binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Ila serikali ya magufuli ni jeuri sana jamani, suala la machinga limeshapigiwa kelele mara nyingi sana humu JF, kama kiongozi hafahamu kuwa machinga ni uchochoro wa watu fulani fulani kukwepa kodi basi sisi hatuna cha kumsaidia, na hao usalama wa taifa wake sijui kazi yao ninini.
Uncle ni kama hakuwa na mpango mkakati wowote wa kuongoza nchi ndio maana ameongoza kwa kwenda kwao/kwake kupumzika, akirudi mjini anakuja na drama ya kutumbua watu anarudi tena kupumzika, ni kama hajui cha kufanya zaidi ya kujenga jenga!