Tetesi: Mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM

Tetesi: Mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM

Ushapiga wanzuki sasa unarohoja tu
Mbobezi hakuweza kuzuia katiba kuvunjwa????

Wasipomjibu utawafanya nini??

Jenga kwako

Nguvu ya JPM haina mpinzani ndani au nje

Sio vizuri kukosa upinzani ndani au nje, ila hawapo

Mwenzio anakanusha maneno yake umebaki gizani
 
Mpeni basi hiyo form
Hawawezii..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bahari haipimwi kina cha maji kwa kuvukaa mkuuu...!! Jiwe wanaomshabikia toka moyoni ni Wachache Mnoo ndani ya CCM wengi waoo WANAFIKIIII MNOOOOOOO ndo maana hawezi ruhusu hio Battle kabisaaa...
 
Membe atapewa barua yake very soon awe mpole asilete kiherehere chake kwanza hata ukisikiliza speech yake ni mtu aliye jikatia tamaa kabisaa! Hahahaaa eti "na mnogeshajiiii nimimiiiiiii" membe bwana kawa kama mtoto.
Umenena kweli kabisa, hata mbwa muoga ni lzm abweke kurudi bandani.
Membe akaombe msamaha apige goti Kama kinana awe huru afanye biashara zake.Asitafute ligi kwenye kiwanda cha ligi.Mungu akupenda awe raisi.Maisha si zaidi ya kula na kunywa tu mengine ni ubatili tu.Mbona sisi tunajilimia matikiti yetu tunaishi tu kwa raha mustarehe tumewaachia wao watuburuze watugeuzegeuze Kama chapati hatuna mda tukiwa na stress tunazimwaga jf lkn hatuna madhara na mtu wao hata wakitaka waongoze miaka hata Mia hewala sawa tu muhimu amani tu tusishindwe kuuza matikiti yetu tu.
 
Labda fomu ya uongozi wa kikundi cha kuleana
Atapewa na Nani fomu labda yesu ampe photocopy tu yake,mbwa aliyekata tamaa ubwekea kurudi bandani.
Walipokuwa kwenye sytem waliweka pamba walipokuwa wakiambiwa badilisheni mifumo itakujawaumizeni mkiwa nje ya mfumo awakusikia walipanda miba njiani wacha iwachome.
 
Atapewa na Nani fomu labda yesu ampe photocopy tu yake,mbwa aliyekata tamaa ubwekea kurudi bandani.
Walipokuwa kwenye sytem waliweka pamba walipokuwa wakiambiwa badilisheni mifumo itakujawaumizeni mkiwa nje ya mfumo awakusikia walipanda miba njiani wacha iwachome.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha tu mkee ndo yale ya Nkurunzizaa anaongeza miaka ya urais lafu anakufaa...!! Uafrika ni laana yani mtu anafanya mambo as if ataishi milelee...
 
Kwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama kikubwa, hivi sasa kunatokota na sisi wananchi tusubiri, kwa kuwa yajayo yanafurahisha au kukarahaisha...

Membe ametoa madai mazito sana kuwa Katiba ya CCM haikufuatwa katika kufukuzwa kwake ndani ya Chama

Kwani amedai kuwa ni takwa la kikatiba, anapofukuzwa kiongozi yeyote wa ngazi za juu katika chama hicho ni LAZIMA jambo lake lingejadiliwa ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ndipo uamuzi ufikiwe.

Jambo ambalo halikufanyika katika kufikia uamuzi wa kufukuzwa kwake. Kwani mwenyewe anadai kuwa "process" ilikuwa haijakamilika, kwa kuwa kikao kilichomjadili kilikuwa ni kikao cha Kamati Kuu pekee, wakati mchakato ulikuwa haujakamilika, kwa kuwa kikao chenye uamuzi wa mwisho, ambacho ni kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ilikuwa haijakaa.

Jambo linaloshangaza ni kuwa tokea madai hayo yatolewe na Membe, hakuna kiongozi yeyote wa ngazi ya juu wa CCM, aliyejitokeza kujibu tuhuma hizo

Kwa madai mazito kama hayo, ni kwanini hadi sasa chama cha CCM, kimeamua kukaa kimya, kisitoe majibu yoyote, kwa madai hayo ya Membe?

Inaelekea kuna mfukuto mkubwa sana huko kwa majirani zetu wa CCM

Ni dhahiri sasa kama alichoongea mwenyewe Membe, kuwa tufanye subira kati ya mwezi huu wa June hadi October ya mwaka huu, lolote lisilotegemewa na wananchi wengi litatokea katika nchi hii na litaleta kishindo kikubwa sana!

Subira yavuta kheri, ngoja tusubiri ili tuyashuhudie yatakayojiri
CCM HAINA DEMOKRASIA ,CHAMA KINAENDESHWA KIBABE NA KUKOMOANA,WAASISI WANACHUKIWA SANA
 
Huwa najiuliza, hawa wanao-support kwenye mitandaoni ya kijamii ni watu halisi kwa sababu hatuioni support hiyo kwenye uhalisia?

Huku kwenye mitandao ndio wako huru kufunguka, huko unakoita ni kwenye uhalisia, watu wanaogopa kuongea maana mnaweza kuwateka na kuwapoteza, au kuhujumu shughuli zao za kiuchumi.
 
Kwanza najiuliza ilikuwaje Mkuu wa mkoa wa lindii..OCD na mkuu wa wilaya waliruhusuu ule mkutanoo wa Membe?????[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom