Mpasuko mkubwa kwenye Baraza la Mawaziri kisa kuuzwa kwa Bandari

Kaweza vipi kumiliki bandari 50 duniani pote kama anategemea mikopo?.

Tunachojali ni ufanisi wake. Uingereza ana bandari mbili kakodishwa, waingereza waliomkodisha ni mangumbalu kama sisi huku?.

China anaendesha bandari sita, na huko nako kachukuwa mikopo ya uendeshaji?.

Wabongo katika ubora wa kujua kila kitu!.
Hatumtaki yote hayo sisi twaweza
 
Kimombo putin pia hajui kwa hiyo watakorogana tu hakuna shida. Kitu kimoja nakubaliana na wewe ni kwamba Katelephone sio mtu wa kutoa hoja mpaka huwa nashangaa kwenye vikao vikubwa kama hivyo unamtuma akaongee nini zaidi ya kusoma hotuba iliyoandikwa, huwa najiuliza hata akikutana na wageni wa kimataifa huwa wanaongea nini zaidi ya kutaja jina la rais yule anafaa kubaki ndani kukagua miradi na kusoma nyaraka hilo analiweza ila sio kuwakilisha nchi kwenye vikao

Putin anaongea lugha 3 ikiwemo Kimombo na kijerumani
 
Vitakatifu vinaeleza kuwa shetani huwa hana aibu anapotenda kazi zake.
Hivyo hivyo watu wanaotenda OUVU bila aibu ni jamii ya shetani.
Inawezekana Tz tuna wanasiasa jamii ya shetani huku tukiwaona ni binadamu wenzetu!
Shime wa Tz tuinuke na kufanya vita vitakatifu (IBADA NA SALA) ili mwenyezi Mungu atusaidie kuangamiza hii jamii kwa kuipiga kwa
laana kuu
 
Kuna viashiria si shwari tena Baraza la Mawaziri;

1) Waziri Mkuu kumwakilisha Rais nchini Urusi taifa tajiri kuliko yote duniani kwa maliasili ni dhahiri Makamu wa Rais ananyanyapaliwa. Wakati wa Magufuli Makamu wa Rais ndiye aliyekuwa ana mwakilisha Rais nje ya nchi na wala siyo Waziri Mkuu.

2) Makamu wa Rais na wengi wa Mawaziri Watanganyika wamejizuia kuutetea wizi wa maliasili za nchi yao na kuonyesha kuna mifarakano na sintofahamu ndani ya Baraza la Mawaziri.

3) Agizo la Rais la kumwelekeza Waziri wa uchukuzi aingie mkataba wa kimataifa haukuonyesha ulitokana na vikao vya baraza la mawaziri. Hii ni ushahidi tosha uamuzi wa kuuza nchi haukuwa wa baraza la mawaziri.

4) Hakuna jitihada zozote zile zilizofanywa na serikali kuambatanisha muhtasari wa Baraza la Mawaziri kulithibitishia bunge uamuzi wa kuuza bandari zetu ulitokana na maamuzi ya vikao vya Baraza la Mawaziri kabla ya Rais kumwagiza Waziri wa Uchukuzi kusaini mkataba wa kuuza nchi yetu pendwa.

Tungependa kukumbusha tu hakuna uwajibikaji wa pamoja kwenye maamuzi yasiyo shirikishi.

5) Kwa vile mkataba wa kuuza nchi ulifanywa bila ya kuzingatia mpango wa miaka 5 ya uendelezaji wa bandari zetu hii ni ushahidi tosha msukumo wa kuuza bandari zetu haukutoka kwa Mamlaka ya bandari zetu. Na ndiyo maana Mtendaji Mkuu wa bandari zetu alitupiwa virago vyake kwa sababu alipinga huu wizi wa mali ya umma.

6) Kuna viashiria uamuzi wa kuuza bandari zetu ulikuwa wa kukurupuka kwa sababu ulifanyika baada ya kupokea mkopo wa benki ya dunia wa dola 420 milioni na hata hizo hela hatujajua kama zingetatua matatizo yetu ya ufanisi, uthibiti wa mapato nk, wao wakaamua kumtajirisha mwekezaji.

7) Wanaoupigia upatu huu wizi wa mali ya umma hawamo kwenye Baraza la Mawaziri ila wanaona huu ni mwanya wa kujenga hoja ya kufikiriwa kujaza nafasi ya mawaziri waliopo ambao wanaonekana hawaafiki nchi yao kuuzwa.

8) Ukimwondoa Waziri wa uchukuzi hakuna Mzanzibara hata mmoja ambaye aliandamana na genge la makada wa CCM ambao walikuwa wanapigia upatu wizi wa mali ya umma. Ni dhahiri hata Wazanzibara hawaafiki na hili.

9) Pamoja na Kikwete kujitokeza hadharani na kudai anamuunga mkono Rais lakini hajawahi kuuteteta huu wizi wa mali ya umma.

10) Makamu wa Rais hajawahi hata mara moja kutetea nchi kuuzwa na hii inaashiria mpasuko mkubwa ndani ya Baraza la Mawaziri na tunabashiri wakati wa Uchaguzi wa 2025 jina lake litakatwa na hatarudi kwenye nafasi yake ya Umakamu wa Urais. Tutafafanua zaidi kwenye hili.
Kwa hili la bandari kuuzwa kama njugu kila Mtanzania mwenye akili timamu atalipinga kwa nguvu zote.
 
Ramli chonganishi hii
 
Uchonganishi na upumbavu mtupu huu.
hufahamu makamo wa raid yupo kwenye ziara za kikazi wapi?,uwakilishi kati ya rais makamu au waziri mkuu kiprotocal uwa na uzani mmoja!
 
#HABARI Miezi michache tu baada ya kampuni ya Richmond kutoka Australia kushinda kesi ya Shilingi bilioni 260 dhidi ya serikali ya Tanzania, kampuni ya Kiingereza ya mali isiyohamishika ya Pennyroyal Ltd, waliokuwa wajenzi wa Blue Amber Resort, imefungua madai katika Kituo cha Kimataifa cha Uamuzi wa Mizozo ya Uwekezaji (ICSID),kwa kukiuka makubaliano ya uwekezaji ya pande mbili ambayo Tanzania iliingia na Uingereza na Mauritius.

Kesi namba ARB/23/26 imefunguliwa katika kituo cha ICSID kwa mujibu wa Steptoe, kampuni ya sheria inayowakilisha Pennyroyal kuhusu ukiukwaji na ufutaji hati miliki ya ujenzi wa Blue Amber Resort.

Wakati wa kufutwa, ripoti zilizowasilishwa kwenye Mamlaka ya Kuhamasisha Uwekezaji ya Zanzibar (ZIPA) uwekezaji huo ulikuwa na gharama takribani dola milioni 55 (Shilingi bilioni 130).

Mwaka 2022, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), kupitia Wizara ya Ardhi, iliakhirisha mkataba wa upangishaji ardhi uliofanywa na kampuni ya Kiingereza ya maendeleo ya mali isiyohamishika ya Pennyroyal Limited huko Matemwe baada ya madai kwamba eneo la hekta 20 kati ya hekta 411 ndani ya mradi lilikuwa mali ya mwekezaji mwingine.

Katika taarifa ya awali ya vyombo vya habari, Bwana Brian Thomson, mmiliki wa Pennyroyal, amethibitisha kwa kipekee kuwa kampuni hiyo inakusudia kufungua kesi ya usuluhishi.

Mjenzi huyo amechagua kuishtaki Jamhuri ya Muungano wa Tanzania badala ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, ambayo imevunja mkataba wa upangishaji ardhi, kwa sababu kwa mujibu wa sheria ya kimataifa, vitendo vyovyote vya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuhusu uwekezaji wa Kiingereza vinasimamiwa na makubaliano ya mwaka 1994 na kufanya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (ambayo inajumuisha Zanzibar) kuwajibika kwa maamuzi kama hayo.

#EastAfricaTV

HIVI NI MIMI SIJAELEWA AMA
 
Tumepigwa mchana kweupe vile
 
Back
Top Bottom