Mpango mauaji ya Wayne Derek Lotter ulivyosukwa na kutekelezwa jijini Dar

Mpango mauaji ya Wayne Derek Lotter ulivyosukwa na kutekelezwa jijini Dar

Walioplot haya mauwaji ni mandezi tu na hata aliye recruit assasin anafanya mambo locally sana na bahati analindwa na mamlaka thats why case imeishia mabegani tu!
Hapa ni dhahiri mfadhiri wa mauwaji wauaji walimtaja, sema mpelelezi/wapelelezi wameufyata kumuunga.

Walichobugi ni kuwahusisha madereva na kuua mtu mmoja tu hiyo imewapa syndicate nyepesi kwa mpelelezi kuunganisha nukta.
Halafu usikute wametumia mawasiliano kwa namba za simu zinazo tambulika.
Kwa professional killer angehusisha mtu mmoja tu halafu yy angetoka nao kia then angemuweka mtu na gari pale JNIA na targeted area ya kumaliza mchezo.
 
Hao watu waliosome na kubobea kufanya uchunguzi hawawezi kutumiwa na majambazi ili kuondoa traces zote?
Kwa teknolojianya kibongo mi naona ni rahisi sana, na majambazi wengi tu wanaua na kudunda mtaani.
Upo sahihi.

Inategemea kesi na kesi...au NTU na NTU
 
Bado kuna wale Waburushi wa Mbarali!! Na wote hawa utawakuta ni wanachama, na pia wafadhili wa ccm!
ni ngumu sana mkuu,wezi,wabadhilifu na mafisadi wamejificha kwenye chama na serikali,likitokea la kutokea watawatoa kafara madereva boda, mama ntilie,madereva,walinzi wa getini ila wao mapapa hawatoguswa kwenye msala kama huu wa kwenye mada.
 
Kesi kama hizii huwaga wanaumia wale waliotekeleza tukio ilaa waliotoa mpunga mambo yaende huwa hawaachi trace yoyote inayowalink na tukio... pole kwa wale waliouvaa mkenge kama madereva tax ila hawa itakuwa mawasiliano ya simu walizotumia ndo zimewakamatisha. Adhabu imetolewa kwa makusudi ili kuridhisha mataifa ya nje pia kesi yenyewe imeenda chap chap.
 
Bado kesi haieleweki yupo wapi Karama? ameuawa? amefichwa? sababu za kuuawa kwa Lotter? nani aliyefadhili hizo hela?
Mimi kwa mawazo yangu tu huyu Karama ameingia kwenye wale waliopotea na hawajulikani alipo.

Sidhani kama alipata nafasi ya kutorokea nje ya nchi maana walikwisha mkamata.
 
Kuna sehemu chain Imekatika sio ajabu Hawa wote kwenye death row hawamjui financier ambaye Ni MTU maarufu na mwenye pesa zake.
All in all, hata yeye siku si nyingi atakufa. Trust KARMA.
True story,Makes sense
 
We nae lofa tu,kwani mauaji mengine hufuatiliagi kuona yeyote alohusika anadakwa hata muwe 100. Akili yako inaona mzungu tu,hata kesi ya bilionea msuya hukumbuki? Au nae alikua mzungu
Unaweza kuta ndo miongoni mwa majangili hao mkuu
 
Jikumbushe na hapa
 

Attachments

  • 5171446-4db915622fdd9f175249d07eab8aca64.mp4
    731.3 KB
Trace moja tu ikipatikana ambayo mara nyingi ni simu, utawapata wote, na baada ta hapo ni mwendo wa Kipondo tu mtaeleza mpaka mlipoenda uwani
Karama umemuona hapo?
Money talks.
 
Je machips ana interest gan na mtasha ikiwa hakuna mtu nyuma yake. Mambo ni mengi

Je huyu machips ni mchoma chips kweli au just aka

Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
ni Msomali waliokuja Tanzania zamani huyu ni kizazi cha tatu . yes ana kibanda cha chips stand Kuu ya Arusha walifukuzwa wenye vibanda na manispaa kwa kuwa yeye ni mwanchama Hai wa ccm akapambana mpaka akabaki stand kuu lakini akiwa sasa amehamishia biashara yake ya chai na chips ghrofani ndani ya stand kuu.

jina lake maarufu ni Machips miaka mingi.

nashindwa kuelewa biashara ya ujangili wa meno ya tembo na Wasomali ina conection gani.

kuna ushahidi mwingi umefichwa baada ya mzungu kuuawa walichukuwa lap top na simu yake. kama ilivyoripotiwa wakati ule.

machips lazima kuna mtu alimpatia hiyo pesa 58M ambaye tunaambiwa ni mchina. atakuwa mchina fake.

Karama alidakwa lakini baadae akapotea...dada yake Rahma ambaye alihamisha silaha m kuzipeleka makaburini alisema Kaka yake Karama alivyochukuliwa na "watu wasio julikana" alihamisha silaha.

ndio maana watu wanahoji KARAMA YUKO WAPI?
 
Back
Top Bottom