Mpangaji sema unataka kupanga wapi mwenye nyumba akujibu mmalizane bila udalali

Mpangaji sema unataka kupanga wapi mwenye nyumba akujibu mmalizane bila udalali

Mwenye chumba self kuanzi ubungo kibo mpaka kimara korogwe bei mwisho Elfu 50. Tafadhali namuhutaji
 
Chumba kipo Gongo la Mboto Maeneo ya Kaburi Moja Mwisho wa Lami. Kina choo ndani,kioo ndani ya geti , kina madirisha ya vioo,tailiz, feni ya juu na usalama upo wa kutosha. Anayetaka aje nimpeleke bure na akikipenda atanirudishia kodi yangu yeye andelee kukaa. KODI NI ELFU 80 kwa mwezi hakuna udalali chumba ni changu nataka kuhama.View attachment 2687143
View attachment 2687144
View attachment 2687145
View attachment 2687146
mmh! sa we kwanini unahama hapo kaburi moja?
 
Nahitaji nyumba vyumba viwili kimoja self, public toilet jiko na lounge eneo kuanzia gongo la mboto hadi chanika
Mkuu umeshapata.? Kuna nyumba iko Chaniks Nyeiburu kwa gharama ya 200000/= .Malipo kuanzia miezi minne.
 
Chumba kipo Gongo la Mboto Maeneo ya Kaburi Moja Mwisho wa Lami. Kina choo ndani,kioo ndani ya geti , kina madirisha ya vioo,tailiz, feni ya juu na usalama upo wa kutosha. Anayetaka aje nimpeleke bure na akikipenda atanirudishia kodi yangu yeye andelee kukaa. KODI NI ELFU 80 kwa mwezi hakuna udalali chumba ni changu nataka kuhama.
Chako kweli au unazingua
 
naomba nisaidie namba yako pm mkuu
 
Chumba master na sebule ,kikiwa na jiko pia fresh.

Napendekeza kunazia Rangi 3 -Kongowe mwisho.

Offer 100,000/= kama kipo njoo inbox tuyajenga.

NB:Tabata na buguruni nitafikiria pia.
 
Back
Top Bottom