Huna akili, hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza unga mkono Ccm, lakini pamoja na hilo hatutaki habari za kuungaunga JF.
Habari za kuungwa ungwa ndo zikoje eti ndugu
Dr Matola PhD?
Kwanza Mama Samia kutokwenda Urusi binafsi nimefurahi, Rais wetu hawezi kukutana na muuwaji, Kwahiyo kumpeleka Pm ni sahihi kabisa.
Unajua umeandika nini hapo☝️☝️☝️?
Labda hujui, nitakuambia..
Kwamba kitendo cha kutuma mwakilishi tu maana yake Madam President Samia Suluhu Hassan is there sitting with whom you call, the killer !
Au hujui maana ya "to represent?". Aaah, ndiyo maana unarusha matusi hovyo ndugu yangu
Dr Matola PhD..!
Kwa bahati Mbaya wengi hamjui majukumu ya makamu wa Rais basi tuwasamehe bure tu.
Nadhani badala ya "KUTUSAMEHE" kwa kutojua kwetu, na nadhani muungwana huwajulisha wasiojua ili nao wajue anachojua yeye
Kwa hiyo, hebu tuambie ni yepi kweli majukumu ya VP maana tunayoyajua sisi pengine si hayo ambayo wewe mwenzetu unayajua. Pls, share with us...!
Hakuna jambo lolote kubwa kwenye nchi lisilopita kwenye baraza la mawaziri.
Una uhakika?
Let's assume, Yes...... Hakuna.
Lakini ujue kuwa kwa mfumo wa kikatiba na kiutawala wa nchi yetu, cabinet haiwezi kumzuia Rais a.k.a Mungu mtu kufanya lolote bila kujali hiyo the so called cabinet inaridhia ama la..!!
Hapa nina maana kuwa assumption ya mleta hoja iko sahihi na wewe unnecessarily and ignorantly unajaribu kupambana na reality...!
Ni mtu asiyekuwa na akili tu ndio hajui nguvu za Mwenyekiti wa Ccm kwenye vikao vyao, Mwenyekiti wa Ccm angekuwa hana "VETO" basi Lowasa angekuwa Rais wa Tanzania.
Hili bila shaka ni la kwenu huko CCM. It's irrelevant here..
Mpaka dakika hii Ccm ni chama dola ambacho mifumo ya dola imefungamana na chama, hakuna kikaragosi yeyote mwenye jeuri ya kumchallenge Mwenyekiti wa Ccm, na ndio maana unaona machawa wazee kama Wasira na Kinana wamerudishwa kwenye kalamu hawa ndio wenye jukumu la kuwazima walafi wote watakaotaka kuchafuwa hali ya hewa.
Na hili ndilo tatizo kubwa la nchi hii. Na ndiyo chanzo cha matatizo yote ya nchi hii likiwemo hili tunaloendelea nalo sasa la DP WORLD na bandari zetu..
Kwa hiyo, si jambo la kujivunia ama kujitapa nalo. Huu ni ugonjwa hatari. Unapaswa kutafutiwa tiba ya kikatiba haraka ili kuwezesha principle ya checks & balance of powers kufanya kazi sawasawa..!
Kama Ccm wanaweza kumfukuza uanachama mtoto wa Karume hakuna mtu mwingine yeyote wa kuleta fyokofyoko kwenye vikao vya chama.
Hii maana yake nini kwani?
Is it relevant with what we have on the table..?