dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,847
- 3,149
Nadhani financer kafanya makusudi hili asiwe involved kirahisiDili likishakuwa na Watu wengi lazima huko mbeleni mambo yaharibike tuu.
Hapo kwenye utekelezaji wa mauaji wangepaswa wasizidi Watu watatu
Ila akiwa mtu mmoja ndio mchezo unakuwa salama zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app