Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Ujenzi wa Kituo cha Afya Ugalla, Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi kimeshindwa kukamilika licha ya fedha Shilingi 500 kutolewa miaka mitatu iliyopita kutoka Serikalini.
Kushindwa kukamilika kwa ujenzi wa kituo hicho imebainika ni kwa sababu ya vitendo vya ubadhirifu wa fedha huku ikibainika watu wenye mamlaka wa Wilaya hiyo wameomba kiasi cha fedha za ziada Sh Milioni 100 kutoka Serikali ili kukamilisha ujenzi.
Kamati ya Siasi ya Mkoa wa Katavi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imebainisha hayo hivi karibu baada ya kumaliza kukagua mradi huo ambapo wameshangazwa kuona maombi mengine ya fedha shilingi 100 wakati vituo vingi vya afya nchini vimejengwa kwa milioni 500.