Mpanda: Tundu Lissu ayalipua Maridhiano, Kingai, Byakanwa na Wambura Watajwa

Sahihi ✔️ ingawa walinda legacy watamshambulia kinyama!! Kumbe Taifa liliishapitia kutawaliwa na utawala katili?
 
Kwani mbowe alisingiziwa Si alisamehewa kwaajili ya maridhiano?
Jitahidi kuwa mkweli, usipende uwongo.

Una ushahidi wowote ule ambao unaweza kuuleta hapa wa kuthibitisha kuwa Mbowe alisamehewa?

Nakumbuka Mbowe alikataa katakata kuomba msamaha kwa kesi ya kubambikiwa. Familia ya Mbowe na CHADEMA walimkanya vikali Zito alipotaka kujifanya anamwombea msamaha Mbowe.

Tunachojua ni kwamba serikali kwa kupitia mwendesha mashtaka mkuu iliamua kuyaondoa mashtaka dhidi ya Mbowe.

Taarifa iliyopatikana baadaye kupitia kwa Mbowe mwenyewe ni kwamba akiwa mahabusu alipewa taarifa kuwa Rais ameomba kuonana naye mara baada ya kuachiwa huru. Na kwamba akiwa ikulu, Rais alimwomba msamaha. Details za msamaha hazikuwekwa wazi. Kimsingi, ni Serikali ndiyo iliyomwomba msamaha Mbowe, na siyo kinyume chake. Na anayesamehe ni yule aliyeombwa msamaha.
 
Crap. Get back to your sense and go through to your crap you have posted here.

Ni uwendawazimu wa hali ya juu kusema kuwa Lisu ni mchochezi wakati hujui hata maana ya uchochezi. Ebu tukumbushe ni kesi gani ya uchochezi iliwahi kuthibitishwa dhidi ya Lisu.

Hivi kweli mtu upo timamu kichwani kabisa unaweza kusema kuwa kumlipia mtu nauli au kumpa mtu pesa ya gharama ya usafiri ni ugaidi. Kama ingekuwa hivyo basi ugaidi ungekuwa ni jambo la heri maana watu binafsi, makampuni, taasisi mbalimbali huwalipia gharama za usafiri waajiriwa wao wapya ili wafike kwenye vituo vyao vya kazi. Yaani Mbowe kuwalipia gharama za usafiri walinzi wake wapya ndiyo ugaidi! Kweli tuna wendawazimu wengi nchini kuliko tunavyodhania. Wenzako taratibu wameanza kujitenga na uwendawazimu wewe ndiyo unazidi kuzama kwenye uwendawazimu!! Usiufanye uwendawazimu kuwa ni sifa njema. Ondoka kwenye hiyo aibu.
 
Hatuna muda hata wa kumsikiliza Tundu
 
Lissu yuko sahihi.
 
Kama Lisu bado ana siasa za namna hii anafeli pakubwa sana,hizi siasa za lawama zimepitwa na wakati ,aseme atafanya nini tofauti na CCM ikiwa atakamata dola,aache porojo
Siyo siasa za lawama bali siasa za ukweli bila kupepesa macho,siasa za hadaa za akina Mahera,Samiah na Mwigulu Nchemba zimepitwa na wakati.
 
Lissu ajue kesi zake zimetupwa kwa huruma tu sio kwamba hazikua kesi halali. Kwa tabia yake zitazaliwa kesi mpya sio muda. Yeye kwa akili yake mbaya hua anaamini yuko sahihi kwa kila jambo na wengine hawako sahihi kwa kila jambo.
 
Muda wa kampeni bado ewe kyma maji
Kwaiyo huu muda wa kuwafitini wateule?

Yaani Lissu na kujipambanua ni msomi lakini ajaelewa kwamba hao aliowataja walikuwa wanatekeleza majukumu ya wateule wao...

Wangekuwa wanafanya bila ya maelekezo wasingeteuliwa
 
Kama Lisu bado ana siasa za namna hii anafeli pakubwa sana,hizi siasa za lawama zimepitwa na wakati ,aseme atafanya nini tofauti na CCM ikiwa atakamata dola,aache porojo
Wakati wa kampeni kuna ya kusema, na wakati wa kuimarisha chama kuna ya kusema. Sasa Low IQ hawezi kuyatafakari haya, yaani mtu unawaza Lisu aongee kama yupo kwa kampeni?? Are you Thinking properly?
 
Wakati wa kampeni kuna ya kusema, na wakati wa kuimarisha chama kuna ya kusema. Sasa Low IQ hawezi kuyatafakari haya, yaani mtu unawaza Lisu aongee kama yupo kwa kampeni?? Are you Thinking properly?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chama cha mambusi
 
Lissu ajue kesi zake zimetupwa kwa huruma tu sio kwamba hazikua kesi halali. Kwa tabia yake zitazaliwa kesi mpya sio muda. Yeye kwa akili yake mbaya hua anaamini yuko sahihi kwa kila jambo na wengine hawako sahihi kwa kila jambo.
Wewe kwa akili yako mbovu unafikiri kesi zile zilikuwa halali?
 
Anachosahau wao walikuwa wanatii maagizo ya wakubwa wao, ukiwahukumu ni makosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…