Mpambano mkali sana: Wanawake wa Dar vs wa mikoani

Inatia huruma sana na pengine labda ni ufaa kwenye utosi..sababu inakuaje mwanaume unaejitambua kuandika uzi wa namna hii??

Mwanaume unaejitambua Unakuwaje na gallery yenye picha kama unazopost wewe..??

Unaweza ukakana uraia wako na kulia kabisa kuona kuna wachangiaji..rubbish kabisa!!
[emoji144][emoji144][emoji144]
Umemuona mtaaalamu wetuvwa kukosoa? Anakwambia yy ni team negativity.
CC. hearly
 
Hapo hakawii kuhoji "hiyo mumie si ndo mama mzazi? Sasa inakuaje unaniita mama mzazi wakati tunalala kwenye likitanda kimoja!"
Yote 9, kumi kukoroma... we bhana wee! Hata zile swaga za ukoromaji wa kisista duh; hawana! Pua wanaliachia tu kama exsosi ya Bajaj... hapana kwa kweli!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mshana jr toka jana niko dar kwa muda wote wa kazi ntakuwa dar es salaam sasa nambie mimi nitapambana na wa dar es salaam kwakuwa nimetoka mikoani au nitakutana na wamikoani wapambane na mimi shauri.
Yule aliyekupa ofa size yako.
 
Kwa wanawake wa kijijini usimruhusu awe na mashoga wa kishua hapo mjini pamoja na kwamba wataanza kutaka kujenga urafiki na yeye ili wamfahamu na waijue kazi ya mumewe waanze kumuibia, na huku wanamshauri awe anavaa kama wenzie hapo ndio tatizo hutokea na kuanza kubadilika utasikia tu kuwa mbona mimi sivai kama wengine. utasikia naye anataka aanze kwenda kufanya biahsra ndogondogo hataki kumtegemea sana mwanaume. kwenda kuchukua kijijini lazima uwe na mipango ya mazinginra ambayo unataka mkeo ayaishi na lazima umwambie akiwa huko huko kuwa bwana tunaenda mjini kuna 1,2,3 na sitaki hivi basi. lazima ajue kuwa akitoka nje ya mstari mtakorofishana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] siukubali uzi huu[emoji126] [emoji126]
 
Wa mkoani ni wife material.
1: wanajua mapishi ya asili
2: wanauwezo wa kumudu game (4-5) per night ni kitu cha kawaida
3: mayai yao yapo karibu.Ukigusa tu mtoto
4: hawana shida kunyonyesha( mtoto atabebwa mgongoni,
Nitarudi baadae
 
1. Kwa mchemsho kweli wanajua hata nazi hawajui kukuna, sasa wamjini anaweka nazi na mafuta juu kwanini usife na magonjwa ya moyo kwa mafuta mengi,

2. Kudumu game ndio ndio maana wanazeeka haraka ila tuwaachie kwanza mkewako umpe 4-5 unamchosha mpe 2 inatosha siku nyingine 1 ila kama atahitaji kuongeza ndio utampa maana ni wakwako miaka yote

3. Ukianza kumfundisha uzazi wa mpango wa vindonge na sindano basi unamuua tumbo linaziba ataishia kuwa na uvimbe tumboni

4. Kunyonyesha wanajua ni jukumu lao wa mjini wanataka saa sita ili waendelee kuonekana warembo kwa wanaume wengine ili wawape hela
 
# Mung Chris: wanawake wa mkoa kuzeeka mapema ni kwa ajili ya
1: majukumu mengi
Kutunza familia, kujenga uchumi wa familia.
Game ni chakula kizuri mno. MPE 4-5 hasa ijumaa.
 
Tatizo wanawake wa dar ni fake kuanzia nywele, kucha, rangi ya mwili, mpaka wanaweka bikra fake siku hz. Muda mwingi wao kutengeneza mwili sijui wanapika saa ngapi
Wangekua hawapiki Dar nzima si tungekufa njaa?
 
Kwa wanawake wa kijijini usimruhusu awe na mashoga wa kishua hapo mjini pamoja na kwamba wataanza kutaka kujenga urafiki na yeye ili wamfahamu na waijue kazi ya mumewe waanze kumuibia, na huku wanamshauri awe anavaa kama wenzie hapo ndio tatizo hutokea na kuanza kubadilika utasikia tu kuwa mbona mimi sivai kama wengine. utasikia naye anataka aanze kwenda kufanya biahsra ndogondogo hataki kumtegemea sana mwanaume. kwenda kuchukua kijijini lazima uwe na mipango ya mazinginra ambayo unataka mkeo ayaishi na lazima umwambie akiwa huko huko kuwa bwana tunaenda mjini kuna 1,2,3 na sitaki hivi basi. lazima ajue kuwa akitoka nje ya mstari mtakorofishana
KISA CHA KWELI
Kuna jamaa yangu mmoja alikuwa best sana.. Miaka ile ya kusota na maisha tulikuwa pamoja sana.. Anaitwa Chacha RIP alikufa kwa frustration za mwanamke... Kwenye simulizi zangu za Ubungo kibo au maisha yangu ya miaka ya 90 Dar huwa sikosi kumtaja
Jamaa aliamua asioe mjini akaenda kijijini kwao huko mkoani Mara akapata kitu white fulani hivi kuku wa kienyeji wa ukweli sana.. Akakileta mjini... Mtoto ana adabu zote alizofundwa huko alikotoka... Ukitoka ukirudi shikamoo shemeji...
Sasa mimi nilikuwa msela tu hivyo nikipata nampa Shem anapika tunakula
Miezi mitatu ya kukaa mjini mingi binti akaanza kubadilika... Wanawake wale wa mjini Ubungo kibo mtaa wa Rombo kule chini wakaanza kumfunda... Binti naye akaacha mafundo ya kwao kijijini na kuanza kupokea sumu
Shikamoo shemeji zikaanza kukata.. Mshkaji wangu yeye alikuwa anafanya kazi chuo kikuu hivyo anawahi kuondoka.. Mimi nafanya pale Kibo hivyo nachelewa kuondoka..
Jamaa yangu akawa anaacha kuanzia pesa ya vitafunio mpaka ya chakula cha siku nzima mpaka jioni.. Mwanzoni ilikuwa nikitaka kununua kitu, Shem anakataa anasema keshaachiwa hela na inatosha... Loh alipolishwa sumu na zikamkolea tuliisoma number nikiamka hakuna shikamoo tena na pesa ya vitafunio nitatoa.. Mchana lunch nitatoa pesa ila nitapewa ugali na samaki wakavu wale wa mafungu...
Ile ndoa haikudumu.....
 
Kwa habari hiyo, Wanawake wa Dar hawafai ( sio kwa kanzu wala sanda msemo wa bibi zetu)
Mkurya kabadilishwa tabia hadi kamuua mume
 
No Comment
678faca9def4beea81b178b990691fc2.jpg
a9468c3b1a5c68e112f22cef0b00e26a.jpg
Baba nimekubali hiyo
 
Back
Top Bottom