Tetesi: Mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM

Kwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama kikubwa, hivi sasa kunatokota na sisi wananchi tusubiri, kwa kuwa yajayo yanafurahisha au kukarahaisha...

Membe ametoa madai mazito sana kuwa Katiba ya CCM haikufuatwa katika kufukuzwa kwake ndani ya Chama

Kwani amedai kuwa ni takwa la kikatiba, anapofukuzwa kiongozi yeyote wa ngazi za juu katika chama hicho ni LAZIMA jambo lake lingejadiliwa ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ndipo uamuzi ufikiwe.

Jambo ambalo halikufanyika katika kufikia uamuzi wa kufukuzwa kwake. Kwani mwenyewe anadai kuwa "process" ilikuwa haijakamilika, kwa kuwa kikao kilichomjadili kilikuwa ni kikao cha Kamati Kuu pekee, wakati mchakato ulikuwa haujakamilika, kwa kuwa kikao chenye uamuzi wa mwisho, ambacho ni kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ilikuwa haijakaa.

Jambo linaloshangaza ni kuwa tokea madai hayo yatolewe na Membe, hakuna kiongozi yeyote wa ngazi ya juu wa CCM, aliyejitokeza kujibu tuhuma hizo

Kwa madai mazito kama hayo, ni kwanini hadi sasa chama cha CCM, kimeamua kukaa kimya, kisitoe majibu yoyote, kwa madai hayo ya Membe?

Inaelekea kuna mfukuto mkubwa sana huko kwa majirani zetu wa CCM

Ni dhahiri sasa kama alichoongea mwenyewe Membe, kuwa tufanye subira kati ya mwezi huu wa June hadi October ya mwaka huu, lolote lisilotegemewa na wananchi wengi litatokea katika nchi hii na litaleta kishindo kikubwa sana!

Subira yavuta kheri, ngoja tusubiri ili tuyashuhudie yatakayojiri
Mimi sio mwana Sheria hivyo sijui vizuri mambo ya Katiba ILA pia najua kuwa vifungu vingi vya kisheria sio Copy Paste;
Namaanisha huwa Vinatolewa ufafanuzi na wanasheria wabobezi.
ILA pia sijaelewa ulivyosema CCM KUNA MPASUKO MKUBWA Unamaanisha nini au pengine sielewi maana ya neno MPASUKO
 
Kichwa Cha habari kinatisha ila Sasa hoja za ndani nyepesi Kama sufi
 
Kwahiyo alivyotuita wapumbavu ndiyo iliifanya nchi yetu kuwa na uwezo wa kuwahudumia wananchi bila kutembeza bakuli kwa mabeberu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Nikuletee mfano wewe ili nipate nini?
Ben aliwaita wapumbavu hajakosea
 
No... ilijithibitisha zaidi pale mlevi alipojifanya kapigwa[emoji3][emoji3]
Kwahiyo alivyotuita wapumbavu ndiyo iliifanya nchi yetu kuwa na uwezo wa kuwahudumia wananchi bila kutembeza bakuli kwa mabeberu? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa ndipo utaona jinsi kulivyo na umuhimu wa kubadili katiba yetu tukaruhusu mgombea huru! Hii ingekuwa imekaa sawa mwaka huu BM angetikisa!
 
Watuletea vikatuni vya mlevi ili waepuke hoja. Wamebanwa. Wamevunja katiba yao wenyewe!
Hoja imewaingia hadi kwenye nyonga, ndiyo maana magamba yanarukaruka na kujikanyaga kanyaga
 
Time will tell...
..............................Kiumbe mwenye Mashaka, Si Kiumbe Salama...
Nimeipenda sana signature yako . Halafu unajua nini, ukishakuwa na mashaka lazima upaniki, na ukishapaniki, lazima uogope. Na ili uwe na mashaka, lazima uwe umekosa ufahamu wa kitu fulani cha muhimu katika maisha yako.
Kwa mfano, mimi kawaida huwa nikikosa kupata ufahamu wa kiini cha tatizo fulani linalonizunguka, huwa inapelekea hatimaye naogopa halafu baadaye tena napaniki, and frankly speaking, I'm the worst when engulfed in a panic atmosphere
 
Hoja za Membe zina mashiko, kwanza sababu za kumfukuza kwake hazitoshi - Pili Process nzima ya kumfukuza ni batili haijakamika..

Membe kashaanza kuipapasa CCM, eti kuwaambia wenzake jamani eee sasa yatosha hebu Tuwe na Tume huru ya uchaguzi - ati unakuwa umekisaliti chama..na unapaswa kufukuzwa....

We need our CCM back!!! Kazi na Bata !! Tangulia Mzee sisi wana CCM wafia chama tupo na wewe !
 
Ulikuwa unaota mpasuko wa sketi au underskate a.k.a shumizi.

Yaani membe ndio wa kuleta mpasuko CCM? Mtu pekee alijipanga na kusumbua CCM ni LOWASSA huyu hata mtikisiko hawezi sababisha. Huo ubobezi wa ukachero alikuwa nao akiwa kwenye system. Sasa hivi ni sawa na samaki nje ya maji anatapata tu hana lolote.
Aisee inawezekana sio kweli unayosema
 
Sasa membe alikuwa na cheo gani kikubwa ndani ya CCM mpaka siku anafukuzwa.
Ukishapata jibu hilo basi umejijibu kwa nini hajibiwi bali amepuuzwa.

Kumjibu ni kumpa attention aliyoitafuta na kwa kutomjibu, pia utaona umaarufu wake unaporomoka kwa speed ya ROCKET .
Unadhani leo wakiwa Fair wakaruhusuu Membe achukue Form nae au tuseme mtu yeyote ndani ya CCM unadhani Jiwe atapita????
 
Kwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama kikubwa, hivi sasa kunatokota na sisi wananchi tusubiri, kwa kuwa yajayo yanafurahisha au kukarahaisha...

Membe ametoa madai mazito sana kuwa Katiba ya CCM haikufuatwa katika kufukuzwa kwake ndani ya Chama

Kwani amedai kuwa ni takwa la kikatiba, anapofukuzwa kiongozi yeyote wa ngazi za juu katika chama hicho ni LAZIMA jambo lake lingejadiliwa ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ndipo uamuzi ufikiwe.

Jambo ambalo halikufanyika katika kufikia uamuzi wa kufukuzwa kwake. Kwani mwenyewe anadai kuwa "process" ilikuwa haijakamilika, kwa kuwa kikao kilichomjadili kilikuwa ni kikao cha Kamati Kuu pekee, wakati mchakato ulikuwa haujakamilika, kwa kuwa kikao chenye uamuzi wa mwisho, ambacho ni kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, kilikuwa hakijakaa.

Jambo linaloshangaza ni kuwa tokea madai hayo yatolewe na Membe, hakuna kiongozi yeyote wa ngazi ya juu wa CCM, aliyejitokeza kujibu tuhuma hizo

Kwa madai mazito kama hayo, ni kwanini hadi sasa chama cha CCM, kimeamua kukaa kimya, kisitoe majibu yoyote, kwa madai hayo ya Membe?

Inaelekea kuna mfukuto mkubwa sana huko kwa majirani zetu wa CCM

Ni dhahiri sasa kama alichoongea mwenyewe Membe, kuwa tufanye subira kati ya mwezi huu wa June hadi October ya mwaka huu, lolote lisilotegemewa na wananchi wengi litatokea katika nchi hii na litaleta kishindo kikubwa sana!

Subira yavuta kheri, ngoja tusubiri ili tuyashuhudie yatakayojiri
Mzee Baba umesoma uzi wa Zipo dalili ccm kupita ktk mtikisiko mkubwa ule uzi nimepost hata kabla ya membe au nani kuongea hivyo umetohowa mada nakuanzisha Mada kama tetesi
 
Na ile Jumatatu aliyoisema Membe, kuwa atatinga Dodoma, kwenda chukua fomu yake ya Urais ndiyo ishafika...........

Ngoja tusubiri tuone kama Dkt Bashiru, kama tulivyowazoea mbinu zao, watatia komeo geti kuu la kuingilia, tena ndani ya ulinzi mkali!
Hukuelewa, na alirudia kwakusema " Ikiwa kamati kuu INGETAMKA kwamba alifukuzwa kimakosa na hana hatia, jumatatu angeenda kuchukua form ya kugombea urais.
Hakusema jumatatu anaenda kuchukua form ya kugombea urais. Kasikilize video tena na tena utamuelewa.
Ama unapotosha au umepotoka.
 
Kwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama kikubwa, hivi sasa kunatokota na sisi wananchi tusubiri, kwa kuwa yajayo yanafurahisha au kukarahaisha...

Membe ametoa madai mazito sana kuwa Katiba ya CCM haikufuatwa katika kufukuzwa kwake ndani ya Chama

Kwani amedai kuwa ni takwa la kikatiba, anapofukuzwa kiongozi yeyote wa ngazi za juu katika chama hicho ni LAZIMA jambo lake lingejadiliwa ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ndipo uamuzi ufikiwe.

Jambo ambalo halikufanyika katika kufikia uamuzi wa kufukuzwa kwake. Kwani mwenyewe anadai kuwa "process" ilikuwa haijakamilika, kwa kuwa kikao kilichomjadili kilikuwa ni kikao cha Kamati Kuu pekee, wakati mchakato ulikuwa haujakamilika, kwa kuwa kikao chenye uamuzi wa mwisho, ambacho ni kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, kilikuwa hakijakaa.

Jambo linaloshangaza ni kuwa tokea madai hayo yatolewe na Membe, hakuna kiongozi yeyote wa ngazi ya juu wa CCM, aliyejitokeza kujibu tuhuma hizo

Kwa madai mazito kama hayo, ni kwanini hadi sasa chama cha CCM, kimeamua kukaa kimya, kisitoe majibu yoyote, kwa madai hayo ya Membe?

Inaelekea kuna mfukuto mkubwa sana huko kwa majirani zetu wa CCM

Ni dhahiri sasa kama alichoongea mwenyewe Membe, kuwa tufanye subira kati ya mwezi huu wa June hadi October ya mwaka huu, lolote lisilotegemewa na wananchi wengi litatokea katika nchi hii na litaleta kishindo kikubwa sana!

Subira yavuta kheri, ngoja tusubiri ili tuyashuhudie yatakayojiri
May 27, 2020 nilitoa alert zipo dalili ccm kupita ktk msukosuko sana wewe umekuja na mpasuko mkubwa sana.... alafu same data
 
Nilikuwa najiuliza tangu Membe aliposema alifukuzwa uanachama wa CCM bila barua ,,kumbe nikawa nawaza pia aliingia CCM kwa maombi ya barua!!!!!
 
Back
Top Bottom