NYOLODO
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 12,206
- 27,987
Wakuu sijawah kuongelea siasa, wala kutanabai uwezo wa viongoz wa CCM kutawala nchi na kuzitapanya kama si kuzibananga rasilimal za nchi kwa maslah yao binafsi. Ila kwa hili naomba niliseme tu!
Kusini maenedleo hali sio nzuri, uchawi uchawi! Kila Ng'anya basi N'ganya, viongoz wanaotoka kule hata kufanya vya maana hawafanyi. Ulega waziri wa Uchukuzi na miundombinu unashindwa kupeleka hata barabara ya pili Mkurang tu?.
Nani ataamini kuwa Kisiwa kizima cha Mafia hii ndo terminal?