Mpango wa kando wa zamani wa Aliko Dangote waweka mambo hadharani; kimada wa sasa akanusha

Mpango wa kando wa zamani wa Aliko Dangote waweka mambo hadharani; kimada wa sasa akanusha

Na pesa zote akachukua wadada wa Buza ya Marekani.

Hao ni wa buza ya marekani ??? Mtu anayemiriki mgahawa wenye thamani ya dollar laki tano (Tsh.118,000,00) bado unamuita wa buza ?? [emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu itakuwa haukua serious
 
Wote wawili ni M*A*L*A*Y*A Hawana faragha.
Umalaya ni relative term, culturally relative.

Ndiyo maana dini nyingine zinaruhusu wake wanne, nyingine mmoja, tamaduni nyingine haziweki idadi, wengine wanaruhusu masuria etc.

Kwa hiyo kabla hujajadiliana nao kujua wamesimamia wapi, unaweza kumuita mtu malaya, kumbe kapata mpaka ruhusa ya mkewe kujinafasi.
 
Uswahili!

Oooh sawa mkuu.! Hapo sikubishii, ila mie naona tu wengi wa mademu wa siku hizi (sio wote) wako after fame and Money...! So hata wewe huenda [emoji12] ukija kuachwa utakuja kuweka Fb au Insta unawalipa wachambaji wamchambe Bwashee
 
Dangote Dangote Dangote nimekuita mara tatu ,Achana na Vichenchede vitakuua!! Tafuta wazee wenzako waliochangamka!!
 
Mwambie na ww mkuu
Mi nlimwambia mapema hakunisikia
Shaur yake hawachelewi kumtanguliza mbere

Dangote Dangote Dangote I called you three times,leave Young Girls aside,They will kill you,Find good old woman of your age!!
 
Mungu alisema hakuna atakaye mfika Kwa utajiri na mpaka leo hata dalili hakuna huyu alikula maishaaaa wake 700 Yan bao zote hzo khaa bado masuria wa kuokota okota
Aaangalie sana vibinti kama hivi vinakusukuma hotelini unaangukia kisogo R.I.P Mengi
 
Katika mambo yaliyotrend siku ya mwisho wa mwaka 2020 ni suala la mchepuko wa Mwafrika tajiri kuliko wote, Aliko Dangote kuweka hadharani mahusiano yao akidai moyo wake kuvunjwa katika vipande 1,000.

Katika ukurasa wake, mwanadada wa kimarekani Bea Lewis ambaye ni mmiliki wa mgahawa, alieleza kuwa licha ya moyo wake kuvunjwa amejifunza mengi ikiwemo namna bora ya kuendesha biashara yake na pia ameweza kununua ‘properties’ mbili na kuingia katika uwekezaji wa Real Estate.

Bea pia katika mtandao mmoja wa huko Nigeria alieleza kuwa alikutana na Dangote kwenye sehemu ya mauzo ya magari aina ya Mercedes.

View attachment 1665771

Katika akaunti yake ya mtandao wa Instagram Mrembo huyo Bea Lewis ameandika:

"In my 33rd Year:

I dated the richest black man in the world. He broke my heart in 1000 pieces. I learned more from him than any person I’ve ever met. Communicating with a billionaire daily makes you see the world different than your humble beginnings in liberty city.

I became more organized and finally am able to step away from the daily kitchen operations. I learned love without strings. Give your best without expectations.

Nothing is forever. I realized a half a million dollar restaurant project was a bad investment. I purchased two properties. I started a consistent fitness regime. Became vegan.

Obtained a profitable stock portfolio. He changed my perspective on work ethic and patience. Once my mindset changed the universe gravitated me to people that uplifted me and increased my net worth mentally and financially.

To 2021 and powerful encounters."


Wakati taarifa hizo zilizosindikizwa na picha ya wawili hao wakiwa wamekaribiana 0 distance zikiwa hazijapoa, mwanadada mwingine wa huko huko Marekani amejitokeza kumtetea “Bae” wake Dangote akisema kitendo alichofanya Bea si cha kiungwana na kuwa hakuwa “mchepuko” bali alipitiwa tu na mzee na bora angesainishwa NDA (Document ya kuhakikisha usiri).

View attachment 1665765

Mwanadada huyo ili ku- ‘make her point’ aliweka na video fupi ikimuonesha bilionea akiwa kajilaza kwenye kochi. Picha hiyo aliiambatanisha na ujumbe kwa Bea ukisema “Njoo Miami tule raha” akimaanisha yuko na Bilionea ndani ya nyumba.

Vilevile, kuendeleza uchokozi wake, mwanadada huyo anayedai kuwa babe wa Dangote alipost screenshot ikionesha message anazodai zinatoka kwa Dangote zikimkana Bea.

View attachment 1665764


Katika kujadili suala hili, Wanaijeria wameonekana kufurahia kupata jambo la kufungia na kufungulia mwaka huku wengi wakiwa washafanya ung’amuaji na kujua type ya Bilionea Dangote kuwa ni wanawake wembamba wenye matiti makubwa kama wanavyoonekana hapa chini.

View attachment 1665768

View attachment 1665767
umbeya tu
 
Jaribu kubwa la mtu tajiri ni ZINAA, UASHERATI, UZINZI!

Wale wezangu na mie wanaotafuta pesa kwa nguvu,,,,,waombe MUNGU sana zinaa iwaepuke siku wakifanikiwa kukamata hizo PESA. Hii ina-apply hadi kwa wanawake wanaofanikiwa kuwa matajiri. MUNGU aturehemu kwakweli
ongezea nyama nyama mkuu kuna ukweli mahali
 
Back
Top Bottom