Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Nyokonyoko rubbish.Hii ndio ile PhD lissu anaiitaga professorial rubbish

Tumia hii simu yako kujua Mhe. Makamu wa Rais alikiwa na tukio gani Julai 25, wakati Mhe. Rais na Amiri Jeshi Mkuu alipokuwa Siku ya Mashujaa. #Wacha kueneza uongo na kufikiri unawachonganisha viongozi.🙏🙏🙏Kuna viashiria si shwari tena Baraza la Mawaziri;
1) Waziri Mkuu kumwakilisha Rais nchini Urusi taifa tajiri kuliko yote duniani kwa maliasili ni dhahiri Makamu wa Rais ananyanyapaliwa. Wakati wa Magufuli Makamu wa Rais ndiye aliyekuwa ana mwakilisha Rais nje ya nchi na wala siyo Waziri Mkuu.
2) Makamu wa Rais na wengi wa Mawaziri Watanganyika wamejizuia kuutetea wizi wa maliasili za nchi yao na kuonyesha kuna mifarakano na sintofahamu ndani ya Baraza la Mawaziri.
3) Agizo la Rais la kumwelekeza Waziri wa uchukuzi aingie mkataba wa kimataifa haukuonyesha ulitokana na vikao vya baraza la mawaziri. Hii ni ushahidi tosha uamuzi wa kuuza nchi haukuwa wa baraza la mawaziri.
4) Hakuna jitihada zozote zile zilizofanywa na serikali kuambatanisha muhtasari wa Baraza la Mawaziri kulithibitishia bunge uamuzi wa kuuza bandari zetu ulitokana na maamuzi ya vikao vya Baraza la Mawaziri kabla ya Rais kumwagiza Waziri wa Uchukuzi kusaini mkataba wa kuuza nchi yetu pendwa.
Tungependa kukumbusha tu hakuna uwajibikaji wa pamoja kwenye maamuzi yasiyo shirikishi.
5) Kwa vile mkataba wa kuuza nchi ulifanywa bila ya kuzingatia mpango wa miaka 5 ya uendelezaji wa bandari zetu hii ni ushahidi tosha msukumo wa kuuza bandari zetu haukutoka kwa Mamlaka ya bandari zetu. Na ndiyo maana Mtendaji Mkuu wa bandari zetu alitupiwa virago vyake kwa sababu alipinga huu wizi wa mali ya umma.
6) Kuna viashiria uamuzi wa kuuza bandari zetu ulikuwa wa kukurupuka kwa sababu ulifanyika baada ya kupokea mkopo wa benki ya dunia wa dola 420 milioni na hata hizo hela hatujajua kama zingetatua matatizo yetu ya ufanisi, uthibiti wa mapato nk, wao wakaamua kumtajirisha mwekezaji.
7) Wanaoupigia upatu huu wizi wa mali ya umma hawamo kwenye Baraza la Mawaziri ila wanaona huu ni mwanya wa kujenga hoja ya kufikiriwa kujaza nafasi ya mawaziri waliopo ambao wanaonekana hawaafiki nchi yao kuuzwa.
8) Ukimwondoa Waziri wa uchukuzi hakuna Mzanzibara hata mmoja ambaye aliandamana na genge la makada wa CCM ambao walikuwa wanapigia upatu wizi wa mali ya umma. Ni dhahiri hata Wazanzibara hawaafiki na hili.
9) Pamoja na Kikwete kujitokeza hadharani na kudai anamuunga mkono Rais lakini hajawahi kuuteteta huu wizi wa mali ya umma.
10) Makamu wa Rais hajawahi hata mara moja kutetea nchi kuuzwa na hii inaashiria mpasuko mkubwa ndani ya Baraza la Mawaziri na tunabashiri wakati wa Uchaguzi wa 2025 jina lake litakatwa na hatarudi kwenye nafasi yake ya Umakamu wa Urais. Tutafafanua zaidi kwenye hili.
Kuna viashiria si shwari tena Baraza la Mawaziri;

10) Makamu wa Rais hajawahi hata mara moja kutetea nchi kuuzwa na hii inaashiria mpasuko mkaubwa ndani ya Baraza la Mawaziri na tunabashiri wakati wa Uchaguzi wa 2025 jina lake litakatwa na hatarudi kwenye nafasi yake ya Umakamu wa Urais. Tutafafanua zaidi kwenye hhini
Ni dhahiri unapiga siasa ya bei poa tu. TICS alipewa nyongeza ya mkataba wake magharibi kabisa ya utawala wa Mh Mkapa. bunge la sita lilipoanza lianza na hiyo hoja ya uhalali wa extension ya concession ya TICS .Majibu ya rasmi yalkuwa ni minutes za cabinet hata mahakama wakiziomba hawapèwi.Tafuta Hansard utaona.Kuna viashiria si shwari tena Baraza la Mawaziri;
1) Waziri Mkuu kumwakilisha Rais nchini Urusi taifa tajiri kuliko yote duniani kwa maliasili ni dhahiri Makamu wa Rais ananyanyapaliwa. Wakati wa Magufuli Makamu wa Rais ndiye aliyekuwa ana mwakilisha Rais nje ya nchi na wala siyo Waziri Mkuu.
2) Makamu wa Rais na wengi wa Mawaziri Watanganyika wamejizuia kuutetea wizi wa maliasili za nchi yao na kuonyesha kuna mifarakano na sintofahamu ndani ya Baraza la Mawaziri.
3) Agizo la Rais la kumwelekeza Waziri wa uchukuzi aingie mkataba wa kimataifa haukuonyesha ulitokana na vikao vya baraza la mawaziri. Hii ni ushahidi tosha uamuzi wa kuuza nchi haukuwa wa baraza la mawaziri.
4) Hakuna jitihada zozote zile zilizofanywa na serikali kuambatanisha muhtasari wa Baraza la Mawaziri kulithibitishia bunge uamuzi wa kuuza bandari zetu ulitokana na maamuzi ya vikao vya Baraza la Mawaziri kabla ya Rais kumwagiza Waziri wa Uchukuzi kusaini mkataba wa kuuza nchi yetu pendwa.
Tungependa kukumbusha tu hakuna uwajibikaji wa pamoja kwenye maamuzi yasiyo shirikishi.
5) Kwa vile mkataba wa kuuza nchi ulifanywa bila ya kuzingatia mpango wa miaka 5 ya uendelezaji wa bandari zetu hii ni ushahidi tosha msukumo wa kuuza bandari zetu haukutoka kwa Mamlaka ya bandari zetu. Na ndiyo maana Mtendaji Mkuu wa bandari zetu alitupiwa virago vyake kwa sababu alipinga huu wizi wa mali ya umma.
6) Kuna viashiria uamuzi wa kuuza bandari zetu ulikuwa wa kukurupuka kwa sababu ulifanyika baada ya kupokea mkopo wa benki ya dunia wa dola 420 milioni na hata hizo hela hatujajua kama zingetatua matatizo yetu ya ufanisi, uthibiti wa mapato nk, wao wakaamua kumtajirisha mwekezaji.
7) Wanaoupigia upatu huu wizi wa mali ya umma hawamo kwenye Baraza la Mawaziri ila wanaona huu ni mwanya wa kujenga hoja ya kufikiriwa kujaza nafasi ya mawaziri waliopo ambao wanaonekana hawaafiki nchi yao kuuzwa.
8) Ukimwondoa Waziri wa uchukuzi hakuna Mzanzibara hata mmoja ambaye aliandamana na genge la makada wa CCM ambao walikuwa wanapigia upatu wizi wa mali ya umma. Ni dhahiri hata Wazanzibara hawaafiki na hili.
9) Pamoja na Kikwete kujitokeza hadharani na kudai anamuunga mkono Rais lakini hajawahi kuuteteta huu wizi wa mali ya umma.
10) Makamu wa Rais hajawahi hata mara moja kutetea nchi kuuzwa na hii inaashiria mpasuko mkubwa ndani ya Baraza la Mawaziri na tunabashiri wakati wa Uchaguzi wa 2025 jina lake litakatwa na hatarudi kwenye nafasi yake ya Umakamu wa Urais. Tutafafanua zaidi kwenye hili.
mawaziri na wanaccm vijana nawashauri, kama mnataka kulinda future yenu ya siasa, jiepusheni na mkataba huu, kaeni pembeni, msijilinganishe na hao wazee ambao hawana hata miaka 10 ya kuishi, Mungu atawachukua. wao siasa ndio imefika ukingoni mwa maisha yao, sio kama ninyi.Kuna viashiria si shwari tena Baraza la Mawaziri;
1) Waziri Mkuu kumwakilisha Rais nchini Urusi taifa tajiri kuliko yote duniani kwa maliasili ni dhahiri Makamu wa Rais ananyanyapaliwa. Wakati wa Magufuli Makamu wa Rais ndiye aliyekuwa ana mwakilisha Rais nje ya nchi na wala siyo Waziri Mkuu.
2) Makamu wa Rais na wengi wa Mawaziri Watanganyika wamejizuia kuutetea wizi wa maliasili za nchi yao na kuonyesha kuna mifarakano na sintofahamu ndani ya Baraza la Mawaziri.
3) Agizo la Rais la kumwelekeza Waziri wa uchukuzi aingie mkataba wa kimataifa haukuonyesha ulitokana na vikao vya baraza la mawaziri. Hii ni ushahidi tosha uamuzi wa kuuza nchi haukuwa wa baraza la mawaziri.
4) Hakuna jitihada zozote zile zilizofanywa na serikali kuambatanisha muhtasari wa Baraza la Mawaziri kulithibitishia bunge uamuzi wa kuuza bandari zetu ulitokana na maamuzi ya vikao vya Baraza la Mawaziri kabla ya Rais kumwagiza Waziri wa Uchukuzi kusaini mkataba wa kuuza nchi yetu pendwa.
Tungependa kukumbusha tu hakuna uwajibikaji wa pamoja kwenye maamuzi yasiyo shirikishi.
5) Kwa vile mkataba wa kuuza nchi ulifanywa bila ya kuzingatia mpango wa miaka 5 ya uendelezaji wa bandari zetu hii ni ushahidi tosha msukumo wa kuuza bandari zetu haukutoka kwa Mamlaka ya bandari zetu. Na ndiyo maana Mtendaji Mkuu wa bandari zetu alitupiwa virago vyake kwa sababu alipinga huu wizi wa mali ya umma.
6) Kuna viashiria uamuzi wa kuuza bandari zetu ulikuwa wa kukurupuka kwa sababu ulifanyika baada ya kupokea mkopo wa benki ya dunia wa dola 420 milioni na hata hizo hela hatujajua kama zingetatua matatizo yetu ya ufanisi, uthibiti wa mapato nk, wao wakaamua kumtajirisha mwekezaji.
7) Wanaoupigia upatu huu wizi wa mali ya umma hawamo kwenye Baraza la Mawaziri ila wanaona huu ni mwanya wa kujenga hoja ya kufikiriwa kujaza nafasi ya mawaziri waliopo ambao wanaonekana hawaafiki nchi yao kuuzwa.
8) Ukimwondoa Waziri wa uchukuzi hakuna Mzanzibara hata mmoja ambaye aliandamana na genge la makada wa CCM ambao walikuwa wanapigia upatu wizi wa mali ya umma. Ni dhahiri hata Wazanzibara hawaafiki na hili.
9) Pamoja na Kikwete kujitokeza hadharani na kudai anamuunga mkono Rais lakini hajawahi kuuteteta huu wizi wa mali ya umma.
10) Makamu wa Rais hajawahi hata mara moja kutetea nchi kuuzwa na hii inaashiria mpasuko mkubwa ndani ya Baraza la Mawaziri na tunabashiri wakati wa Uchaguzi wa 2025 jina lake litakatwa na hatarudi kwenye nafasi yake ya Umakamu wa Urais. Tutafafanua zaidi kwenye hili.
Butiku pia alisema Kuna watu anawafaham wako huko huko serikalin hawaungi mkono swala hili la BANDARI ..ila hawasemi chochoteMleta mada anazungumzia individuals, ambao hawaoneshi ushirikiano juu ya ule uamuzi wa hovyo kimya kimya, ajabu wewe unazungumzia maamuzi ya pamoja, ndio maana nakwambia hujamwelewa hata mleta mada, ulikurupuka tu na kuita kile alichoandika rubbish.
Mwarabu ana teknolojia ambayo sisi hatuna.
Kumbuka bandari sita za China zimemkodisha.
Siasa nyingi za kijinga ndio sifa ya utanzania wa leo hii, hakuna mantiki zaidi ya kudharau ambacho mtu hana uelewa nacho.
Hapo ndio akili zetu zinapoishia. Kurudi kwenye historia wakati dunia inakwenda mbele.
Sasa unapoambiwa hatutaki Waarabu uwe umeelewa jinsi ulivyoelewa Wananchi wa Niger wasivyotaka. Hatutaki Dalali ww Wazungu pale Bandarini, hapana, sio kwa mkataba huu.Hapo ndio akili zetu zinapoishia. Kurudi kwenye historia wakati dunia inakwenda mbele.
Niger inazalisha Uranium inayotumiwa na Ufaransa miaka na miaka lakini ndio nchi ya pili kwa umaskini duniani, wenye nchi yao wameshtuka na kumuondoa dalali wa Ufaransa aliyekuwa akiwatia umaskini raia wa Niger na wamemgeukia Putin.
Historia ukiiendekeza sana na kujizungushia utando wa ujinga kichwani unazeeka na umaskini wako. Pevuka mkuu SYLLOGISTI dunia imeshatoka kwenye mawazo ya kitumwa na kibaguzi.
Mpuuzi wewe hujui unaongea kitu gani. Anayekuja ni mwekezaji wa kiarabu sio dalali wa mtu yoyote.Sasa unapoambiwa hatutaki Waarabu uwe umeelewa jinsi ulivyoelewa Wananchi wa Niger wasivyotaka. Hatutaki Dalali ww Wazungu pale Bandarini, hapana, sio kwa mkataba huu.
Kumbe huwa unajielewa na kuelewa mambo, ila kwa hili la Bandari unajiondoa ufahamu huku ukiwa umejivika pamba masikioni.
Rubbish.
Mnashusha hadhi ya jukwaa la siasa, Samia ndio Mwenyekiti wa Ccm na Amiri Jeshi mkuu.
Kama una akili ndogo si lazima kuanzisha thread.

Una matatizo ya kisaikilojia, sio bure wewe,weye unachojua ni nini zaidi ya kubinjuka humu na porojo rojo teleMpuuzi wewe hujui unaongea kitu gani.
Huyo mwekezaji wa Kiarabu ni Dalali tu wa wenye hela zao Duniani. Ametumiwa kwa sababu ya ukaribu wake na mjomba tu hana lelote lile zaidi ya ubeberu kichwani mwake. Wamefilisika hao waarabu sasa, na wanatafuta pakutokea pindi 2035-2050 ikifika mafuta yao yaanze yadorore ardhini.Anayekuja ni mwekezaji wa kiarabu sio dalali wa mtu yoyote.
Kwamba wewe ndio mwenye uelewa? Tulia basi unipite mbali kama unaona ninayoyaandika hapa hayana lolote, koma kabisa kujibizana nami. Nani aliyeanza kujibizana na mwenzie hapa. Kelele, shhhh nyamazaKuza uelewa wako kabla hujajibizana katika masuala usiyo na uelewa nayo
So what akiwepo Uingereza au Marekani? So what akimiliki meli? Mtu dhalimu ni dhalimu tu, mtu mnyanyasqji ni mnyanyasaji tu hata mkija na majina na matamshi ya 'oh' ni 'Mwekezaji', ni Dhalimu tu.. DPW ana miliki meli 400 duniani, amewekeza katika bandari karibu 50 duniani, yupo Uingereza na Marekani pia.
Muongo wewe, ni rushwa na Uchaguzi wa 2025 ndio uliopeleka hao viongozi wako kutoa sadaka na kuwagawia hao Waarabu Bandari.Wewe kajamba nani huna unachompunguzia kwa kumnyima nafasi ya kuwekeza na kumbuka ni mazingira ya kibiashara yanayowafanya viongozi wa nchi kwa kushirikiana na wale wa vyama vya wafanya biashara kumtafuta yeye.