Tetesi: Mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM

Kwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama kikubwa, hivi sasa kunatokota na sisi wananchi tusubiri, kwa kuwa yajayo yanafurahisha au kukarahaisha.............

Membe ametoa madai mazito sana kuwa Katiba ya CCM haikufuatwa katika kufukuzwa kwake ndani ya Chama

Kwani amedai kuwa ni takwa la kikatiba, anapofukuzwa kiongozi yeyote wa ngazi za juu katika chama hicho ni LAZIMA jambo lake lingejadiliwa ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ndipo uamuzi ufikiwe.

Jambo ambalo halikufanyika katika kufikia uamuzi wa kufukuzwa kwake. Kwani mwenyewe anadai kuwa "process" ilikuwa haijakamilika, kwa kuwa kikao kilichomjadili kilikuwa ni kikao cha Kamati Kuu pekee, wakati mchakato ulikuwa haujakamilika, kwa kuwa kikao chenye uamuzi wa mwisho, ambacho ni kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ilikuwa haijakaa.

Jambo linaloshangaza ni kuwa tokea madai hayo yatolewe na Membe, hakuna kiongozi yeyote wa ngazi ya juu wa CCM, aliyejitokeza kujibu tuhuma hizo

Kwa madai mazito kama hayo, ni kwanini hadi sasa chama cha CCM, kimeamua kukaa kimya, kisitoe majibu yoyote, kwa madai hayo ya Membe?

Inaelekea kuna mfukuto mkubwa sana huko kwa majirani zetu wa CCM

Ni dhahiri sasa kama alichoongea mwenyewe Membe, kuwa tufanye subira kati ya mwezi huu wa June hadi October ya mwaka huu, lolote lisilotegemewa na wananchi wengi litatokea katika nchi hii na litaleta kishindo kikubwa sana!

Subira yavuta kheri, ngoja tusubiri ili tuyashuhudie yatakayojiri

Kwanza jasusi sio mwana chama wa CCM pili walio nyuma yake ni bavicha, sasa mpasuko uko wapi, au umeamuka na hang over?
 
Membe aliyoyasema kwenye mkutano wake na wanakijiji pamoja na majirani zake, huko kwao - yalikuwa yamelenga kuwafurahisha hao wanakijiji tu.

Na yeye mwenyewe kujisikia bado anapendwa na wanakijiji. Si vinginevyo.
Na pale hakuwapo mwanakijiji, alikuwa yeye na mpigapicha wake na yule alokaa pembeni, wakitumia sauti za kulekodi kwenye computer,
Pale anatengeneza dili ili vyama vya upinzani vimchukue.
 
Kama anavuma sana mitandaoni ni dhahiri kwamba ukizima data hautamsikia
Alieleta mpasuko ndani ya chama ni Lowasa tu ila nae mwisho wa siku aliwekwa sawa. Hawa wengine wanatapatapa tu katika hatua za mwisho kujifia kisiasa
Na bahati mbaya Lowasa ameiachia laana hii trend ya kuhama chama dola ukagombee urais chama cha upinzani, hamna chama kitawaamini tena wanaohama Ccm kwenda kugombea urais kwao. Kwahiyo kiufupi Membe ndo ameisha hivo kimchezo mchezo
 
Mbobezi hakuweza kuzuia katiba kuvunjwa????

Wasipomjibu utawafanya nini??

Jenga kwako

Nguvu ya JPM haina mpinzani ndani au nje

Sio vizuri kukosa upinzani ndani au nje, ila hawapo

Mwenzio anakanusha maneno yake umebaki gizani
Waberoya
Wewe mpe hiyo misifa tu Jiwe ambayo hana.........

Hivi kuwa madarakani na kuvimiliki vyombo vya dola ndiyo huwezi fanwa chochote na wananchi?

Hebu jiulize Al-Bashir hakuwa na vyombo vya dola?

Yuko wapi sasa hivi?

Hebu jiulize tena, hivi Mugabe hakuwa na vyombo vya dola?

Lakini aling'olewa madarakani, huku haamini yanayotokea

Hebu jiulize pia Mobutu hakuwa na vyombo vya dola alivyoona yeye mwenyewe ndiye anayevimiliki?

Naye si aling'olewa madarakani bila kupenda?

Huyu Jiwe kama anataka kudumu madarakani, basi "asijimwambafai" na kuamini kuwa hapa TZ kawaweka wananchi wote mfukoni mwake, Bali ajinyenyekeze na atekeleze majukumu yake kwa mujibu wa Katiba yake ya Chama na Katiba ya nchi, kinyume cha hivyo nakuapia kuwa hatadumu madarakani!
 
Sasa Kumekucha
Jogoo Limewika Dodoma
kada wa ccm....... apewe kura za ndiyo.
yupo wap, yupo wap?
yule pale mmemuonaaa... apewe kura za ndiyo.
tieni tieni kwa moyooo mmmojaaaa nambari wani eeeh nambari one ni ccm.
asee haka kawimbo kana sisimua sana

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Yaani sikujua kuwa Membe pamoja na sifa zote zile ni mjinga kiasi hicho. Lowassa alikuwa smart sana kuliko huyu jamaa lakini amefyata mkia kutokana na infrastracture ya CCM - wanajuana humo ndani. Huyu ni frustrations tu za kukosa madaraka ndizo zinazomsumbua kam Lowassa alivyosumbuliwa. Yaani anaamanini kuwa ana nguvu kwenye Halmashauri kuu ya CCM wakati mwenyekiti wake ni huyo huyo anyempinga? Wenye busara walisema akikushinda, shirikiana naye, usijaribu kunyang'anyana upanga na mtu aliyeshika mpini wake. Kiongozi anayekosa busara hiyo hafai kabisa kupewa madaraka ya nchi. Hata Kikwete alishirikiana na Mkapa kwa miaka kumi, hakupambana naye na mwishowe ndiyo akapata nafasi yake. membe bado ana nightmares za 2015
Ni sahihi mkuu na naamin huyu jamaa atakuwa na bahati sana kutoka salama kwenye hili. Kwa kawaida dola zina nguvu sana na zinaweza kufanya chochote na kwa yoyote. Kwa dunia ya tatu ambako unakuta dola zimejaa chuki na visasi hali huwa ni ya hatari zaidi wakikushndwa mchana basi watakusaka hata huko gizani wakumalize.

Huyu jamaa angetulia tu, kama anakubalika angerudi tu 2025 au hata miaka ya huko mbeleni, wkt watu wamebadilika na siasa zipo kivngine.

Mbona Wade wa kule west afrika alipata urais akiwa na miaka zaidi ya 70 au huyu rais wa sasa wa sauzi kuna wkt alitengwa kabisa na watawala, lakn yeye hakupimana ubavu na kujibishana na watawala alikaa pembeni kabisa akawa kimya kwa miaka mingi tu lakin leo hii jamaa ndo kakamata nchi.

Wakat mwngne subra huvuta heri.
 
Hivi wale wabunge wa chadema waliofukuzwa walipewa nafasi ya kujitetea tuanzie hapo au huo ulikuwa sio ukiukwaji wa katiba maana hata Prof.Safari alipinga baada ya hapo chadema ilipasuka vipande
 
Kwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama kikubwa, hivi sasa kunatokota na sisi wananchi tusubiri, kwa kuwa yajayo yanafurahisha au kukarahaisha.............

Membe ametoa madai mazito sana kuwa Katiba ya CCM haikufuatwa katika kufukuzwa kwake ndani ya Chama

Kwani amedai kuwa ni takwa la kikatiba, anapofukuzwa kiongozi yeyote wa ngazi za juu katika chama hicho ni LAZIMA jambo lake lingejadiliwa ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ndipo uamuzi ufikiwe.

Jambo ambalo halikufanyika katika kufikia uamuzi wa kufukuzwa kwake. Kwani mwenyewe anadai kuwa "process" ilikuwa haijakamilika, kwa kuwa kikao kilichomjadili kilikuwa ni kikao cha Kamati Kuu pekee, wakati mchakato ulikuwa haujakamilika, kwa kuwa kikao chenye uamuzi wa mwisho, ambacho ni kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ilikuwa haijakaa.

Jambo linaloshangaza ni kuwa tokea madai hayo yatolewe na Membe, hakuna kiongozi yeyote wa ngazi ya juu wa CCM, aliyejitokeza kujibu tuhuma hizo

Kwa madai mazito kama hayo, ni kwanini hadi sasa chama cha CCM, kimeamua kukaa kimya, kisitoe majibu yoyote, kwa madai hayo ya Membe?

Inaelekea kuna mfukuto mkubwa sana huko kwa majirani zetu wa CCM

Ni dhahiri sasa kama alichoongea mwenyewe Membe, kuwa tufanye subira kati ya mwezi huu wa June hadi October ya mwaka huu, lolote lisilotegemewa na wananchi wengi litatokea katika nchi hii na litaleta kishindo kikubwa sana!

Subira yavuta kheri, ngoja tusubiri ili tuyashuhudie yatakayojiri
Sasa unataka ajibiwe kama nani? Angekuwa mwana CCM sawa, vinginevyo hatuna muda wa kumjibu kila mtu.
 
Jamani mnashindwaje kuelewa kwamba Membe anatumika kama alivotumika Lowasa. Yaani ni chambo flani hivi.
Mbona wepesi wa kusahau na wavivu kufikiri watanzania wenzanguuu.
 
Ni sahihi mkuu na naamin huyu jamaa atakuwa na bahati sana kutoka salama kwenye hili. Kwa kawaida dola zina nguvu sana na zinaweza kufanya chochote na kwa yoyote. Kwa dunia ya tatu ambako unakuta dola zimejaa chuki na visasi hali huwa ni ya hatari zaidi wakikushndwa mchana basi watakusaka hata huko gizani wakumalize.

Huyu jamaa angetulia tu, kama anakubalika angerudi tu 2025 au hata miaka ya huko mbeleni, wkt watu wamebadilika na siasa zipo kivngine.

Mbona Wade wa kule west afrika alipata urais akiwa na miaka zaidi ya 70 au huyu rais wa sasa wa sauzi kuna wkt alitengwa kabisa na watawala, lakn yeye hakupimana ubavu na kujibishana na watawala alikaa pembeni kabisa akawa kimya kwa miaka mingi tu lakin leo hii jamaa ndo kakamata nchi.

Wakat mwngne subra huvuta heri.
Ni Mungu pekee ajuaye siku za kuishi kwetu hapa duniani

Ni makosa makubwa kumpa binadamu yoyote amayeishi hapa duniani utukufu alionao Mungu pekee

Huyo Jiwe wenu, ingekuwa vyema "asijimwambafai" na atekeleze majukumu yake kwa mujibu wa Katiba ya chama chake kilichomuweka madarakani na aitii Katiba ya nchi

Akifanya kinyume cha hapo, akijiaminisha kuwa anavyo vyombo "vyake" vya dola, anavyoweza kuviagiza vikafanya yale ayatakayo, hakika namtabiria kuwa safari yake ya kuwepo madarakani, hakika siku zake zilizobaki siyo nyingi sana
 
Kwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama kikubwa, hivi sasa kunatokota na sisi wananchi tusubiri, kwa kuwa yajayo yanafurahisha au kukarahaisha...

Membe ametoa madai mazito sana kuwa Katiba ya CCM haikufuatwa katika kufukuzwa kwake ndani ya Chama

Kwani amedai kuwa ni takwa la kikatiba, anapofukuzwa kiongozi yeyote wa ngazi za juu katika chama hicho ni LAZIMA jambo lake lingejadiliwa ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ndipo uamuzi ufikiwe.

Jambo ambalo halikufanyika katika kufikia uamuzi wa kufukuzwa kwake. Kwani mwenyewe anadai kuwa "process" ilikuwa haijakamilika, kwa kuwa kikao kilichomjadili kilikuwa ni kikao cha Kamati Kuu pekee, wakati mchakato ulikuwa haujakamilika, kwa kuwa kikao chenye uamuzi wa mwisho, ambacho ni kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ilikuwa haijakaa.

Jambo linaloshangaza ni kuwa tokea madai hayo yatolewe na Membe, hakuna kiongozi yeyote wa ngazi ya juu wa CCM, aliyejitokeza kujibu tuhuma hizo

Kwa madai mazito kama hayo, ni kwanini hadi sasa chama cha CCM, kimeamua kukaa kimya, kisitoe majibu yoyote, kwa madai hayo ya Membe?

Inaelekea kuna mfukuto mkubwa sana huko kwa majirani zetu wa CCM

Ni dhahiri sasa kama alichoongea mwenyewe Membe, kuwa tufanye subira kati ya mwezi huu wa June hadi October ya mwaka huu, lolote lisilotegemewa na wananchi wengi litatokea katika nchi hii na litaleta kishindo kikubwa sana!

Subira yavuta kheri, ngoja tusubiri ili tuyashuhudie yatakayojiri
Katiba ipi ifuatwe wakati walishamilikisha chama kwa mtu binafsi, mmiliki wa chama ndie mwenye maamuzi.Huwa hawaelewi wameshachelewa wao watulie tu.
Kama katiba ya nchi tu haifuatwi sembuse ya chama.
Walidhani namba zitawahusu wapinzani tu.
Huu ni mwanzo tu part two yaja Kali zaidi kusitisha ukomo ni lzm.
 
Waberoya
Jibu hoja usilete mipasho.......

Je ndani ya Katiba ya CCM, ndivyo utaratibu unavyotakiwa kufanywa kama alivyofanyiwa Membe, kufukuzwa kwenye chama, bila hatua hiyo kuidhinishwa na kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM?
Mwenye chama ndie mwenye maamuzi na si wanachama
 
Kwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama kikubwa, hivi sasa kunatokota na sisi wananchi tusubiri, kwa kuwa yajayo yanafurahisha au kukarahaisha...

Membe ametoa madai mazito sana kuwa Katiba ya CCM haikufuatwa katika kufukuzwa kwake ndani ya Chama

Kwani amedai kuwa ni takwa la kikatiba, anapofukuzwa kiongozi yeyote wa ngazi za juu katika chama hicho ni LAZIMA jambo lake lingejadiliwa ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ndipo uamuzi ufikiwe.

Jambo ambalo halikufanyika katika kufikia uamuzi wa kufukuzwa kwake. Kwani mwenyewe anadai kuwa "process" ilikuwa haijakamilika, kwa kuwa kikao kilichomjadili kilikuwa ni kikao cha Kamati Kuu pekee, wakati mchakato ulikuwa haujakamilika, kwa kuwa kikao chenye uamuzi wa mwisho, ambacho ni kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ilikuwa haijakaa.

Jambo linaloshangaza ni kuwa tokea madai hayo yatolewe na Membe, hakuna kiongozi yeyote wa ngazi ya juu wa CCM, aliyejitokeza kujibu tuhuma hizo

Kwa madai mazito kama hayo, ni kwanini hadi sasa chama cha CCM, kimeamua kukaa kimya, kisitoe majibu yoyote, kwa madai hayo ya Membe?

Inaelekea kuna mfukuto mkubwa sana huko kwa majirani zetu wa CCM

Ni dhahiri sasa kama alichoongea mwenyewe Membe, kuwa tufanye subira kati ya mwezi huu wa June hadi October ya mwaka huu, lolote lisilotegemewa na wananchi wengi litatokea katika nchi hii na litaleta kishindo kikubwa sana!

Subira yavuta kheri, ngoja tusubiri ili tuyashuhudie yatakayojiri
Tunaimani na mnogeshaji
 
Back
Top Bottom