Mpangaji sema unataka kupanga wapi mwenye nyumba akujibu mmalizane bila udalali

Mwenye chumba self kuanzi ubungo kibo mpaka kimara korogwe bei mwisho Elfu 50. Tafadhali namuhutaji
 
mmh! sa we kwanini unahama hapo kaburi moja?
 
Nahitaji nyumba vyumba viwili kimoja self, public toilet jiko na lounge eneo kuanzia gongo la mboto hadi chanika
Mkuu umeshapata.? Kuna nyumba iko Chaniks Nyeiburu kwa gharama ya 200000/= .Malipo kuanzia miezi minne.
 
Chako kweli au unazingua
 
naomba nisaidie namba yako pm mkuu
 
Chumba master na sebule ,kikiwa na jiko pia fresh.

Napendekeza kunazia Rangi 3 -Kongowe mwisho.

Offer 100,000/= kama kipo njoo inbox tuyajenga.

NB:Tabata na buguruni nitafikiria pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…