Mpasuko mkubwa kwenye Baraza la Mawaziri kisa kuuzwa kwa Bandari

Tapatapa kwa mara ya mwisho kabla roho haijakutoka rasmi. Serikali inakwenda kusaini mkataba wa ukodishaji na upangishaji na shughuli za bandari zinakwenda kuwa tofauti kabisa na tulivyozoea.

Waarabu wanayo teknolojia ya kisasa ambayo sisi tangu tupate uhuru hatujawahi kuwa nayo.

Kama wewe unazipenda foleni za meli pale bandarini na kulipia demurrage charges nyingi kwenye kila biashara basi utakuwa mpumbavu sana usiyejua unaongea kitu gani.

Kama wewe unaridhishwa na urasimu wa pale bandarini kiasi cha wizi kuongezeka kila siku, utakuwa hujielewi hata kidogo.
 
Tapatapa kwa mara ya mwisho kabla roho haijakutoka rasmi.
Ulegee na Ushindwe.
Serikali inakwenda kusaini mkataba wa ukodishaji na upangishaji na shughuli za bandari zinakwenda kuwa tofauti kabisa na tulivyozoea.
Wanakodisha au wanagawa? Mbona hamueleweki?
Waarabu wanayo teknolojia ya kisasa ambayo sisi tangu tupate uhuru hatujawahi kuwa nayo.
Teknolojia ya Kubaka? Teknolojia ya Kuua, Kunyanyasa na Kumzodoa Mwafrika? Ati tangia tupate uhuru hatujawahi kuwa nayo. Muongo wewe
Kama wewe unazipenda foleni za meli pale bandarini na kulipia demurrage charges nyingi kwenye kila biashara basi utakuwa mpumbavu sana usiyejua unaongea kitu gani.
Foleni gani hizo Nitajie Nchi moja isiyo kuwa na Foleni ya Meli Bandarini, na iwe inayoendeshwa na DP zaidi ya hapo nyamaza
Kama wewe unaridhishwa na urasimu wa pale bandarini kiasi cha wizi kuongezeka kila siku, utakuwa hujielewi hata kidogo.
Wezi ni hao waliotaka kutuficha na uwekezaji huu, wezi ni hao waliokurupushwa na Mkataba hasi na Mbovu Popote pale Duniani.

Hapana, Watanzania hawaridhishwi na mkataba huu wa bandari.
 
Maongezi yako mengi ni ya mtu ambaye hajawahi kufanya shughuli yoyote pale bandarini hivyo huelewi unachoandika zaidi ya kuwa mpambe wa hao mafisadi wanaoyakataa mabadiliko ya utendaji pale TPA.
 
Hebu ngoja kwanza .... Unataka kusemaje sasa kwamba ...[emoji848]!!!?
 
Mleta uzi acha uongo hata Magufuli alikuwa akimtuma waziri mkuu kumuawakilisha nje ya nchi au hata wakati mwingine kumtuma waziri wa mambo ya nje lakini hata kama huyo mungu wako angekuwa anamtuma makamu wa rais tu bado isingekuwa lazima Rais Samia kufanya kama alivyofanya bali kila Rais ana haki ya kufanya anavyoona inafaa,subiri siku ukipata madaraka umuige kila kitu huyo mungu wako.
 
Maongezi yako mengi ni ya mtu ambaye hajawahi kufanya shughuli yoyote pale bandarini hivyo huelewi unachoandika zaidi ya kuwa mpambe wa hao mafisadi wanaoyakataa mabadiliko ya utendaji pale TPA.
Na wanaweza kutawala milele ikiwa ujanja wetu siku zote ni kulialia tu mitandaoni.

unapiga makelele humu mitandaoni

Kwa dini ya kiislam mtu wa aina yako anauwawa tena mchana
 
Hivi mamako anaweza kutamba mbele za watu kabisa kazaa mtoto? Yaani we ni zaidi ya takataka km huo utumbo uliouandika bila hata haya.
 
Actually implementers wa project za waarabu sio waarabu

The guys just bankroll these mega projects because of their liquidity

Na sasa wameshateka kila industry because uwekezaji ni pesa na wenye pesa ni wao, na wazungu ndio watumishi wao

Tujiandae tu…. Kama ambavyo ligi za soka ulaya zinajiandaa

Digital revolution inatuetea a new world order

Get ready for the turbulence
 
Bado tunao watanzania wengi wenye upeo mdogo sana, hawaitazami dunia kwa mapana yake, bado wana fikra zile zile za mdudu anayeishi ndani ya chupa na kujiona yupo huru sana kumbe uhai wake ni wa muda mfupi tu mle ndani ya chupa hakuna hewa ya kutosha.

Man City kwa mfano haina mfanyakazi mwarabu hata mmoja anayewafundisha wachezaji uwanjani, pesa imeajiri Guardiola na wasaidizi wenye uwezo kama wa kwake, the best coaches money can buy.

Hata huko kote ambapo DP World kaajiri wafanyakazi, kwa kiasi kikubwa ni wazungu, waasia na waafrika pia. Hutamuona mwarabu pale bandarini saa saba mchana akitembea kwenye lami yenye joto kali la bandarini hata siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…