covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
Mbagala maji matitu - maana yk mbagala maji machunguMBAGALA the dead city,
Kuhama pekee ndio lilikuwa suluhisho!!
Kuna sehemu ukikaa ujue umejikataa teyri lazima mikosi ifuate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbagala maji matitu - maana yk mbagala maji machunguMBAGALA the dead city,
Kuhama pekee ndio lilikuwa suluhisho!!
Maji MATITU=Maji meusi.Mbagala maji matitu - maana yk mbagala maji machungu
Kuna sehemu ukikaa ujue umejikataa teyri lazima mikosi ifuate
Home sweet homMaji MATITU=Maji meusi.
Dasalamu wilaya ya temeke mkuuMbagala iko Lindi au Mtwara?
Nilishawahi kuona magari ya huko eneo la Temeke
Buza je unapasikiaDuh, dar kubwa sana. Ndo mara ya kwanza nasikia hilo eneo mbagala saku
Aisee hapa umeongeaUnaweza ukakuta watu wamejenga juu ya mkondo wa maji wa chini na sasa uzito umekuwa mkubwa, ardhi inatitia...
Kwa mpalange?Buza je unapasikia
Kumbe iko jirani na ninapokaa.Dasalamu wilaya ya temeke mkuu
Wee upo wapi mkuu...Kumbe iko jirani na ninapokaa.
Astakafillah astakafillah astakafillah mara 7Poleni huku tuko bar
Mkuu nahisi ni tetesiWakuu toeni taarifa vizuri huku wengine tuna jamaa zetu aisee!
Mwanagati je amepasikia?Buza je unapasikia
Daaah ndo wengine nyumbani huko kwanini upachukie mkuuNikisikia neno Mbagala hua najwa na hasira na sijajua sababu nini
Daah mkuu 😂 🙌 ukorofi huu sasaMwanagati je amepasikia?