Mpango mauaji ya Wayne Derek Lotter ulivyosukwa na kutekelezwa jijini Dar

Kuna majina mawili Nduwimana, Habonimana yana asili ya kule kanda maalum inayosifiwa kwa ushushushu Afrika nzima. Hakika hatuko salama kuzingukwa na maharamia
Ndio asili yake huko Yule "mzuri asiyekufa"
Na hayupo mbali na hiyo kadhia!

Anaheshimika kwa zile Mana.. .. kimataifa .. ..

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu walisomea na kubobea kufanya uchunguzi.

Huezi fanya mauaji watu wasikukamate. Lazima utaacha trace ambayo ndo itasababisha wewe kukamatwa.

Labda uue mbuzi wa jirani yako.
Wauaji wa bongo hawako smart bro...kasome kisa cha zodiac killer muuaji maarufu kule Us aliyeisumbua FBI for 41 years...kuna watu wako professional bro
 
Huyu mafue ndio yule mwenye duka la jumla pale temeke hosp
 
Alijua kilichokuwa kinatokea kuanzia kupangwa kwa njama hadi baada ya tukio. Alipaswa atoe taarifa polisi ili kuepusha jinai hiyo, failure to do so naye ameshiriki. Hakuna cha mwanasheria hapo whatsoever.
 
Matukio ya ujambazi sio ya kusogelea kabisa jamaa walikuwa mpaka na bomu doh
 
Kuna watu walisomea na kubobea kufanya uchunguzi.

Huezi fanya mauaji watu wasikukamate. Lazima utaacha trace ambayo ndo itasababisha wewe kukamatwa.

Labda uue mbuzi wa jirani yako.
Simple tu unaanza na reason of doubt kwa mfano wewe ukipotea tutaanza namkeo maelezo yake yataleta mwanga
 
Maisha haya unafanya baya nawe unaishia pabaya
 
Kuna watu walisomea na kubobea kufanya uchunguzi.

Huezi fanya mauaji watu wasikukamate. Lazima utaacha trace ambayo ndo itasababisha wewe kukamatwa.

Labda uue mbuzi wa jirani yako.
Eti Mbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…