Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #141
Katika maisha hakunaga huo ujinga , kwamba wametumwa kufanya uhalifu halafu tunyamaze ?Anachosahau wao walikuwa wanatii maagizo ya wakubwa wao, ukiwahukumu ni makosa
Huyo bwana sijui akili zake ziko vipi,hana break kwa brain take na mdomo wake
Sent from my using JamiiForums mobile app
Kingai anamtaka Lissu KituoniKuna nini
Atarudisha bandari,SEMA jingineKama Lisu bado ana siasa za namna hii anafeli pakubwa sana,hizi siasa za lawama zimepitwa na wakati ,aseme atafanya nini tofauti na CCM ikiwa atakamata dola,aache porojo
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Atarudisha bandari,SEMA jingine
Huu sio muda wa kampeni huu ni wakati wa kukosoa utendaji, hujifunzi ya Kenya?.Kama Lisu bado ana siasa za namna hii anafeli pakubwa sana,hizi siasa za lawama zimepitwa na wakati ,aseme atafanya nini tofauti na CCM ikiwa atakamata dola,aache porojo
Those are facts au ww ni kichaa zero brain huelewi chochote kinachoendelea!Huyo bwana sijui akili zake ziko vipi,hana break kwa brain take na mdomo wake
Sent from my using JamiiForums mobile app
Umesikia anayoyapanga Wambura ? hatujawahi kukoseaKama Lisu bado ana siasa za namna hii anafeli pakubwa sana,hizi siasa za lawama zimepitwa na wakati ,aseme atafanya nini tofauti na CCM ikiwa atakamata dola,aache porojo
Huyo bwana sijui akili zake ziko vipi,hana break kwa brain take na mdomo wake
Sent from my using JamiiForums mobile app
Umesikia anayopanga Wambura ?Huyo bwana sijui akili zake ziko vipi,hana break kwa brain take na mdomo wake
Sent from my using JamiiForums mobile app
Si hii sasa uliyoweka wewe au ?Uzi mzima hauna NENO MH. MBOWE hauna faraja uzi huu.