angetumbuizaKama isingekuwa huo mkutano basi leo ikulu kungekuwa na "shughuli" na tarumbeta mpaka sare watu wangekata.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zuchu angetumbuizaKama isingekuwa huo mkutano basi leo ikulu kungekuwa na "shughuli" na tarumbeta mpaka sare watu wangekata.
Angechekesha tu.Zuchu angetumbuiza
We acha tu mkuuWe unaonaje Mkuu?
Kama uko Mbeya tuonane tafadhaliMwenyewe nimeshangaa hapa mbeya nimekutana na gari.la ccm linatangaza eti leo ni birthday ya Rais Samia watu wakawa wanawazomea.
Sasa barabara zimefungwa hakuna raia mjini wanatangaza kwa nani ?
Halafu kuchora picha ya mtu juu bendera ya taifa ni uhuni, kesho na Lissu akiweka picha yake itakuwa sawa ?
Kweli JPM alikua mtu na nusu wallah, wanatangazia kwenye miundombinu yake.
Ngoja niende zangu kule kwa kimataifa nikasome story za kobazi, Yahudi, kafiri mara CIA, MOSSAD au promise 3 ya Iran. Nyuzi za huku siku hizi hazina maana kabisa
Mkuu,kirahisi hivyo?Kama uko Mbeya tuonane tafadhali
Kama ile ndege ya MalaysiaNchi imepotelea kusikojulikana.
🤣🤣🤣🤣🙌mpaka sare watu wangekata
Na ukute haelewi kinachojadiliwa😆Nahisi hapo kwenye mkutano akili yake haipo kabisa, analaani chini chini.
Bi mkubwa mlakay ajibu comment kwenye social network lakini bado.Wakuu,
View attachment 3215630
CCM ndio mko deparate kiasi hiki?Nguvu kubwa sana inatumika kumpaisha 'mama' lakini watanzania wamegoma kutoa kiki
Barabara zimebaki nyeupe muonekane kwa uzuri lakini bado haijasaidia![]()
![]()
. Wasanii kwenda kula keki na kugawa mitungi nako hakujasaidia kupaisha kiki hata ikafika hapo Morogoro tu. Ni huzuni
.
Mnatumia mpaka rasirimali zetu vibaya mradi tu kumpaisha mama lakini wapi. Hiyo hela ya mafuta mnachezea hapo si bora ingeenda sadia mtu mwenye uhitaji ikamsogeza kidogo.
Pia soma: Pre GE2025 - Chamwino wakata keki kumtakia heri Rais Samia. Wahusisha mpaka wanafunzi kwenye tukio hilo! Hii ni sawa?
Bado mtaisoma namba kama mwimbo wenu unavyosema mpaka akili ikae vizuri😂😂. Ni mwendo wa mikausho mikali tu kama hatuwaoni vile.
Watanzania wa jana si wa leo, tongotongo zinaanza kuondoka na mwangaza kuonekana.
Chawa mnasemajeeeeee..... tumewashika mwaka huuu mtakauka![]()
Kuna wakati jijini "Daslamu" kulikuwa na mabango kibao yenye picha yake. Yaani utadhani Egypt enzi za Hosni Mubarak. Kila sehemu mipicha ya Rais. Upuuzi kabisa.Wakuu,
View attachment 3215630
CCM ndio mko deparate kiasi hiki?Nguvu kubwa sana inatumika kumpaisha 'mama' lakini watanzania wamegoma kutoa kiki
Barabara zimebaki nyeupe muonekane kwa uzuri lakini bado haijasaidia![]()
![]()
. Wasanii kwenda kula keki na kugawa mitungi nako hakujasaidia kupaisha kiki hata ikafika hapo Morogoro tu. Ni huzuni
.
Mnatumia mpaka rasirimali zetu vibaya mradi tu kumpaisha mama lakini wapi. Hiyo hela ya mafuta mnachezea hapo si bora ingeenda sadia mtu mwenye uhitaji ikamsogeza kidogo.
Pia soma: Pre GE2025 - Chamwino wakata keki kumtakia heri Rais Samia. Wahusisha mpaka wanafunzi kwenye tukio hilo! Hii ni sawa?
Bado mtaisoma namba kama mwimbo wenu unavyosema mpaka akili ikae vizuri😂😂. Ni mwendo wa mikausho mikali tu kama hatuwaoni vile.
Watanzania wa jana si wa leo, tongotongo zinaanza kuondoka na mwangaza kuonekana.
Chawa mnasemajeeeeee..... tumewashika mwaka huuu mtakauka![]()
Mzalendo wa kweli Mwalimu Nyerere hakuwahi kutafuta kiki za kipuuzi kama birthdaysHiyo birthday Ina tija gani Kwa taifa, inampunguziaje maskini bei ya sukari!
🤣🤣🤣🤣🤣Kwanini Samia asitumie Mapolisi kutangaza Birthday ili raia tushangilie tusiposhangilia tuswekwe ndani bila dhamana au tubambikiwe kesi.