Tetesi: Mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM

Tetesi: Mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM

Mbobezi hakuweza kuzuia katiba kuvunjwa????

Wasipomjibu utawafanya nini??

Jenga kwako

Nguvu ya JPM haina mpinzani ndani au nje

Sio vizuri kukosa upinzani ndani au nje, ila hawapo

Mwenzio anakanusha maneno yake umebaki gizani
Waberoya
Jibu hoja usilete mipasho.......

Je ndani ya Katiba ya CCM, ndivyo utaratibu unavyotakiwa kufanywa kama alivyofanyiwa Membe, kufukuzwa kwenye chama, bila hatua hiyo kuidhinishwa na kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM?
 
Membe anakwenda kuichana chana vipande CCM, kama ambavyo Magufuli alivyoichana Katiba vipande vipande.

1.badili avatar ni yangu miaka 12 sasa

2.be genuine kwenye moyo wako, utaishi kwa raha sana

3.weka mbali chuki na emotion na uhalisia

Membe ili apitishwe na chama, anahitaji kubebwa na hao nec

Option pekee aende nje ya ccm
 
Ni kwanini swala la Membe halikufika katika kikao cha Halmashauri kuu ya chama?
Hilo ndilo swali la msingi. Na jee chama kongwe kama ccm limefikia mahali linaona fahari kuvunja katiba yake lenyewe kisa woga kwa mtu mmoja?
Jee chama kimekosa wachezaji bora hadi kina mlinda mmoja wanayeona bora hadi kuvunja katiba?
 
Ngoja nuchukue hii nikamwite pole pole aje ajibu, alafu hao kina mirrad ayo sijui nani mbona visa vya kufumaniana kuchukuliana mabwana huwa wanapanda mpaka magari wanaenda kuhoji unakuwaje wanashindwa mfuata Pole Pole atoe majibu
Uhuru wa vyombo vya habari uko mfukoni mwa mtu mmoja. Watanzania tunatakiwa kusikia habari za kusifu na kuabudu pamoja na vioja vya mtaani.
 
Waberoya
Jibu hoja usilete mipasho.......

Je ndani ya Katiba ya CCM, ndivyo utaratibu unavyotakiwa kufanywa kama alivyofanyiwa Membe, kufukuzwa kwenye chama, bila hatua hiyo kuidhinishwa na kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM?

Acha kupoteza muda

Vyama vinavunja katiba, ni vyao ili uhoji uwe sehemu yao.Ndio maana kama taifa tunahitaji mgombea binafsi kitu ambacho ccm au cdm hawatakagi kabisa

Kama wamevunja ni wao, Membe anajua kakulia na anaijua ccm deep, na hana la kufanya lolote lile

Wewe huna la kufanya, msajili wa vyama hana la kufanya.it is happening in every political parties duniani hapa, we have mifano kibao CDM pia

Acha kuogelea kwenye swimming pool ya lawama, goli hilo tayari!! Kaonewa hajaonewa haioni ikulu wala asikupe faraja ya kutoa lawama, kwenye siasa tunaangalia mwisho wa ushindi

Membe knew all this, sana tu kuliko wewe

Hakuna wa kumjibu, November mtegemee JPM ofisini, dont waste your time in this wont help you either

Hapa nilitegemea unakuja na ma mipango ya kutisha ya CDM kuingia ikulu. Unamjadili membe na ccm yake, wewe ni ccm??? Acha hizo
 
Hilo ndilo swali la msingi. Na jee chama kongwe kama ccm limefikia mahali linaona fahari kuvunja katiba yake lenyewe kisa woga kwa mtu mmoja?
Jee chama kimekosa wachezaji bora hadi kina mlinda mmoja wanayeona bora hadi kuvunja katiba?

Chakaza haya maswali kwenye siasa ni childish

Wanarudi madarakani na la kufanya jadili kuwaondoa madarakani, sio ccm wewe

Katiba zinachezewa

Na ukimsikiliza Membe kalaumu mapendekezo kutoka nje ya kikao na yaka mhukumu. Waliotoa nje ya kikao anaweza kuwa mfagizi aliiba au secretary hakuna mtu ndani ya ccm anayeweza kusema kahusika kuvujisha kwenye media na ikawa kama official

It is interesting we have shifted now to be " CCM by default"

Hivi Chakaza uko serious kabisa unaamini JPM na followers wake na CCM hii na NEC hii wanamwogopa Membe?? I mean uko serious kabisa?

Yoh may need a doctor
 
Ni kwanini swala la Membe halikufika katika kikao cha Halmashauri kuu ya chama?

What was the timeline? Sky Eclat?

Member kasema walitakiwa wapeleke lini? Au katiba inasemaje?

What if wakipeleka november?

Hiki ni chama chao, naona mnalazimisha kuwa members humu, 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Asubiri kwanza Tupokee Ndege Zetu Tulizolipia
 
Kudhani Membe anaweza kusababisha mpasuko ndani ya CCM ya sasa ni sawa na mtu anayesubiri usafiri wa meli sehemu ambayo hakuna Ziwa au bahari!

Kama wewe ni mtu unayejua kupambanua masuala, ukiyachanganua yale ambayo Membe ameyasema juzi utagundua kuwa ni mtu asiyejua hata mbinu za kisiasa lakini kikubwa zaidi hajui hata nafasi yake ndani ya CCM ya sasa!

Membe is no more as CCM member!
 
What was the timeline? Sky Eclat?

Member kasema walitakiwa wapeleke lini? Au katiba inasemaje?

What if wakipeleka november?

Hiki ni chama chao, naona mnalazimisha kuwa members humu, 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yaani sikujua kuwa Membe pamoja na sifa zote zile ni mjinga kiasi hicho. Lowassa alikuwa smart sana kuliko huyu jamaa lakini amefyata mkia kutokana na infrastracture ya CCM - wanajuana humo ndani. Huyu ni frustrations tu za kukosa madaraka ndizo zinazomsumbua kam Lowassa alivyosumbuliwa. Yaani anaamanini kuwa ana nguvu kwenye Halmashauri kuu ya CCM wakati mwenyekiti wake ni huyo huyo anyempinga? Wenye busara walisema akikushinda, shirikiana naye, usijaribu kunyang'anyana upanga na mtu aliyeshika mpini wake. Kiongozi anayekosa busara hiyo hafai kabisa kupewa madaraka ya nchi. Hata Kikwete alishirikiana na Mkapa kwa miaka kumi, hakupambana naye na mwishowe ndiyo akapata nafasi yake. membe bado ana nightmares za 2015
 
Chakaza haya maswali kwenye siasa ni childish

Wanarudi madarakani na la kufanya jadili kuwaondoa madarakani, sio ccm wewe

Katiba zinachezewa

Na ukimsikiliza Membe kalaumu mapendekezo kutoka nje ya kikao na yaka mhukumu. Waliotoa nje ya kikao anaweza kuwa mfagizi aliiba au secretary hakuna mtu ndani ya ccm anayeweza kusema kahusika kuvujisha kwenye media na ikawa kama official

It is interesting we have shifted now to be " CCM by default"

Hivi Chakaza uko serious kabisa unaamini JPM na followers wake na CCM hii na NEC hii wanamwogopa Membe?? I mean uko serious kabisa?

Yoh may need a doctor
Waberoya
Bado tunakuuliza swali la msingi, je ni kwanini hao akina Magu na Dkt Bashiru, wa-skip kulipeleka suala la Membe kwenye Halmashauri Kuu ya CCM?

Wewe unafahamu kuwa Katiba ya Chama ndiyo nguzo ya chama.

Hivi inakuwaje chama kikongwe kama cha CCM kiamue kuivunja Katiba yake yenyewe kwa makusudi kabisa?

Nimeamini maneno ya wahenga waliposema kuwa mtu aliyezoea kula nyama ya mtu hatweza kuacha...........

Kwa kuwa Jiwe amezoea kuivunja Katiba ya nchi atakavyo, akawa ameshazoea, kwa hiyo akaona aendelee na kuivunja na Katiba yake ya chama........

Sasa huko amekutana na wajuzi...

Wameapa kuwa safari hii, hachomoki ng'oooo
 
Na ile Jumatatu aliyoisema Membe, kuwa atatinga Dodoma, kwenda chukua fomu yake ya Urais ndiyo ishafika...........

Ngoja tusubiri tuone kama Dkt Bashiru, kama tulivyowazoea mbinu zao, watatia komeo geti kuu la kuingilia, tena ndani ya ulinzi mkali!

Membe amshakanusha kuwa Clip iliyosambaa kuwa J3 atachukuwa Form sio halisi, imechakachuliwa.

Anyway nahisi Membe ni New version ya Lowasa na Sumaye tu kuja kimkakati kuuwa upinzani.

I don't trust him
 
Membe ametoa madai mazito sana kuwa Katiba ya CCM haikufuatwa katika kufukuzwa kwake ndani ya Chama

Kwani amedai kuwa ni takwa la kikatiba, anapofukuzwa kiongozi yeyote wa ngazi za juu katika chama hicho ni LAZIMA jambo lake lingejadiliwa ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ndipo uamuzi ufikiwe.

Jambo ambalo halikufanyika katika kufikia uamuzi wa kufukuzwa kwake. Kwani mwenyewe anadai kuwa "process" ilikuwa haijakamilika, kwa kuwa kikao kilichomjadili kilikuwa ni kikao cha Kamati Kuu pekee, wakati mchakato ulikuwa haujakamilika, kwa kuwa kikao chenye uamuzi wa mwisho, ambacho ni kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ilikuwa haijakaa.
Eeenh...Heee, mkuu 'Mystery,' inaeleweka sana na kukubalika kuja hapa JF na 'Heading' kubwa kama hiyo uliyotumia hapo juu.

Nasema inaeleweka, kwa sababu wengi wetu ndiko matumaini yetu makuu yanakolenga; kwamba hatimae mtafaruku utatokea na ipatikane njia ya kulegeza kama sio kubomoa kabisa chanzo cha huzuni inayoikumba taifa letu.

Haya matumaini siyo ya kweli mkuu wangu.

Kwanza wewe mwenyewe fikiria hiyo "Katiba?", makaratasi ya chama ambacho anakimiliki mwenyewe, umnyime usingizi, kwa sababu zipi hasa!
Unategemea katiba ya chama, huku ukijisahaulisha "KATIBA KUU", ambayo kila mmoja wetu angepashwa kuiangalia kama msahafu wa nchi yetu..., tunaona inakanyagwa na hakuna wa kusema lolote?

Sasa unataka kuaminisha wakuu hapa JF, kwamba 'kikatiba' ka CCM, chama ambacho ni kama mali yake itamfanya asite kuitupilia mbali na kufanya atakavyo yeye?

Ni nani mwenye ubavu ndani ya chama kile, aliyebaki na kusimama kuitetea hiyo katiba takataka. Membe anasemea pembeni, na hana njia yoyote tena ya kumrudisha ndani wakati huu.

Hizi ni kelele zake za mwisho, na baada ya hapo hutamsikia tena.
 
What was the timeline? Sky Eclat?

Member kasema walitakiwa wapeleke lini? Au katiba inasemaje?

What if wakipeleka november?

Hiki ni chama chao, naona mnalazimisha kuwa members humu, 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
1592796852464.jpeg
 
Eeenh...Heee, mkuu 'Mystery,' inaeleweka sana na kukubalika kuja hapa JF na 'Heading' kubwa kama hiyo uliyotumia hapo juu.

Nasema inaeleweka, kwa sababu wengi wetu ndiko matumaini yetu makuu yanakolenga; kwamba hatimae mtafaruku utatokea na ipatikane njia ya kulegeza kama sio kubomoa kabisa chanzo cha huzuni inayoikumba taifa letu.

Haya matumaini siyo ya kweli mkuu wangu.

Kwanza wewe mwenyewe fikiria hiyo "Katiba?", makaratasi ya chama ambacho anakimiliki mwenyewe, umnyime usingizi, kwa sababu zipi hasa!
Unategemea katiba ya chama, huku ukijisahaulisha "KATIBA KUU", ambayo kila mmoja wetu angepashwa kuiangalia kama msahafu wa nchi yetu..., tunaona inakanyagwa na hakuna wa kusema lolote?

Sasa unataka kuaminisha wakuu hapa JF, kwamba 'kikatiba' ka CCM, chama ambacho ni kama mali yake itamfanya asite kuitupilia mbali na kufanya atakavyo yeye?

Ni nani mwenye ubavu ndani ya chama kile, aliyebaki na kusimama kuitetea hiyo katiba takataka. Membe anasemea pembeni, na hana njia yoyote tena ya kumrudisha ndani wakati huu.

Hizi ni kelele zake za mwisho, na baada ya hapo hutamsikia tena.
Kalamu1
Najua kuwa Jiwe ameamua kuisigina Katiba ya nchi atakavyo......

Lakini hicho ndiyo kiapo alichokula kabla ya kuingia madarakani?

Hiyo najua ni ulevi wa madaraka uliyopindukia...........

Sasa ngoja tuwasubiri wenye chama chao, wamuonyeshe mlango wa kutokea huyo Jiwe, anayeamini kuwa "there is nobody to defeat him"
 
Back
Top Bottom