Mpango mauaji ya Wayne Derek Lotter ulivyosukwa na kutekelezwa jijini Dar

Mpango mauaji ya Wayne Derek Lotter ulivyosukwa na kutekelezwa jijini Dar

Rahma na dereva bodaboda wameonewa,kupika chakula watu wanaoukuja nyumbani kwa kakaake sidhan kama wamehusika na mauaji,hata kama alificha silaha ni ktk hali ya kawaida ya kujihami,anahitaji mwanasheria mzuri,kuna watu wanastahili kunyongwa ila siyo rahma na dereva wa bodaboda,halafu hajasema hizo milion 58 zilitoks kwanani na zilienda kwa lengo gani ikiwa huyo mrundi alipewa milioni 20 na myu mwingine
Anaweza kuwa hastahili kunyongwa ila bunduki alienda kuficha za nn alipoona kaka yake amekamatwa na wasiojulikana ilitakiwa atoe taarifa polisi
 
Machips nani alimpa hizo pesa? mkuu hii cheni ni ndefu kwa wanaomfaham machips wataelewa. machips hawezi suka hiu kitu bila wakubwa nyuma yake. leonard Makoi je nae hakuwa anajuana "vizuri" na machips?
Yap cheni ni ndefu ila hata hawa watu pia inaonekana wanajihusisha na biashara haramu
Haiwezekani ushirikishwe tu kwenye mauaji kama haujiusishi na mambo hizo
 
Mzungu atakuwa kaondoka na wengi kama kweli hawa watu 11 watanyongwa. Ni jambo la ajabu sana ukifikiria roho ya Mzungu mmoja Kaburu ni sawa na roho za Waafrika 11 Wazawa au tuseme 12 pamoja na Karama. Hukumu ya ajabu sana hii.
We nae lofa tu,kwani mauaji mengine hufuatiliagi kuona yeyote alohusika anadakwa hata muwe 100. Akili yako inaona mzungu tu,hata kesi ya bilionea msuya hukumbuki? Au nae alikua mzungu
 
Machips nani alimpa hizo pesa? mkuu hii cheni ni ndefu kwa wanaomfaham machips wataelewa. machips hawezi suka hiu kitu bila wakubwa nyuma yake. leonard Makoi je nae hakuwa anajuana "vizuri" na machips?
Kwahiyo Mwenendo wa Upelelezi na kesi mahakamani mawakili walishindwa kubaini aliyemtuma Machips?
 
Machips nani alimpa hizo pesa? mkuu hii cheni ni ndefu kwa wanaomfaham machips wataelewa. machips hawezi suka hiu kitu bila wakubwa nyuma yake. leonard Makoi je nae hakuwa anajuana "vizuri" na machips?
Je machips ana interest gan na mtasha ikiwa hakuna mtu nyuma yake. Mambo ni mengi

Je huyu machips ni mchoma chips kweli au just aka

Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
 
Hao watu waliosome na kubobea kufanya uchunguzi hawawezi kutumiwa na majambazi ili kuondoa traces zote?
Kwa teknolojianya kibongo mi naona ni rahisi sana, na majambazi wengi tu wanaua na kudunda mtaani.
Hiyo inawezekana.

Ila uwe na mkoni mrefu sana au ulindwe na wakubwa walio juu sana.

Ajabu Tz kuna taasisi zinafanya kazi bila kutegemeana.

Kitu kimoja kinaweza kuchunguzwa na taasisi tofauti bila wao kujuana.

Kama mauaji yametokea na yametikisa mji, hata uwe na hela vipi. Lazima ujulikane.

Pona yako ni kumtafuta mbuzi wa kafara. Ila utakuwa unajulikana miongoni mwa watu.
 
Mzungu atakuwa kaondoka na wengi kama kweli hawa watu 11 watanyongwa. Ni jambo la ajabu sana ukifikiria roho ya Mzungu mmoja Kaburu ni sawa na roho za Waafrika 11 Wazawa au tuseme 12 pamoja na Karama. Hukumu ya ajabu sana hii.
duuh, we na wewe ni kiboko, yaani watu wamethibitika mahakamani kufanya kosa la kuua mtu, unasema hukumu ya ajabu???!!!?????!!!!!?? eti tu kwa sababu tu aliyeuawa ni mzungu na waliouwa na kuthibitika mahakamani ni wamatumbi. Loooh!!! akili ni nywele kila mtu ana zake
 
Back
Top Bottom