Mpango wa kum-'demonise' Magufuli umeshindwa bila hata ya kuanza, watu wanazidi kumpenda

Nchi za kibeberu na vibaraka wao wana tabia ya kuwazushia viongozi wanamapinduzi ubaya waonekane wabaya kama shetani.

Walipofanikiwa kumpindua Kwame Nkurumah wa Ghana walimzushia uongo mwingi hadi ikawa kisiasa ghana huwezi kufanikiwa kwa kuunga mkono siasa na sera za Nkrumah. Kutokana na propaganda za magharibi ikawa kama aibu mtu kuunga mkuno sera za ukombozi afrika na uchumi wa kijamaa. Waghana hadi leo hawampi nkurumah anayeheshimika Afrika nzima heshima anayostahili. Uwanja wa ndege wa kimataifa accra hadi leo unabeba jina la kotoko mtu aliyempindua Nkrumah.

Hata nchini guenea ni hivi karibuni tu kumeanza wimbi kuwaelimisha vijana na taifa Sekou Toure alikua kiongozi wa namna gani kwa waguenea na Afrika. Huyu naye alikua mwanamapinduzi ila ubeberu wamemchafua ili waguenea wasifuate mawazo yake.

Kwa nchi yetu ni tofauti kutokana na umoja na mwamko mzuri wa kisiasa wa wananchi. Licha ya kazi kubwa ya wapinga maendeleo wakiongozwa na ubeberu wameshindwa kumchafua Nyerere. Watanzania wanamkumbuka na kutaka dira yake ifuatwe. Hakuna mwanasiasa anaweza kufanikiwa tanzania kwa kumchafua Nyerere.

Tuliona baadhi ya viongozi wa Chadema wakitumika kuchafua jina na heshima ya nyerere hadi bungeni mmojawapo akiwa antipass lissu. Baada ya kuona wanajichafua kwa kujaribu kumchafua Nyerere wakageuza mbinu. Sasa wanajidai kumnukuu kila wakati nyerere ila kwa kupotosha kauli zake.

Magufuli amelinganishwa na nyerere kwa kutetea kwa nguvu maslahi ya umma kwenye uongozi wake. Tangu aitwe na mola wake tumeshuhudia furaha kwa wapinga maendeleo. Wamediriki hadi kumsifia mama kama mwokozi wa taifa dhidi ya uongozi uliyopita wa Magufuli. Juzi tu tumemsikia askofu mmoja akimtaka mama kutibu majeraha taifa.

Wanamapinduzi tunajua wenye majeraha ya magufuli ni fisadi na wazembe. Wale waliyojaribu kuiba mali au mashirika ya umma, wale waliyokua wamejimilikisha kinyemela mali za chama chao cha CCM, wale waliyokua wanashirikiana na barrick kuona madini ya nchi yanaibiwa makontena na makontena kwa kupewa ujira.

Sasa anatokea askofu eti mama ponya majeraha. Majeraha ya fisadi. Ina maana awarejeshe kwenye kudhulumu umma.
Tunamtahadharisha mama awe macho kukumbatiwa na watu waovu ambao wanategemea kuibia umma na kujitajirisha binafsi huku umma wa wananchi ukiendelea kufukarika.

Ni jambo la kutia moyo kuona jinsi wananchi wa tanzania wanavyomkumbuka magufuli. Ni hatari kwa kiongozi yeyote kutaka kufuata sera za kuwanufaisha wachache kwa gharama ya umma. Kimsingi CCM ni chama cha kulinda na kuendeleza maslahi ya umma. Wakifanya tofauti watapigwa chini.
Sukuma gang mnataabika sana
 
Kama ni shetani kwanini mnasema mimi na magufuli ni kitu kimoja kwanini msiseme waziwazi kuwa mnampinga magufuli ....sisi tunataka wanasiasa wote mnao mpinga magufuli muwe wazi kabisa tuone kama mtapata hata asilimia 10 ya kura
2020 Lissu alimgagaraza huyu mungu wenu ikabidi tiss na polisi wamsaidie
 
Nchi za kibeberu na vibaraka wao wana tabia ya kuwazushia viongozi wanamapinduzi ubaya waonekane wabaya kama shetani.

Walipofanikiwa kumpindua Kwame Nkurumah wa Ghana walimzushia uongo mwingi hadi ikawa kisiasa ghana huwezi kufanikiwa kwa kuunga mkono siasa na sera za Nkrumah. Kutokana na propaganda za magharibi ikawa kama aibu mtu kuunga mkuno sera za ukombozi afrika na uchumi wa kijamaa. Waghana hadi leo hawampi nkurumah anayeheshimika Afrika nzima heshima anayostahili. Uwanja wa ndege wa kimataifa accra hadi leo unabeba jina la kotoko mtu aliyempindua Nkrumah.

Hata nchini guenea ni hivi karibuni tu kumeanza wimbi kuwaelimisha vijana na taifa Sekou Toure alikua kiongozi wa namna gani kwa waguenea na Afrika. Huyu naye alikua mwanamapinduzi ila ubeberu wamemchafua ili waguenea wasifuate mawazo yake.

Kwa nchi yetu ni tofauti kutokana na umoja na mwamko mzuri wa kisiasa wa wananchi. Licha ya kazi kubwa ya wapinga maendeleo wakiongozwa na ubeberu wameshindwa kumchafua Nyerere. Watanzania wanamkumbuka na kutaka dira yake ifuatwe. Hakuna mwanasiasa anaweza kufanikiwa tanzania kwa kumchafua Nyerere.

Tuliona baadhi ya viongozi wa Chadema wakitumika kuchafua jina na heshima ya nyerere hadi bungeni mmojawapo akiwa antipass lissu. Baada ya kuona wanajichafua kwa kujaribu kumchafua Nyerere wakageuza mbinu. Sasa wanajidai kumnukuu kila wakati nyerere ila kwa kupotosha kauli zake.

Magufuli amelinganishwa na nyerere kwa kutetea kwa nguvu maslahi ya umma kwenye uongozi wake. Tangu aitwe na mola wake tumeshuhudia furaha kwa wapinga maendeleo. Wamediriki hadi kumsifia mama kama mwokozi wa taifa dhidi ya uongozi uliyopita wa Magufuli. Juzi tu tumemsikia askofu mmoja akimtaka mama kutibu majeraha taifa.

Wanamapinduzi tunajua wenye majeraha ya magufuli ni fisadi na wazembe. Wale waliyojaribu kuiba mali au mashirika ya umma, wale waliyokua wamejimilikisha kinyemela mali za chama chao cha CCM, wale waliyokua wanashirikiana na barrick kuona madini ya nchi yanaibiwa makontena na makontena kwa kupewa ujira.

Sasa anatokea askofu eti mama ponya majeraha. Majeraha ya fisadi. Ina maana awarejeshe kwenye kudhulumu umma.
Tunamtahadharisha mama awe macho kukumbatiwa na watu waovu ambao wanategemea kuibia umma na kujitajirisha binafsi huku umma wa wananchi ukiendelea kufukarika.

Ni jambo la kutia moyo kuona jinsi wananchi wa tanzania wanavyomkumbuka magufuli. Ni hatari kwa kiongozi yeyote kutaka kufuata sera za kuwanufaisha wachache kwa gharama ya umma. Kimsingi CCM ni chama cha kulinda na kuendeleza maslahi ya umma. Wakifanya tofauti watapigwa chini.
Unadhani Tukisema Magufuli alikuwa kiongozi muovu hatuelewi au unadhani tumeambiwa na wazungu? Kwanza mzungu gani alikuwa anamjua Magufuli? Kama unamsifia msifie kimpango wako lakini sisi wengine tunajua alikuwa kiongozi muovu, na ushahidi tunao. Ww kaa piga propaganda mfu hapa jukwaani ukidhani tulikuwa hatumjua au unadhani ni mpaka mtu atuambie.
 
Wanasiasa watakaojitenga na Jiwe kwa kumsema vibaya lazima waangukie pua,wajaribu waone
2025 siyo mbali.

Hawa wa JF ni debe tupu,hawa ndiyo waliitisha maandamano yasiyokoma siku ya maandamano hata kivuri Chao hakikuonekana.
Walimdanganya Lissu aje agombee atashinda kwa zaidi ya 80&, Alichokipata anajuta ndo maana hataki hata kurudi pamoja na kuwa Mwendazake alitwaliwa.
Kafa huyo mungu wenu
 
Jpm alichofanikiwa ni kuwamwaga wamachinga mabarabarani tu na kuziba kila kona magari hayapiti na maduka yamezibwa. Kwa hiki jpm alifanikiwa zaidi ya hapo hakuna lingine

Nchi za kibeberu na vibaraka wao wana tabia ya kuwazushia viongozi wanamapinduzi ubaya waonekane wabaya kama shetani. Walipofanikiwa kumpindua Kwame Nkurumah wa Ghana walimzushia uongo mwingi hadi ikawa kisiasa ghana huwezi kufanikiwa kwa kuunga mkono siasa na sera za Nkrumah. Kutokana na propaganda za magharibi ikawa kama aibu mtu kuunga mkuno sera za ukombozi afrika na uchumi wa kijamaa. Waghana hadi leo hawampi nkurumah anayeheshimika Afrika nzima heshima anayostahili. Uwanja wa ndege wa kimataifa accra hadi leo unabeba jina la kotoko mtu aliyempindua Nkrumah. Hata nchini guenea ni hivi karibuni tu kumeanza wimbi kuwaelimisha vijana na taifa Sekou Toure alikua kiongozi wa namna gani kwa waguenea na Afrika. Huyu naye alikua mwanamapinduzi ila ubeberu wamemchafua ili waguenea wasifuate mawazo yake. Kwa nchi yetu ni tofauti kutokana na umoja na mwamko mzuri wa kisiasa wa wananchi. Licha ya kazi kubwa ya wapinga maendeleo wakiongozwa na ubeberu wameshindwa kumchafua Nyerere. Watanzania wanamkumbuka na kutaka dira yake ifuatwe. Hakuna mwanasiasa anaweza kufanikiwa tanzania kwa kumchafua Nyerere. Tuliona baadhi ya viongozi wa Chadema wakitumika kuchafua jina na heshima ya nyerere hadi bungeni mmojawapo akiwa antipass lissu. Baada ya kuona wanajichafua kwa kujaribu kumchafua Nyerere wakageuza mbinu. Sasa wanajidai kumnukuu kila wakati nyerere ila kwa kupotosha kauli zake. Magufuli amelinganishwa na nyerere kwa kutetea kwa nguvu maslahi ya umma kwenye uongozi wake. Tangu aitwe na mola wake tumeshuhudia furaha kwa wapinga maendeleo. Wamediriki hadi kumsifia mama kama mwokozi wa taifa dhidi ya uongozi uliyopita wa Magufuli. Juzi tu tumemsikia askofu mmoja akimtaka mama kutibu majeraha taifa. Wanamapinduzi tunajua wenye majeraha ya magufuli ni fisadi na wazembe. Wale waliyojaribu kuiba mali au mashirika ya umma, wale waliyokua wamejimilikisha kinyemela mali za chama chao cha CCM, wale waliyokua wanashirikiana na barrick kuona madini ya nchi yanaibiwa makontena na makontena kwa kupewa ujira. Sasa anatokea askofu eti mama ponya majeraha. Majeraha ya fisadi. Ina maana awarejeshe kwenye kudhulumu umma. Tunamtahadharisha mama awe macho kukumbatiwa na watu waovu ambao wanategemea kuibia umma na kujitajirisha binafsi huku umma wa wananchi ukiendelea kufukarika. Ni jambo la kutia moyo kuona jinsi wananchi wa tanzania wanavyomkumbuka magufuli. Ni hatari kwa kiongozi yeyote kutaka kufuata sera za kuwanufaisha wachache kwa gharama ya umma. Kimsingi CCM ni chama cha kulinda na kuendeleza maslahi ya umma. Wakifanya tofauti watapigwa chini.

Kama Magufuli alimshinda Lisu kwa kura aizoshuritisha atangazwe nazo, ingia kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi kama matokeo ya uchaguzi ule bado yapo. Toka wakati wa kampeni hadi kufikia mauti yake, Magufuli hakuwahi kupata furaha tena, maana aliona ukweli uliomuumiza. Idadi ya watu aliopata Lisu na matarajio yake yalikuwa tofauti, ndio maana akaagiza ccm watangazwe kwa shuruti. Huu ni ukweli unaomuumiza kila mwanaccm. Hivi leo ccm imegeuka kuwa chama kinachotegemea nguvu za dola tu maana kimeshapoteza ushawishi kwa umma, ndio maana haiko kuruhusu Cdm tayari ifanye mikutano ya kukutana na wananchi, kwani wanajua Cdm ndio inavyokubalika na wananchi.
 
Watanzania kama wewe akilizenu kama mavi ya matoto mchanga yasiyo nuka hivi una fikilia kupewa chanjo nihitaji letu sisi kama watz mkopo waleli hatuku hitaji nchihii nitajili sana wenye kujuwa haya niwachache kwahawa viongoz wasasa beberu alisha pola mpaka akili zao hawajuwi kama tz nitajili jpm atazidi kukumbukwa

Huu muda ulitumia kuandika huu utoto hapa, ni bora ungejifunza kuandika kwa usahihi.
 
Jamani JPM alishakufa twende na Mama Yetu ili tufike tunakokwenda! Kuendelea kutukana,kugombana na watu ili kumtetea Marehemu haiwezekani wala haisaidii!
 
Hats mumseme vibaya namna gani, Rais Magufuli "aliwashughulikia vilivyo" ninyi vyeti feki! Hakuna vya bure dunia hii. Watu tuliweka miguu kwenye ndoo zenye maji ili tupate vyeti halafu ninyi mlioohopa umande mpate kazi kirahisi? Ropokeni yote Ila mkitaka maslahi, nendeni mkasome!
Katushughulikia halafu kafa yeye. Nini vyeti feki vya Form IV? Yeye alikuwa na PhD "feki" ya maganda ya korosho. Ben Saanane alipohoji akamateka na akamuua mwenyewe kwa bastola yake. Kisha wakamtumbukiza baharini.

Kubalini tu Magufuli alikuwa shetani ndani ya mwili wa binadamu
 
Mlete makoyako atajuwa kuandika mimi ni jabali hakuna nisicho kijuwa kenge kasolo mkia

😁😁 nimecheka kwa nguvu kinoma ww kilaza wa sukuma gang unachoandika hapa. Rudi shule sasa hivi elimu ni bure mami.
 
Katushughulikia halafu kafa yeye. Nini vyeti feki vya Form IV? Yeye alikuwa na PhD "feki" ya maganda ya korosho. Ben Saanane alipohoji akamateka na akamuua mwenyewe kwa bastola yake. Kisha wakamtumbukiza baharini.

Kubalini tu Magufuli alikuwa shetani ndani ya mwili wa binadamu
Toa povu tu, lakini ulaji ndio mliishatemeshwa na Jiwe! Eti kafa. Babaako yuko hai?
 
Dunia nzima ni mashahidi jinsi Samia anavyopata taabu kusafisha 'najisi' aliyoiacha Magufuli kwenye Nchi yetu.
Hakika, mwacheni Mungu aitwe Mungu.
Ahahahahahahahaj! Ngoja tuzitunze hizi komenti kwa ajili ya rejea hapo baadae!
 
Hakuna atakayethubutu kumkashfu JPM na akabaki salama.Hilo lipo wazi.
Kule nyuma, Kenge wachache walijaribu kutaka kufuta nyayo za JPM kwa kujaribu kubeza juhudi alizofanya alipokuwa hai. MOTO wa NYUKLIA ulipowawakia walirudi nyuma na kukaa kimya hadi leo. Baadhi yao walikuwa ni Wabunge.
Sasa wamebadili style.Hawambezi JPM moja kwa moja. Badala yake wanamsifia sifia sana mama. Lakini pia wanatumia lugha za kila aina lengo likiwa ni kuuaminisha umma kama utawala uliopita ulikuwa ni wa hatari.
Ndipo sasa unapokuja kuwasikia KENGE wengine wakimwambia mama eti aliponye Taifa. Ujinga mtupu!
Nyayo za JPM haziwezi kufutwa kijinga namna hiyo.
Atakayejaribu kufuta atafutwa yeye.
 
Back
Top Bottom