Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi wa wapi?Wewe sio wa Dar.
Akaaa.Uko wapi ,njoo ushuhudie Muhogo wa maajabu ndani ya boxer yangu.
Hahahaaa.Fact nakwambia kule ni mdebwedo hâta kama hujui kutongoza utapewa utamu tuu
TangaMi wa wapi?
Niko Daaar lakini.Tanga
Akaaa nn sasa ???huzipendi zilizondan ya pikipiki??Akaaa.
Kwa hiyo Uzigua haupo tena badala yake Metropolitan .Haaahaaa.Niko Daaar lakini.
huyu msichana aliyeshika jembe anafanana na demu wangu daktari mkenya mjaluo .. hatariii..sikumuoa kwa sababu alikuwa hawezi kupika basi.Mpambano huu uwe na nia ya kuburudika lakini pia kujifunza na kuongeza ufahamu kuhusu jamii ya kaliba moja lakini mazingira tofauti wanavyoweza kutofautiana makubwa
Ni mpambano wa wanawake wa Dar vs wa mikoani, ni vema uwe tofauti kabisa na ule wa wanaume wa Dar vs wa mikoani ambao umegeuka kuwa dhihaka na kutambiana sometimes na matusi juu.....
Wanawake ni walezi wetu, ndio wanaotuzaa na mengine mengi... Bila wao maisha hayana maana sasa usikandie hapa halafu usiku ukalielie huko chumbani
Labda niseme tu kwamba kila upande una mazuri na mabaya yake. Wanaume wa dar wakiwa wamechoshwa na wanawake wa mjini ambao wanaenda na wakati mpaka wanasahau majukumu yao muhimu na wengi wakiwa jeuri na wajuaji hukimbilia mikoani vijijini kwenye mabinti ambao hawana shobo za kwenda na wakati...
Tatizo linakuja huyo wa kijijini unapofika bei na kumleta mjini... Ulimbukeni na ushamba huku akitaka kuiga ili aende na wakati hugeuka janga namba moja.....!!!
Mwisho maamuzi huwa magumu uchukue yupi? Mjuaji wa mjini au wife material wa kijijini!? Je akibadilika!?
Kuna mengi kati ya hawa ndugu wa jinsia moja wanaotenganishwa na mazingira... Twende kazi.
View attachment 701861
View attachment 701862
hahaaaaFiles de nini sijui...haahaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inakuwaje unapost vitu kama hivi halafu eti nawewe unatarajia kuolewa?
Mungu niepushe na wanawake wa aina hii...Idiot!
Zinazoshinda huingia kutunga mimba yenye genes ya kizalia husika zinazoshindwa hufaMshana, katika ule mpambano wa mbegu kuingia kwenye tumbo la uzazi spiritualy ni nini kinaltokea na kuleta tofauti kati ya mbegu zilizopotea na ile moja iliyozishinda nyingine. Na nini hutokea kwa zile zilizoshindwa mpambano? Na je mbegu huwa kama mbegu au kuna sprit power inayoambatana nazo?