Tetesi: Mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM

Kwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama kikubwa, hivi sasa kunatokota na sisi wananchi tusubiri, kwa kuwa yajayo yanafurahisha au kukarahaisha...

Membe ametoa madai mazito sana kuwa Katiba ya CCM haikufuatwa katika kufukuzwa kwake ndani ya Chama

Kwani amedai kuwa ni takwa la kikatiba, anapofukuzwa kiongozi yeyote wa ngazi za juu katika chama hicho ni LAZIMA jambo lake lingejadiliwa ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ndipo uamuzi ufikiwe.

Jambo ambalo halikufanyika katika kufikia uamuzi wa kufukuzwa kwake. Kwani mwenyewe anadai kuwa "process" ilikuwa haijakamilika, kwa kuwa kikao kilichomjadili kilikuwa ni kikao cha Kamati Kuu pekee, wakati mchakato ulikuwa haujakamilika, kwa kuwa kikao chenye uamuzi wa mwisho, ambacho ni kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, kilikuwa hakijakaa.

Jambo linaloshangaza ni kuwa tokea madai hayo yatolewe na Membe, hakuna kiongozi yeyote wa ngazi ya juu wa CCM, aliyejitokeza kujibu tuhuma hizo

Kwa madai mazito kama hayo, ni kwanini hadi sasa chama cha CCM, kimeamua kukaa kimya, kisitoe majibu yoyote, kwa madai hayo ya Membe?

Inaelekea kuna mfukuto mkubwa sana huko kwa majirani zetu wa CCM

Ni dhahiri sasa kama alichoongea mwenyewe Membe, kuwa tufanye subira kati ya mwezi huu wa June hadi October ya mwaka huu, lolote lisilotegemewa na wananchi wengi litatokea katika nchi hii na litaleta kishindo kikubwa sana!

Subira yavuta kheri, ngoja tusubiri ili tuyashuhudie yatakayojiri
Aendelee tu kulalamika, lakini CCM haimtambui tena maskini.
 
JPM ataendelea kuwa Rais 2020 - 2025.

Hizi nyingine ni porojo tu za mitandaoni.
 
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu
 
Ulikuwa unaota mpasuko wa sketi au underskate a.k.a shumizi.

Yaani membe ndio wa kuleta mpasuko CCM? Mtu pekee alijipanga na kusumbua CCM ni LOWASSA huyu hata mtikisiko hawezi sababisha. Huo ubobezi wa ukachero alikuwa nao akiwa kwenye system. Sasa hivi ni sawa na samaki nje ya maji anatapata tu hana lolote.
Sio wote wanaofaulu kwenda A level wamescore Division one ya 7A's..labda alikua operative wa kawaida tuu hapo TISS..Ubobezi unategemea Sana missions alizo accomplish.
 
Kama hawakutaki hawakutaki tuu hata aende vikao gani ashapigwa chini na hatarudi tena, na anajua uraisi hawezi kushinda yaani na hashimu rungwe hawana tofauti wanahangaikia matumbo yao. Kama anawafadhali aendelee kuwapiga tuu.
 
Membe hana lolote. Alishindwa Lowasa itakuwa Membe. Membe hana tofauti marehemu Mnasa Sabi Mnasa aliyegombea awamu ya pili na Mkapa

QUOTE="Mystery, post: 35783641, member: 73370"]
Kwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama kikubwa, hivi sasa kunatokota na sisi wananchi tusubiri, kwa kuwa yajayo yanafurahisha au kukarahaisha...

Membe ametoa madai mazito sana kuwa Katiba ya CCM haikufuatwa katika kufukuzwa kwake ndani ya Chama

Kwani amedai kuwa ni takwa la kikatiba, anapofukuzwa kiongozi yeyote wa ngazi za juu katika chama hicho ni LAZIMA jambo lake lingejadiliwa ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ndipo uamuzi ufikiwe.

Jambo ambalo halikufanyika katika kufikia uamuzi wa kufukuzwa kwake. Kwani mwenyewe anadai kuwa "process" ilikuwa haijakamilika, kwa kuwa kikao kilichomjadili kilikuwa ni kikao cha Kamati Kuu pekee, wakati mchakato ulikuwa haujakamilika, kwa kuwa kikao chenye uamuzi wa mwisho, ambacho ni kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, kilikuwa hakijakaa.

Jambo linaloshangaza ni kuwa tokea madai hayo yatolewe na Membe, hakuna kiongozi yeyote wa ngazi ya juu wa CCM, aliyejitokeza kujibu tuhuma hizo

Kwa madai mazito kama hayo, ni kwanini hadi sasa chama cha CCM, kimeamua kukaa kimya, kisitoe majibu yoyote, kwa madai hayo ya Membe?

Inaelekea kuna mfukuto mkubwa sana huko kwa majirani zetu wa CCM

Ni dhahiri sasa kama alichoongea mwenyewe Membe, kuwa tufanye subira kati ya mwezi huu wa June hadi October ya mwaka huu, lolote lisilotegemewa na wananchi wengi litatokea katika nchi hii na litaleta kishindo kikubwa sana!

Subira yavuta kheri, ngoja tusubiri ili tuyashuhudie yatakayojiri
[/QUOTE]
 
Kwa kuwa unaamini mwisho ni ushindi unao_matter bila kujali umepatikanaje, hao wapinzani wa JPM nao wanaweza kupita njia hiyo hiyo na JPM asirudi ofisini.

Hiyo itakuwa poa sana
 
Jasusi mbombezi ana rekodiwa akiwa anaongea na simu. Emu acha kumpa sifa ambazo hazimfai huyo mzee, sijui kashamaliza pensheni yake.
 
Ulikuwa unaota mpasuko wa sketi au underskate a.k.a shumizi.

Yaani membe ndio wa kuleta mpasuko CCM? Mtu pekee alijipanga na kusumbua CCM ni LOWASSA huyu hata mtikisiko hawezi sababisha. Huo ubobezi wa ukachero alikuwa nao akiwa kwenye system. Sasa hivi ni sawa na samaki nje ya maji anatapata tu hana lolote.
unaeweza kusumbua ni wewe tu
 
Umemaliza kila kitu mkuu,huu mjadala ufungwe sasa.
Acha kupoteza muda

Vyama vinavunja katiba, ni vyao ili uhoji uwe sehemu yao.Ndio maana kama taifa tunahitaji mgombea binafsi kitu ambacho ccm au cdm hawatakagi kabisa

Kama wamevunja ni wao, Membe anajua kakulia na anaijua ccm deep, na hana la kufanya lolote lile

Wewe huna la kufanya, msajili wa vyama hana la kufanya.it is happening in every political parties duniani hapa, we have mifano kibao CDM pia

Acha kuogelea kwenye swimming pool ya lawama, goli hilo tayari!! Kaonewa hajaonewa haioni ikulu wala asikupe faraja ya kutoa lawama, kwenye siasa tunaangalia mwisho wa ushindi

Membe knew all this, sana tu kuliko wewe

Hakuna wa kumjibu, November mtegemee JPM ofisini, dont waste your time in this wont help you either

Hapa nilitegemea unakuja na ma mipango ya kutisha ya CDM kuingia ikulu. Unamjadili membe na ccm yake, wewe ni ccm??? Acha hizo
 
Back
Top Bottom