Mpango wa kum-'demonise' Magufuli umeshindwa bila hata ya kuanza, watu wanazidi kumpenda

Sukuma gang mnataabika sana
 
Kama ni shetani kwanini mnasema mimi na magufuli ni kitu kimoja kwanini msiseme waziwazi kuwa mnampinga magufuli ....sisi tunataka wanasiasa wote mnao mpinga magufuli muwe wazi kabisa tuone kama mtapata hata asilimia 10 ya kura
2020 Lissu alimgagaraza huyu mungu wenu ikabidi tiss na polisi wamsaidie
 
Unadhani Tukisema Magufuli alikuwa kiongozi muovu hatuelewi au unadhani tumeambiwa na wazungu? Kwanza mzungu gani alikuwa anamjua Magufuli? Kama unamsifia msifie kimpango wako lakini sisi wengine tunajua alikuwa kiongozi muovu, na ushahidi tunao. Ww kaa piga propaganda mfu hapa jukwaani ukidhani tulikuwa hatumjua au unadhani ni mpaka mtu atuambie.
 
Kafa huyo mungu wenu
 
Jpm alichofanikiwa ni kuwamwaga wamachinga mabarabarani tu na kuziba kila kona magari hayapiti na maduka yamezibwa. Kwa hiki jpm alifanikiwa zaidi ya hapo hakuna lingine
Jpm alichofanikiwa ni kuwamwaga wamachinga mabarabarani tu na kuziba kila kona magari hayapiti na maduka yamezibwa. Kwa hiki jpm alifanikiwa zaidi ya hapo hakuna lingine
 

Kama Magufuli alimshinda Lisu kwa kura aizoshuritisha atangazwe nazo, ingia kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi kama matokeo ya uchaguzi ule bado yapo. Toka wakati wa kampeni hadi kufikia mauti yake, Magufuli hakuwahi kupata furaha tena, maana aliona ukweli uliomuumiza. Idadi ya watu aliopata Lisu na matarajio yake yalikuwa tofauti, ndio maana akaagiza ccm watangazwe kwa shuruti. Huu ni ukweli unaomuumiza kila mwanaccm. Hivi leo ccm imegeuka kuwa chama kinachotegemea nguvu za dola tu maana kimeshapoteza ushawishi kwa umma, ndio maana haiko kuruhusu Cdm tayari ifanye mikutano ya kukutana na wananchi, kwani wanajua Cdm ndio inavyokubalika na wananchi.
 

Huu muda ulitumia kuandika huu utoto hapa, ni bora ungejifunza kuandika kwa usahihi.
 
Jamani JPM alishakufa twende na Mama Yetu ili tufike tunakokwenda! Kuendelea kutukana,kugombana na watu ili kumtetea Marehemu haiwezekani wala haisaidii!
 
Katushughulikia halafu kafa yeye. Nini vyeti feki vya Form IV? Yeye alikuwa na PhD "feki" ya maganda ya korosho. Ben Saanane alipohoji akamateka na akamuua mwenyewe kwa bastola yake. Kisha wakamtumbukiza baharini.

Kubalini tu Magufuli alikuwa shetani ndani ya mwili wa binadamu
 
Mlete makoyako atajuwa kuandika mimi ni jabali hakuna nisicho kijuwa kenge kasolo mkia

😁😁 nimecheka kwa nguvu kinoma ww kilaza wa sukuma gang unachoandika hapa. Rudi shule sasa hivi elimu ni bure mami.
 
Toa povu tu, lakini ulaji ndio mliishatemeshwa na Jiwe! Eti kafa. Babaako yuko hai?
 
Dunia nzima ni mashahidi jinsi Samia anavyopata taabu kusafisha 'najisi' aliyoiacha Magufuli kwenye Nchi yetu.
Hakika, mwacheni Mungu aitwe Mungu.
Ahahahahahahahaj! Ngoja tuzitunze hizi komenti kwa ajili ya rejea hapo baadae!
 
Hakuna atakayethubutu kumkashfu JPM na akabaki salama.Hilo lipo wazi.
Kule nyuma, Kenge wachache walijaribu kutaka kufuta nyayo za JPM kwa kujaribu kubeza juhudi alizofanya alipokuwa hai. MOTO wa NYUKLIA ulipowawakia walirudi nyuma na kukaa kimya hadi leo. Baadhi yao walikuwa ni Wabunge.
Sasa wamebadili style.Hawambezi JPM moja kwa moja. Badala yake wanamsifia sifia sana mama. Lakini pia wanatumia lugha za kila aina lengo likiwa ni kuuaminisha umma kama utawala uliopita ulikuwa ni wa hatari.
Ndipo sasa unapokuja kuwasikia KENGE wengine wakimwambia mama eti aliponye Taifa. Ujinga mtupu!
Nyayo za JPM haziwezi kufutwa kijinga namna hiyo.
Atakayejaribu kufuta atafutwa yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…