Mpasuko mkubwa wa Ardhi watokea Mbagala Saku. Baadhi ya nyumba za watu zaripotiwa kubomoka

Mpasuko mkubwa wa Ardhi watokea Mbagala Saku. Baadhi ya nyumba za watu zaripotiwa kubomoka

Screenshot_20240528-010652.png
 
Ni kweli habari hii imeonyeshwa kwenye habari ya saa 2 usiku ITV!

Majibu ya DC wa Temeke amesema watawasiliana na Chuo Kikuu ili wataalamu wa miamba waende kujua tatizo ni nini na chanzo chake ni nini!

Walionyesha nyumba nyingi zikiwa na nyufa kubwa na nyingine zikiwa zimeporomoka kabisa! Baadhi ya sehemu kulikuwa na maji yaliyokuwa yakitoka chini ya ardhi kama chemichemi hivi.

Taarifa haikueleza kama kulikuwa na watu waliopoteza maisha au kujeruhiwa!
 
Back
Top Bottom