Mpasuko mkubwa CHADEMA Mbeya mjini, Msigwa avunja uongozi huku walioondolewa wakimpinga. Ni mparaganyiko mkuu

Ni mpango wa Mungu ila mishetani inatupora,zetu dua tu sisi hatuna bunduki mpaka kufikia 2025 mtavurugana sana.
nyie mnasubiri tuvurugane kufikia 2025 wakati nyinyi mmeashaanza sasa hivi kuvurugana mpaka 2025 tutakuwa na ACT WAZALENDO tu nyie mtakuwa mmeshamalizana wenyewe kwa wenyewe
 
Yaani nimeishia kucheka tu. Hivi watu wengine vyama vya siasa vinawaloga au vinawafanyaje?

Mtu unamuonesha kitu cheupe na unamumbia hiki kitu ni cheupe, lakini yeye bado atasema sio cheupe. Nadhani huo ni uwendawazimu sasa!
Hata mwenyewe nimeshangaa ushabiki wa kisiasa unawafanya akili zao waziweke makalioni
 
Ila hiyo ingetokea CCM sidhani ungetoa comment ya namna hii hivi vyama vimewalisha Nini kiasi inafikia mnashindwa kuwa na uhuru wa kimawazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…