Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,914
- 3,386
Ya kutupa watu kwenye viroba labdaLegacy ya magufuli haitafuta. Historia itamtaja daima. Tunamshukuru Mungu kwa maisha yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya kutupa watu kwenye viroba labdaLegacy ya magufuli haitafuta. Historia itamtaja daima. Tunamshukuru Mungu kwa maisha yake
Ghana ingeendelea kutawaliwa na Nkurumah ingekuwa nchi ya hovyo mpaka leo. Ghana imepiga hatua kubwa sana kimaendeleo na demokrasia tangu kuondolewa kwa huyu dikteta uchwara aliyekuwa analazimisha ujamaa uchwara.
MwendawazimuNani anapenda Marehemu wewe, tena marehemu mwenywe ni jiwe halafu alikuwaga kichaa kichaa hivi
Maisha ya kupoteza watuLegacy ya magufuli haitafuta. Historia itamtaja daima. Tunamshukuru Mungu kwa maisha yake
Ali kupote wewe? Au.una lopokatuMaisha ya kupoteza watu
ninyi ndo mlikuwa mapunga wa magufuli, muwasho ushawaanza. Tafuta bwana mwingine. Bwana ako alishakufa.Nchi za kibeberu na vibaraka wao wana tabia ya kuwazushia viongozi wanamapinduzi ubaya waonekane wabaya kama shetani.
Walipofanikiwa kumpindua Kwame Nkurumah wa Ghana walimzushia uongo mwingi hadi ikawa kisiasa ghana huwezi kufanikiwa kwa kuunga mkono siasa na sera za Nkrumah. Kutokana na propaganda za magharibi ikawa kama aibu mtu kuunga mkuno sera za ukombozi afrika na uchumi wa kijamaa. Waghana hadi leo hawampi nkurumah anayeheshimika Afrika nzima heshima anayostahili. Uwanja wa ndege wa kimataifa accra hadi leo unabeba jina la kotoko mtu aliyempindua Nkrumah.
Hata nchini guenea ni hivi karibuni tu kumeanza wimbi kuwaelimisha vijana na taifa Sekou Toure alikua kiongozi wa namna gani kwa waguenea na Afrika. Huyu naye alikua mwanamapinduzi ila ubeberu wamemchafua ili waguenea wasifuate mawazo yake.
Kwa nchi yetu ni tofauti kutokana na umoja na mwamko mzuri wa kisiasa wa wananchi. Licha ya kazi kubwa ya wapinga maendeleo wakiongozwa na ubeberu wameshindwa kumchafua Nyerere. Watanzania wanamkumbuka na kutaka dira yake ifuatwe. Hakuna mwanasiasa anaweza kufanikiwa tanzania kwa kumchafua Nyerere.
Tuliona baadhi ya viongozi wa Chadema wakitumika kuchafua jina na heshima ya nyerere hadi bungeni mmojawapo akiwa antipass lissu. Baada ya kuona wanajichafua kwa kujaribu kumchafua Nyerere wakageuza mbinu. Sasa wanajidai kumnukuu kila wakati nyerere ila kwa kupotosha kauli zake.
Magufuli amelinganishwa na nyerere kwa kutetea kwa nguvu maslahi ya umma kwenye uongozi wake. Tangu aitwe na mola wake tumeshuhudia furaha kwa wapinga maendeleo. Wamediriki hadi kumsifia mama kama mwokozi wa taifa dhidi ya uongozi uliyopita wa Magufuli. Juzi tu tumemsikia askofu mmoja akimtaka mama kutibu majeraha taifa.
Wanamapinduzi tunajua wenye majeraha ya magufuli ni fisadi na wazembe. Wale waliyojaribu kuiba mali au mashirika ya umma, wale waliyokua wamejimilikisha kinyemela mali za chama chao cha CCM, wale waliyokua wanashirikiana na barrick kuona madini ya nchi yanaibiwa makontena na makontena kwa kupewa ujira.
Sasa anatokea askofu eti mama ponya majeraha. Majeraha ya fisadi. Ina maana awarejeshe kwenye kudhulumu umma.
Tunamtahadharisha mama awe macho kukumbatiwa na watu waovu ambao wanategemea kuibia umma na kujitajirisha binafsi huku umma wa wananchi ukiendelea kufukarika.
Ni jambo la kutia moyo kuona jinsi wananchi wa tanzania wanavyomkumbuka magufuli. Ni hatari kwa kiongozi yeyote kutaka kufuata sera za kuwanufaisha wachache kwa gharama ya umma. Kimsingi CCM ni chama cha kulinda na kuendeleza maslahi ya umma. Wakifanya tofauti watapigwa chini.
Kura siyo kipimo cha ubinadamu. Isitoshe Magufuli alikuwa hakubaliki hata kwa 30% mwaka jana. Laiti angekuwa anakubalika asingeiba uchaguzi wote wa 2020Kama ni shetani kwanini mnasema mimi na magufuli ni kitu kimoja kwanini msiseme waziwazi kuwa mnampinga magufuli ....sisi tunataka wanasiasa wote mnao mpinga magufuli muwe wazi kabisa tuone kama mtapata hata asilimia 10 ya kura
Ghana bado ni nchi ya Hovyo.
Nimekuelewa tena SANANchi za kibeberu na vibaraka wao wana tabia ya kuwazushia viongozi wanamapinduzi ubaya waonekane wabaya kama shetani.
Walipofanikiwa kumpindua Kwame Nkurumah wa Ghana walimzushia uongo mwingi hadi ikawa kisiasa ghana huwezi kufanikiwa kwa kuunga mkono siasa na sera za Nkrumah. Kutokana na propaganda za magharibi ikawa kama aibu mtu kuunga mkuno sera za ukombozi afrika na uchumi wa kijamaa. Waghana hadi leo hawampi nkurumah anayeheshimika Afrika nzima heshima anayostahili. Uwanja wa ndege wa kimataifa accra hadi leo unabeba jina la kotoko mtu aliyempindua Nkrumah.
Hata nchini guenea ni hivi karibuni tu kumeanza wimbi kuwaelimisha vijana na taifa Sekou Toure alikua kiongozi wa namna gani kwa waguenea na Afrika. Huyu naye alikua mwanamapinduzi ila ubeberu wamemchafua ili waguenea wasifuate mawazo yake.
Kwa nchi yetu ni tofauti kutokana na umoja na mwamko mzuri wa kisiasa wa wananchi. Licha ya kazi kubwa ya wapinga maendeleo wakiongozwa na ubeberu wameshindwa kumchafua Nyerere. Watanzania wanamkumbuka na kutaka dira yake ifuatwe. Hakuna mwanasiasa anaweza kufanikiwa tanzania kwa kumchafua Nyerere.
Tuliona baadhi ya viongozi wa Chadema wakitumika kuchafua jina na heshima ya nyerere hadi bungeni mmojawapo akiwa antipass lissu. Baada ya kuona wanajichafua kwa kujaribu kumchafua Nyerere wakageuza mbinu. Sasa wanajidai kumnukuu kila wakati nyerere ila kwa kupotosha kauli zake.
Magufuli amelinganishwa na nyerere kwa kutetea kwa nguvu maslahi ya umma kwenye uongozi wake. Tangu aitwe na mola wake tumeshuhudia furaha kwa wapinga maendeleo. Wamediriki hadi kumsifia mama kama mwokozi wa taifa dhidi ya uongozi uliyopita wa Magufuli. Juzi tu tumemsikia askofu mmoja akimtaka mama kutibu majeraha taifa.
Wanamapinduzi tunajua wenye majeraha ya magufuli ni fisadi na wazembe. Wale waliyojaribu kuiba mali au mashirika ya umma, wale waliyokua wamejimilikisha kinyemela mali za chama chao cha CCM, wale waliyokua wanashirikiana na barrick kuona madini ya nchi yanaibiwa makontena na makontena kwa kupewa ujira.
Sasa anatokea askofu eti mama ponya majeraha. Majeraha ya fisadi. Ina maana awarejeshe kwenye kudhulumu umma.
Tunamtahadharisha mama awe macho kukumbatiwa na watu waovu ambao wanategemea kuibia umma na kujitajirisha binafsi huku umma wa wananchi ukiendelea kufukarika.
Ni jambo la kutia moyo kuona jinsi wananchi wa tanzania wanavyomkumbuka magufuli. Ni hatari kwa kiongozi yeyote kutaka kufuata sera za kuwanufaisha wachache kwa gharama ya umma. Kimsingi CCM ni chama cha kulinda na kuendeleza maslahi ya umma. Wakifanya tofauti watapigwa chini.
Magufuli ni WA watanzania hutafanikiwa kumchafua.Wasukuma kubalini tu, Magufuli ameshaumaliza mwendo na maisha lazima yasonge mbele....
Kwanini mnajitesa hivi?
Mimi naweza kupotea kizembe uyo nduguyenu alichanganyikiwaAli kupote wewe? Au.una lopokatu
Legacy ya magufuli haitafuta. Historia itamtaja daima. Tunamshukuru Mungu kwa maisha yake
Hawa ni WARUNDI hakuna ubishiKwa nini Sukuma GANG mnalazimisha nchi ipasuke hii. Magufuli aliwadanganya kama mnajiona mna umuhimu sana kwenye hili Taifa, nyinyi ni majambazi tu mliokuwa mnatumwa na Magufuli kufanya unyang’anyi , kutesa na Kuua watanzania. Tabia za Kirundi au nyie ni Warundi mliojificha kwenye Usukuma ili kuuwa watanzania.
Usifanye kufuru.Legacy ya magufuli haitafuta. Historia itamtaja daima. Tunamshukuru Mungu kwa maisha yake
Wewe nenda katafute darasa la watu wazima. Uwezo wako ni wa chini sana. Wajinga kama ninyi ilikuwa ni halali ya dikteta kuzidi kuwajaza ujinga.Ali kupote wewe? Au.una lopokatu
Mako yako ana sitahili darasa la watu wazima siyo jabali kama mimi kenge nimyama?Wewe nenda katafute darasa la watu wazima. Uwezo wako ni wa chini sana. Wajinga kama ninyi ilikuwa ni halali ya dikteta kuzidi kuwajaza ujinga.
Mtu unashindwa kuandika hata sentensi moja ya Kiswahili, utakuwa na uwezo wa kutofautisha kiongozi mzuri na mbaya? Wewe ni wa kuonewa huruma kutokana na kiwango cha uelewa wako kuwa duni sana.
Wastani wa kipato cha raia wa Ghana kwa mwaka ni mara mbili yako na vyama tofauti vimekuwa vikibadilishana madaraka. Kojoa ukalale.
Hats mumseme vibaya namna gani, Rais Magufuli "aliwashughulikia vilivyo" ninyi vyeti feki! Hakuna vya bure dunia hii. Watu tuliweka miguu kwenye ndoo zenye maji ili tupate vyeti halafu ninyi mliogopa umande mpate kazi kirahisi? Ropokeni yote Ila mkitaka maslahi, nendeni mkasome!Magufuli ni SHETANI aliyekuwa kwenye mwili wa Binadamu. Mungu amefurusha kwa vile alikuwa anaharibu nchi yetu kwa kasi ya 5G
Dunia nzima ni mashahidi jinsi Samia anavyopata taabu kusafisha 'najisi' aliyoiacha Magufuli kwenye Nchi yetu.Magufuli ni SHETANI aliyekuwa kwenye mwili wa Binadamu. Mungu amefurusha kwa vile alikuwa anaharibu nchi yetu kwa kasi ya 5G