Mpambano wa mabasi ya Arusha to Dar

Mpambano wa mabasi ya Arusha to Dar

Kuna video moja ilirushwa WhatsApp 'scania ikitoa kichapo' aisee ile Scania ilikuwa inazikata bus nyingine kama utani,tena anakaa kulia mbali halafu anaanza kukamua,ukisikia turbo ya ile Scania unatamani uwe dereva
Scania ikimkuta suka mzuri ni hatari
 
Marangu wapuuzi kabisa, usikute ndiyo hiyo konokono nilienda nayo Arusha jioni konda wake dada moja nene hivi is it..?
Gari ni BM Coach na Marangu Coach kwa sasa. Hao wengine ni takataka tu ukiachana na Dar Lux pekee.

Jana nmeanza trip Dar 0630 mpaka 1730 niko Moshi mjini. That was Marangu Coach.

BM alianza trip 0600 na amewasili 1700 Moshi mjini japo tulikutana hotelini.
 
Tunafurahia ila ni hatari mkuu.
Aiseee halafu huu ushindani upo hata kwa mabasi ya Dar - Mbeya kama Sauli, Al Saedy na Imani Plus siku hiyo tunatoka Mbeya kuja Dar nilipanda Sauli yaani ilikuwa ni mashindano tu na hayo mabasi mawili

Kwanza nasikia mwenye Imani Plus alishamfukuza dereva wake eti kwanini alipitwa na Sauli kwahiyo siku hiyo aliendesha basi lake yeye mwenyewe kutoka Mbeya hadi Dar ili awe wa kwanza kufika Ubungo

Ila aibu yake akaishia kuwa wa tatu maana ilitangulia Al Saedy ikafuata Sauli halafu ndiyo hiyo Imani Plus aise sijui alijisikiaje maana kuanzia Kibaha yeye ndiyo alishika nafasi ya kwanza akawa anahakikisha hakuna basi inayompita ila alikuja kupitwa kizembe pale Mbezi

Lakini mwisho wa siku nikawaelewa tu kuwa yote hiyo ni katika kujitangazia jina na kugombea soko na kwa sasa basi inayosifika kwa kuwahi kufika kwa safari za Dar - Mbeya ni Sauli na ndiyo inashika chati kwa kuwa na wateja wengi kwa sasa
 
Watu wanashindwa kuelewa fitna zilizopo kwenye makampuni ya mabus, 1: Makampun mengi huwa wananunua tochi.
2: Wanahonga askari barabarani ili kusimamisha kampuni pinzani na kuwapotezea muda.
Je ving'amuzi?
 
Tunafurahia ila ni hatari mkuu.
Aiseee halafu huu ushindani upo hata kwa mabasi ya Dar - Mbeya kama Sauli, Al Saedy na Imani Plus siku hiyo tunatoka Mbeya kuja Dar nilipanda Sauli yaani ilikuwa ni mashindano tu na hayo mabasi mawili

Kwanza nasikia mwenye Imani Plus alishamfukuza dereva wake eti kwanini alipitwa na Sauli kwahiyo siku hiyo aliendesha basi lake yeye mwenyewe kutoka Mbeya hadi Dar ili awe wa kwanza kufika Ubungo

Ila aibu yake akaishia kuwa wa tatu maana ilitangulia Al Saedy ikafuata Sauli halafu ndiyo hiyo Imani Plus aise sijui alijisikiaje maana kuanzia Kibaha yeye ndiyo alishika nafasi ya kwanza akawa anahakikisha hakuna basi inayompita ila alikuja kupitwa kizembe pale Mbezi

Lakini mwisho wa siku nikawaelewa tu kuwa yote hiyo ni katika kujitangazia jina na kugombea soko na kwa sasa basi inayosifika kwa kuwahi kufika kwa safari za Dar - Mbeya ni Sauli na ndiyo inashika chati kwa kuwa na wateja wengi kwa sasa
 
Hahahahah ndio hio hio meku [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sema labda mlipanda na dereva mchovu, gari inakimbiaga sana ile.
Dereva mzee mmoja kama sikosei anaitwa Mushi, aisei tulikuwa tunapitwa vibaya mno,hadi costa aisei.
 
Back
Top Bottom