Mpangaji sema unataka kupanga wapi mwenye nyumba akujibu mmalizane bila udalali

Mpangaji sema unataka kupanga wapi mwenye nyumba akujibu mmalizane bila udalali

Kwa wazoefu wa chamazi, naweza pata chumba na sebule kwa sh.60000 kwa mwezi. Choo nje?
 
Nyumba ipo kigamboni kisarawe2

Vyumba 2
Jiko
choo
Umeme
Maji
Sebule kubwa

Bei 130,000
kodi kuanzia miezi mitatu
 
Back
Top Bottom