Mpango wa Serikali kubana Matumizi (Austerity Measures) ulienda na Magufuli?

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Enzi Magufuli anaingia madarakani 2015 alikuja na mipango kabambe kubana matumiz ya Seikali ikiwamo;

1. Kupunguza Safari za nje ya nchi kwa Watumishi (Wakiwemo Viongozi na Maafisa Waandamizi - Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi na Wakuu wa Taasisi za Umma).
LEO HII: Ni mwendo wa kupanda Business Class tu hata Dar-Dodoma tu. Economy sahau
2. Serikali kutumia majengo/Taasisi zake kwenye ujenzi, mikutano na huduma nyinginezo.

3. Posho za Semina na mikutano,

4. Sherehe zisizo na tija,

5. Kufukuza (kutumbua) wala Rushwa na scandal papo kwa papo. Nakumbuka Waziri akizembea atastukia tu katumbuliwa hata kama yupo jukwaani - Mwigulu, kangi Lugola, Kigwangallah

6.

NB: Haya yote yamerudi kwa kasi ya Mwanga. Imekaaje wadau?
 
Kuna dogo mmoja hv hapa mtaani kwetu enzi za JPM alimuita n dikteta uchwara, sasa hv nae analalamika kuitwa hvy hvy dikteta uchwara 😂
saliti tu huyo dogo.
na hiyo ingetotokea uchina angenyongwa na kupotezewa mazima

manafiki sana haya manyumbu na usaliti wao uliobubujikwa na kelele na unafiki wa wazungu.
 
Pamoja na kukatiwa na misaada na Trump ila wala hawajali huku wakifurahia za Ulaya

Ukiisha zoea vya bure basi unakuwa kilema wa Akili
Magu aliliona hilo na alitaka apambane nalo hili zimwi
Ila hawa wa sasa wanaendeleza maisha ya kuwa tegemezi kwa wazungu shame 🫠
 
Huyu bibi huyu Mungu tu amzidishie maisha marefu yani hamna kitu kabisa sijui hii mitano mingine itakuaje

Mwenyezi Mungu tufanyie wepesi sisi na taifa lako.
 
Enzi Magufuli anaingia madarakani 2015 alikuja na mipango kabambe kubana matumiz ya Seikali ikiwamo;

1. Kupunguza Safari za nje ya nchi kwa Watumishi (Wakiwemo Viongozi na Maafisa Waandamizi - Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi na Wakuu wa Taasisi za Umma).
LEO HII: Ni mwendo wa kupanda Business Class tu hata Dar-Dodoma tu. Economy sahau
2. Serikali kutumia majengo/Taasisi zake kwenye ujenzi, mikutano na huduma nyinginezo.

3. Posho za Semina na mikutano,

4. Sherehe zisizo na tija,

5. Kufukuza (kutumbua) wala Rushwa na scandal papo kwa papo. Nakumbuka Waziri akizembea atastukia tu katumbuliwa hata kama yupo jukwaani - Mwigulu, kangi Lugola, Kigwangallah

6.

NB: Haya yote yamerudi kwa kasi ya Mwanga. Imekaaje wadau?
The country has gone back to the dogs.
 
Mwaka 2017-2019 ile tabia ya wabunge wa Upinzani kuhamia CCM na kurudia uchaguzi ilinifanya nimdharau na kumchukulia poa

Maana zile gharama alizokuwa anaharibu katika uchaguzi ni mabilioni ya hela so jamaa alikuwa mswahili Sana hakuwa dedicated and committed to serve our country

Ccm ni ccm zero brainer
 
Watu wanapishana angani kama kunguru siku hizi!!
 
Mwaka 2017-2019 ile tabia ya wabunge wa Upinzani kuhamia CCM na kurudia uchaguzi ilinifanya nimdharau na kumchukulia poa

Maana zile gharama alizokuwa anaharibu katika uchaguzi ni mabilioni ya hela so jamaa alikuwa mswahili Sana hakuwa dedicated and committed to serve our country

Ccm ni ccm zero brainer
Jikite kwenye hoja mkuu.
 
Enzi Magufuli anaingia madarakani 2015 alikuja na mipango kabambe kubana matumiz ya Seikali ikiwamo;

1. Kupunguza Safari za nje ya nchi kwa Watumishi (Wakiwemo Viongozi na Maafisa Waandamizi - Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi na Wakuu wa Taasisi za Umma).
LEO HII: Ni mwendo wa kupanda Business Class tu hata Dar-Dodoma tu. Economy sahau
2. Serikali kutumia majengo/Taasisi zake kwenye ujenzi, mikutano na huduma nyinginezo.

3. Posho za Semina na mikutano,

4. Sherehe zisizo na tija,

5. Kufukuza (kutumbua) wala Rushwa na scandal papo kwa papo. Nakumbuka Waziri akizembea atastukia tu katumbuliwa hata kama yupo jukwaani - Mwigulu, kangi Lugola, Kigwangallah

6.

NB: Haya yote yamerudi kwa kasi ya Mwanga. Imekaaje wadau?
Hiyo serikali iliyo kuwa inabana matumizi mbona haikubana matumizi kwa kupunguza mishaara na posho za kufuru za wabunge, mawaziri na maofisa wengine wakuu wa serikali?
Au unaona wivu wa mwalimu kupokea posho ya 10000 kwa siku kwenye semina ila wakati huo huoni ajabu kwa mbunge kupokea posho ya 200, 000 kwenye kikao kimoja tu cha bunge kisicho dumu hata masaa matano?
Mbona haikupunguza ununuzi wa mav8 ya mabilion kila mwaka?
Mbona haikupunguza rundo la misafara ya magari kwenye kwenye ziara za viongozi kiasi kwamba akina makonda walikuwa wanatembea na misafara utadhani ni waziri mkuu?
Serikali inayo bana matumizi ndo hiyo iliyo kuwa inatumia mabilion ya fedha kununua wabunge wa upinzani wahamie CCM alafu badae inatumia tena mabilion ya fedha kuendesha uchaguzi feki kumlejesha mtu huyo huyo kwenye ubunge kupitia ccm?

Serikali inayo bana matumizi inaweza kutumia mabilion ya pesa kwenda kujenga uwanja wa ndege kijiji kwa mtawala hali yakuwa jiji kama mwanza halina uwanja wa maana wa ndege?
Serikali iliyo bana matumizi si ndo hiyo iliyo mfukuza CAG baada ya kufichua upotevu wa trion 1.5 kwa ufisadi?

Hivi watz tutaacha lini kuwa watumwa wa maigizo ya ccm?
Wafuasi wa Magufuri ni mfano halisi wa upumbavu wa mtu mweusi.
 
Huyu bibi huyu Mungu tu amzidishie maisha marefu yani hamna kitu kabisa sijui hii mitano mingine itakuaje

Mwenyezi Mungu tufanyie wepesi sisi na taifa lako.
Ebu niambie ni kipi ambacho kilifanywa na Magufuri ambacho hakijafanyika kwenye utawala wa huyu mama.
 
Back
Top Bottom