Hakuna kitu Kama Sukuma gang ...it is a myth...wewe na wenzio ndio mmepanick Tena Sana..wewe fikiria mtu mmoja mjinga na mpumbavu baada ya kifo Cha Magufuli alitamka hadharani Tena bila aibu kuwa eti wakati wa JPM kabila Hilo la kaskazini mwa nchi yetu lilikuwa linabaguliwa kwa kutopewa teuzi mbalimbali...can you imagine? Eti walikuwa hawapati teuzi...dah...nchi hiii in makabila karibu 120 sasa fikiria kama Kila kabila litaanza kuhoji kuhusu teuzi...yaani wamwera waanze kuhoji, wapare nao wahoji, sijui watindiga nao wahoji, nao watindiga wahoji, waha wahoji, wamakonde wahoji, wayao, wamakua, wanyakyusa, wabarbag warangi na makabila mengine yote yaanze kuhoji kuhusu teuzi...duh...huu ndio upumbavu na ujinga...sasa hivi karibu makabila yote Yana wasomi na ni tofauti kabisa na wakati wa enzi za ukoloni na miaka iliyofuatia baada ya Uhuru wakati ni maeneo machache tu ya nchi yalinufaika kimfumo katika elimu na miundombinu...siku hizi sekondari zipo Kila kata kwa hiyo wasomi wapo Kila maeneo ya nchi yetu na ambao wanaweza kupata teuzi ...
Mimi nawashangaa hao watu wa kabila Hilo kwa kuanza kuwasema eti kinachoitwa Sukuma gang...wakumbuke tu kwa sasa wasukuma wako Kati ya milioni 12 na 15 nchi nzima...ndio kabila kubwa Tanzania ..ni kabila ambalo ni la watu wapole na wacheshi..hawana ubaguzi wowote ule...wako Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Geita, kagera, Tabora, Mara, Singida, maeneo ya Songwe, iringa, Mbeya mpaka Rukwa...it is a very big tribe, very big indeed...wangekuwa ni watu wa kujisikia tungepata tasbu Sana nchi hii...sasa mijitu mingine mijinga inaanza kuoiga ngoma za kibaguzi dhidi ya wasukuma ...it is a big mistake...sisi wengine tunaoifahamu nchi hii na historia yake lazima tulikemee hili kwa nguvu zote...