Tetesi: Mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM

Mbobezi hakuweza kuzuia katiba kuvunjwa????

Wasipomjibu utawafanya nini??

Jenga kwako

Nguvu ya JPM haina mpinzani ndani au nje

Sio vizuri kukosa upinzani ndani au nje, ila hawapo

Mwenzio anakanusha maneno yake umebaki gizani

Hana mpinzani au watu wanaogopa kufanyiziwa na lile kundi lake la watu wasiojulikana?
 
Kwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama kikubwa, hivi sasa kunatokota na sisi wananchi tusubiri, kwa kuwa yajayo yanafurahisha au kukarahaisha...

Membe ametoa madai mazito sana kuwa Katiba ya CCM haikufuatwa katika kufukuzwa kwake ndani ya Chama

Kwani amedai kuwa ni takwa la kikatiba, anapofukuzwa kiongozi yeyote wa ngazi za juu katika chama hicho ni LAZIMA jambo lake lingejadiliwa ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ndipo uamuzi ufikiwe.

Jambo ambalo halikufanyika katika kufikia uamuzi wa kufukuzwa kwake. Kwani mwenyewe anadai kuwa "process" ilikuwa haijakamilika, kwa kuwa kikao kilichomjadili kilikuwa ni kikao cha Kamati Kuu pekee, wakati mchakato ulikuwa haujakamilika, kwa kuwa kikao chenye uamuzi wa mwisho, ambacho ni kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ilikuwa haijakaa.

Jambo linaloshangaza ni kuwa tokea madai hayo yatolewe na Membe, hakuna kiongozi yeyote wa ngazi ya juu wa CCM, aliyejitokeza kujibu tuhuma hizo

Kwa madai mazito kama hayo, ni kwanini hadi sasa chama cha CCM, kimeamua kukaa kimya, kisitoe majibu yoyote, kwa madai hayo ya Membe?

Inaelekea kuna mfukuto mkubwa sana huko kwa majirani zetu wa CCM

Ni dhahiri sasa kama alichoongea mwenyewe Membe, kuwa tufanye subira kati ya mwezi huu wa June hadi October ya mwaka huu, lolote lisilotegemewa na wananchi wengi litatokea katika nchi hii na litaleta kishindo kikubwa sana!

Subira yavuta kheri, ngoja tusubiri ili tuyashuhudie yatakayojiri
CCM hawamjibu kwa kuwa hawaoni umuhimu huo, kwa sasa wanajielekeza katika mchakato wa Uchanguzi kuliko kumjadili mtu na hoja zake.

CDM na wenzao wajipange vema maana kisikilizia tetesi kama hizi zinaweza kuwafanya wakabweteka katika mipango yao kumbe kuna drama.
 
Jiwe analijua fika hilo ndiyo maana kawaambia kutayarisha form moja tu, yaani muoga vibaya sana
Hawawezii..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bahari haipimwi kina cha maji kwa kuvukaa mkuuu...!! Jiwe wanaomshabikia toka moyoni ni Wachache Mnoo ndani ya CCM wengi waoo WANAFIKIIII MNOOOOOOO ndo maana hawezi ruhusu hio Battle kabisaaa...
 
Mruhusuni achukue basi hiyo form kama hatawagaragaza
Endeleeeni kumpa kichwa na fomu zenu za mitandaoni.

Mimi pia nimechukua fomu NHIF so mwacheni achukue ikiwa mnadhan kuchukua fomu ni tija. Ndipo mtajua mnashabikia ujinga
 
Jiwe analijua fika hilo ndiyo maana kawaambia kutayarisha form moja tu, yaani muoga vibaya sana
Wahuni watapindua mezaa walahiii...!! Hata kivulii hawawezi ruhusuu kishindane naee..
 
Kalamu1
Najua kuwa Jiwe ameamua kuisigina Katiba ya nchi atakavyo......

Lakini hicho ndiyo kiapo alichokula kabla ya kuingia madarakani?

Hiyo najua ni ulevi wa madaraka uliyopindukia...........

Sasa ngoja tuwasubiri wenye chama chao, wamuonyeshe mlango wa kutokea huyo Jiwe, anayeamini kuwa "there is nobody to defeat him"
Kufuata Katiba ndiyo msingi Bora wa uongozi. Fikiria Marekani wasingekua na misingi imara ya uongozi Trump a
Kwanza najiuliza ilikuwaje Mkuu wa mkoa wa lindii..OCD na mkuu wa wilaya waliruhusuu ule mkutanoo wa Membe?????[emoji1787][emoji1787]
kwakua si Mtanzania?
 
Kufuata Katiba ndiyo msingi Bora wa uongozi. Fikiria Marekani wasingekua na misingi imara ya uongozi Trump a

kwakua si Mtanzania?
Unajidaii hujuii etiii??? Mzee baba hawezi ruhusuu kabisaa...
 
Kwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama kikubwa, hivi sasa kunatokota na sisi wananchi tusubiri, kwa kuwa yajayo yanafurahisha au kukarahaisha...

Membe ametoa madai mazito sana kuwa Katiba ya CCM haikufuatwa katika kufukuzwa kwake ndani ya Chama

Kwani amedai kuwa ni takwa la kikatiba, anapofukuzwa kiongozi yeyote wa ngazi za juu katika chama hicho ni LAZIMA jambo lake lingejadiliwa ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ndipo uamuzi ufikiwe.

Jambo ambalo halikufanyika katika kufikia uamuzi wa kufukuzwa kwake. Kwani mwenyewe anadai kuwa "process" ilikuwa haijakamilika, kwa kuwa kikao kilichomjadili kilikuwa ni kikao cha Kamati Kuu pekee, wakati mchakato ulikuwa haujakamilika, kwa kuwa kikao chenye uamuzi wa mwisho, ambacho ni kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ilikuwa haijakaa.

Jambo linaloshangaza ni kuwa tokea madai hayo yatolewe na Membe, hakuna kiongozi yeyote wa ngazi ya juu wa CCM, aliyejitokeza kujibu tuhuma hizo

Kwa madai mazito kama hayo, ni kwanini hadi sasa chama cha CCM, kimeamua kukaa kimya, kisitoe majibu yoyote, kwa madai hayo ya Membe?

Inaelekea kuna mfukuto mkubwa sana huko kwa majirani zetu wa CCM

Ni dhahiri sasa kama alichoongea mwenyewe Membe, kuwa tufanye subira kati ya mwezi huu wa June hadi October ya mwaka huu, lolote lisilotegemewa na wananchi wengi litatokea katika nchi hii na litaleta kishindo kikubwa sana!

Subira yavuta kheri, ngoja tusubiri ili tuyashuhudie yatakayojiri
Hamna lolote
 
Yeye kasema kwamba katiba inasema "kiongozi yoyote mwenye ngazi ya juu" lazima Kamati kuu ya chama ijadili, sasa yeye alikuwa ngazi ya juu?
 
Back
Top Bottom