Mpango wa kum-'demonise' Magufuli umeshindwa bila hata ya kuanza, watu wanazidi kumpenda

Ghana ingeendelea kutawaliwa na Nkurumah ingekuwa nchi ya hovyo mpaka leo. Ghana imepiga hatua kubwa sana kimaendeleo na demokrasia tangu kuondolewa kwa huyu dikteta uchwara aliyekuwa analazimisha ujamaa uchwara.

Ghana bado ni nchi ya Hovyo.
 
ninyi ndo mlikuwa mapunga wa magufuli, muwasho ushawaanza. Tafuta bwana mwingine. Bwana ako alishakufa.
 
Kama ni shetani kwanini mnasema mimi na magufuli ni kitu kimoja kwanini msiseme waziwazi kuwa mnampinga magufuli ....sisi tunataka wanasiasa wote mnao mpinga magufuli muwe wazi kabisa tuone kama mtapata hata asilimia 10 ya kura
Kura siyo kipimo cha ubinadamu. Isitoshe Magufuli alikuwa hakubaliki hata kwa 30% mwaka jana. Laiti angekuwa anakubalika asingeiba uchaguzi wote wa 2020
 
Wastani wa kipato cha raia wa Ghana kwa mwaka ni mara mbili yako na vyama tofauti vimekuwa vikibadilishana madaraka. Kojoa ukalale.
Ghana bado ni nchi ya Hovyo.
 
Nimekuelewa tena SANA
 
Hawa ni WARUNDI hakuna ubishi
 
Legacy ya magufuli haitafuta. Historia itamtaja daima. Tunamshukuru Mungu kwa maisha yake
Usifanye kufuru.
Mambo aliyofanya ya kuteka, kuua watu, kuwapoteza, kuwabambikia watu kesi, n.k., ndiyo unasema unashukuru kwa maisha yake? Mshukuru shetani, maana yale maisha yake ilikuwa ni kwa utukufu wa yule mwovu.
 
Ali kupote wewe? Au.una lopokatu
Wewe nenda katafute darasa la watu wazima. Uwezo wako ni wa chini sana. Wajinga kama ninyi ilikuwa ni halali ya dikteta kuzidi kuwajaza ujinga.

Mtu unashindwa kuandika hata sentensi moja ya Kiswahili, utakuwa na uwezo wa kutofautisha kiongozi mzuri na mbaya? Wewe ni wa kuonewa huruma kutokana na kiwango cha uelewa wako kuwa duni sana.
 
Mako yako ana sitahili darasa la watu wazima siyo jabali kama mimi kenge nimyama?
 
Wastani wa kipato cha raia wa Ghana kwa mwaka ni mara mbili yako na vyama tofauti vimekuwa vikibadilishana madaraka. Kojoa ukalale.

kipato changu unakijua?
Then inaonekana huna exposure, hujawahi toka nje ya hapo kisarawe, Ghana ni nchi ya kifala tu kama ilivyo Nigeria.
Then Njoo nikukojolee halafu nikalale.
 
Magufuli ni SHETANI aliyekuwa kwenye mwili wa Binadamu. Mungu amefurusha kwa vile alikuwa anaharibu nchi yetu kwa kasi ya 5G
Hats mumseme vibaya namna gani, Rais Magufuli "aliwashughulikia vilivyo" ninyi vyeti feki! Hakuna vya bure dunia hii. Watu tuliweka miguu kwenye ndoo zenye maji ili tupate vyeti halafu ninyi mliogopa umande mpate kazi kirahisi? Ropokeni yote Ila mkitaka maslahi, nendeni mkasome!
 
Magufuli ni SHETANI aliyekuwa kwenye mwili wa Binadamu. Mungu amefurusha kwa vile alikuwa anaharibu nchi yetu kwa kasi ya 5G
Dunia nzima ni mashahidi jinsi Samia anavyopata taabu kusafisha 'najisi' aliyoiacha Magufuli kwenye Nchi yetu.
Hakika, mwacheni Mungu aitwe Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…