and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Enzi Magufuli anaingia madarakani 2015 alikuja na mipango kabambe kubana matumiz ya Seikali ikiwamo;
1. Kupunguza Safari za nje ya nchi kwa Watumishi (Wakiwemo Viongozi na Maafisa Waandamizi - Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi na Wakuu wa Taasisi za Umma).
LEO HII: Ni mwendo wa kupanda Business Class tu hata Dar-Dodoma tu. Economy sahau
2. Serikali kutumia majengo/Taasisi zake kwenye ujenzi, mikutano na huduma nyinginezo.
3. Posho za Semina na mikutano,
4. Sherehe zisizo na tija,
5. Kufukuza (kutumbua) wala Rushwa na scandal papo kwa papo. Nakumbuka Waziri akizembea atastukia tu katumbuliwa hata kama yupo jukwaani - Mwigulu, kangi Lugola, Kigwangallah
6.
NB: Haya yote yamerudi kwa kasi ya Mwanga. Imekaaje wadau?