Mpambano mkali sana: Wanawake wa Dar vs wa mikoani

Mpambano mkali sana: Wanawake wa Dar vs wa mikoani

upload_2018-2-27_10-37-47-jpeg.701968
 
Mpambano huu uwe na nia ya kuburudika lakini pia kujifunza na kuongeza ufahamu kuhusu jamii ya kaliba moja lakini mazingira tofauti wanavyoweza kutofautiana makubwa

Ni mpambano wa wanawake wa Dar vs wa mikoani, ni vema uwe tofauti kabisa na ule wa wanaume wa Dar vs wa mikoani ambao umegeuka kuwa dhihaka na kutambiana sometimes na matusi juu.....

Wanawake ni walezi wetu, ndio wanaotuzaa na mengine mengi... Bila wao maisha hayana maana sasa usikandie hapa halafu usiku ukalielie huko chumbani

Labda niseme tu kwamba kila upande una mazuri na mabaya yake. Wanaume wa dar wakiwa wamechoshwa na wanawake wa mjini ambao wanaenda na wakati mpaka wanasahau majukumu yao muhimu na wengi wakiwa jeuri na wajuaji hukimbilia mikoani vijijini kwenye mabinti ambao hawana shobo za kwenda na wakati...

Tatizo linakuja huyo wa kijijini unapofika bei na kumleta mjini... Ulimbukeni na ushamba huku akitaka kuiga ili aende na wakati hugeuka janga namba moja.....!!!

Mwisho maamuzi huwa magumu uchukue yupi? Mjuaji wa mjini au wife material wa kijijini!? Je akibadilika!?

Kuna mengi kati ya hawa ndugu wa jinsia moja wanaotenganishwa na mazingira... Twende kazi.

View attachment 701861

View attachment 701862
huyu msichana aliyeshika jembe anafanana na demu wangu daktari mkenya mjaluo .. hatariii..sikumuoa kwa sababu alikuwa hawezi kupika basi.
 
Huu uzi umekuwa tofauti na nilivo talajia kwa kweli
Ila umenifumbua macho nakuamini jf wanawake wa mikoani ni wengi mno kuliko wale wa dar na ndyo maana wanashindwa kuweka mauzulio mazuri hapa jamvini kwa sababu watakuwa wanajisuicide wenyewe kwa wenyewe....
 
Mshana, katika ule mpambano wa mbegu kuingia kwenye tumbo la uzazi spiritualy ni nini kinaltokea na kuleta tofauti kati ya mbegu zilizopotea na ile moja iliyozishinda nyingine. Na nini hutokea kwa zile zilizoshindwa mpambano? Na je mbegu huwa kama mbegu au kuna sprit power inayoambatana nazo?
Zinazoshinda huingia kutunga mimba yenye genes ya kizalia husika zinazoshindwa hufa
 
Back
Top Bottom