Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
- Thread starter
-
- #41
Ile ilikuwa ni hotuba ya siku ile tu siyo utendaji wake wote. Siafiki na utendaji wake naona anapwaya sanaNimekumbuka Uzi wako Mkuu wa new administration under SSH gives hope after 5 hopeless years.
Vipi , bado msimamo wako wa Uzi ni uleule?
Mpe vidonge vyake ameze ateme ni shauri lake sisi hatuhusikiUsidhani Kwa kumwambia ana akili ndogo ndio zitakuwa ndogo, Bali wewe ndo unadhiririsha kuwa na akili ndogo kuliko yeye Kwa Kupangua hoja zake alizotoa zinazoashiria hali si shwari
Kweli kabisaHuu mkataba ni moja ya ufisadi mkubwa uliowahi kutokea Tanzania!
Mwelimishe ila sina uhakika na mlo aliolamba ataelimikaMleta mada anazungumzia individuals, ambao hawaoneshi ushirikiano juu ya ule uamuzi wa hovyo kimya kimya, ajabu wewe unazungumzia maamuzi ya pamoja, ndio maana nakwambia hujamwelewa hata mleta mada, ulikurupuka tu na kuita kile alichoandika rubbish.
Kuna viashiria si shwari tena Baraza la Mawaziri
Upo mgomo baridi unaendelea kimya kimya tuNitajie tu ni baraza la mawaziri la awamu ipi liliwahi kupinga hoja iliyopo mezani kwenye baraza lao la mawaziri?
NEC ya Ccm ilikutana Dodoma na kubaliki mkataba wa DP bila kuona wala kuhoji kipengere chochote.
Wewe huwajui Ccm.
I AM BACK!Senior member Rutashubanyuma wa JamiiForums tumekumiss muda mrefu, welcome back.
Tusaidie tarehe halisi kumbukumbu zetu zinaonyesha unaongopa [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji16] [emoji1787] [emoji23] [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji16] [emoji1787]Siipendi serikali hii ila wakati tunaipinga na kuikosoa tuikosoe na kuipinga kwa hoja zenye ukweli. Si mara ya kwanza waziri mkuu kumwakilisha rais kwenye mikutano kama hiyo. Wakati wa JPM waziri mkuu alitumwa kumwakilisha rais kwenye mkutano kama huo China na baadaye mkutano kama huo Urusi
Kwa yanayotokea mwanamke hatakuja kuwa rais wa Tanzania kamwe maana yanaaibishaRubbish.
Mnashusha hadhi ya jukwaa la siasa, Samia ndio Mwenyekiti wa Ccm na Amiri Jeshi mkuu.
Kama una akili ndogo si lazima kuanzisha thread.
Lakini mbona uliamua kucompare miaka mitano ya JPM na miezi kadhaa ya MamaIle ilikuwa ni hotuba ya siku ile tu siyo utendaji wake wote. Siafiki na utendaji wake naona anapwaya sana
Iko dhiki mbeleniKina Zembwela, Kitenge na Gerald Hando ndio waliochaguliwa kutuwakilisha Dubai!
Turudi kule nitakujibu kule kule kwenye ile makala hapa tunawakomalia waliotuuza mchana kweupe kabisaLakini mbona uliamua kucompare miaka mitano ya JPM na miezi kadhaa ya Mama
Kawaharibia kabisa mabinti zetuKwa yanayotokea mwanamke hatakuja kuwa rais wa Tanzania kamwe maana yanaaibisha
Matola unaheshimika humu. Lakini kusema alichoandika mtoa Mada ni Rubbish...it is essentially an extreme and harsh comment. My felt opinion thoughHebu nitajie chama kimoja tu ambacho wanachama ni wamoja wakati wote kwa hoja yoyote.
Mkutano huko Russia waafrika wengi walioenda ni Mawaziri wakuu na mawaziri wa wizara.
Siyo ceremonial figures bali watendaji
Tusaidie tarehe halisi kumbukumbu zetu zinaonyesha unaongopa
[/QUOTEmwak 2018 alimwakilisha rais kwenye mkutano kati ya Africa na China