Inatia huruma sana na pengine labda ni ufaa kwenye utosi..sababu inakuaje mwanaume unaejitambua kuandika uzi wa namna hii??
Mwanaume unaejitambua Unakuwaje na gallery yenye picha kama unazopost wewe..??
Unaweza ukakana uraia wako na kulia kabisa kuona kuna wachangiaji..rubbish kabisa!!
Umemuona mtaaalamu wetuvwa kukosoa? Anakwambia yy ni team negativity.[emoji144][emoji144][emoji144]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo hakawii kuhoji "hiyo mumie si ndo mama mzazi? Sasa inakuaje unaniita mama mzazi wakati tunalala kwenye likitanda kimoja!"
Yote 9, kumi kukoroma... we bhana wee! Hata zile swaga za ukoromaji wa kisista duh; hawana! Pua wanaliachia tu kama exsosi ya Bajaj... hapana kwa kweli!
Usijali, yule amekupenda mwenyewe, anajua utamtosheleza.
Usijali, yule amekupenda mwenyewe, anajua utamtosheleza.
Wa mkoani ni wife material.
1: wanajua mapishi ya asili
2: wanauwezo wa kumudu game (4-5) per night ni kitu cha kawaida
3: mayai yao yapo karibu.Ukigusa tu mtoto
4: hawana shida kunyonyesha( mtoto atabebwa mgongoni,
Nitarudi baadae
Wangekua hawapiki Dar nzima si tungekufa njaa?Tatizo wanawake wa dar ni fake kuanzia nywele, kucha, rangi ya mwili, mpaka wanaweka bikra fake siku hz. Muda mwingi wao kutengeneza mwili sijui wanapika saa ngapi
KISA CHA KWELIKwa wanawake wa kijijini usimruhusu awe na mashoga wa kishua hapo mjini pamoja na kwamba wataanza kutaka kujenga urafiki na yeye ili wamfahamu na waijue kazi ya mumewe waanze kumuibia, na huku wanamshauri awe anavaa kama wenzie hapo ndio tatizo hutokea na kuanza kubadilika utasikia tu kuwa mbona mimi sivai kama wengine. utasikia naye anataka aanze kwenda kufanya biahsra ndogondogo hataki kumtegemea sana mwanaume. kwenda kuchukua kijijini lazima uwe na mipango ya mazinginra ambayo unataka mkeo ayaishi na lazima umwambie akiwa huko huko kuwa bwana tunaenda mjini kuna 1,2,3 na sitaki hivi basi. lazima ajue kuwa akitoka nje ya mstari mtakorofishana
Unasema mademu wa musoma ni rahisi sana kuwagonga hakafu unataja KIABAKARI NA MWANZA. Hujui musoma ni wapi, mwanza ni wapi na kiabakari ni wapi?Ila mademu wa musoma jamani ni rahisi kuwagonga yani ni kumsukuma mlevi nimepamiss sana kiabakari na mwanza
Kwa habari hiyo, Wanawake wa Dar hawafai ( sio kwa kanzu wala sanda msemo wa bibi zetu)KISA CHA KWELI
Kuna jamaa yangu mmoja alikuwa best sana.. Miaka ile ya kusota na maisha tulikuwa pamoja sana.. Anaitwa Chacha RIP alikufa kwa frustration za mwanamke... Kwenye simulizi zangu za Ubungo kibo au maisha yangu ya miaka ya 90 Dar huwa sikosi kumtaja
Jamaa aliamua asioe mjini akaenda kijijini kwao huko mkoani Mara akapata kitu white fulani hivi kuku wa kienyeji wa ukweli sana.. Akakileta mjini... Mtoto ana adabu zote alizofundwa huko alikotoka... Ukitoka ukirudi shikamoo shemeji...
Sasa mimi nilikuwa msela tu hivyo nikipata nampa Shem anapika tunakula
Miezi mitatu ya kukaa mjini mingi binti akaanza kubadilika... Wanawake wale wa mjini Ubungo kibo mtaa wa Rombo kule chini wakaanza kumfunda... Binti naye akaacha mafundo ya kwao kijijini na kuanza kupokea sumu
Shikamoo shemeji zikaanza kukata.. Mshkaji wangu yeye alikuwa anafanya kazi chuo kikuu hivyo anawahi kuondoka.. Mimi nafanya pale Kibo hivyo nachelewa kuondoka..
Jamaa yangu akawa anaacha kuanzia pesa ya vitafunio mpaka ya chakula cha siku nzima mpaka jioni.. Mwanzoni ilikuwa nikitaka kununua kitu, Shem anakataa anasema keshaachiwa hela na inatosha... Loh alipolishwa sumu na zikamkolea tuliisoma number nikiamka hakuna shikamoo tena na pesa ya vitafunio nitatoa.. Mchana lunch nitatoa pesa ila nitapewa ugali na samaki wakavu wale wa mafungu...
Ile ndoa haikudumu.....
Baba nimekubali hiyoNo Comment