Tetesi: Mpasuko chama cha wanasheria Tanganyika, wakana kumtuma Mwabukusi kutoa matamko

Huo nao ni Uhuru,ndicho tunachotaka wananchi,sawa na vyama vya wafanyakazi vipo vingi pia na nguvu vinatofautiana,kama Wewe ni mmoja wapo kila la kheri

o
Kuna jasho langu TLS, sitoki kirahisi, tutaiteka ofisi ya TLS na kuweka uongozi wetu
 
Dua la kuku
kamwe siwezi kufanya maombi kwaajili ya mwingine asifanikiwe hata kidogo,

ila kiburi, majivuno, ukaidi na kiherehera cha mtu huashiria anguko lake kama ambavyo kwapamoja tunashuhudia a failed TLS mapema kabisa chini ya huyo muungwana
 
TLS iliweka Baraza la uongozi ili kuzuia wahuni wanaoweza kujifanyia mambo yao hovyo hovyo kwa nembo ya TLS
 

View: https://www.youtube.com/live/m9WGFYVzCvU?si=qKVjWaHGJPHyG-Ev
View: https://youtu.be/l2wWZpEGE6A?si=pYzKytaPopfBAHKL

View: https://www.youtube.com/live/m9WGFYVzCvU?si=qKVjWaHGJPHyG-Ev
 

Attachments

  • VID-20240820-WA0004.mp4
    33.7 MB
Hawa ndio akina Nkuba?
 
Wametumwaa kumsumbua Bukusi.....hawatawezaaa
 
Kwahiyo wewe ndiye msemaji wa TLS?
 
Famba wewe, rais huwa anatumwa?
 
Lazima ujue taarifa inapotolewa na TLS, hupitiwa na wajumbe wa Kamati kuu na kupitishwa. Sio kauli ya Mwabukusi.
 
Mwambukusi una maua yako, yaani hawa jamaa ni wa kuwabana vilivyo, hii nchi si wao tu wenye haki.
 
Ha ha ha hao wanaotaka kutoa tamko si wanasheria wa TLS bali ni wanachama wa CCM.

Yaani taasisi ya TLS sasa imepata kiongozi shupavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…