Mpasuko mkubwa wa Ardhi watokea Mbagala Saku. Baadhi ya nyumba za watu zaripotiwa kubomoka

Mpasuko mkubwa wa Ardhi watokea Mbagala Saku. Baadhi ya nyumba za watu zaripotiwa kubomoka

Mbagala kwa walalahoi wanaojipapatua .,Yani huko mbagala kuna kila aina ya vurugu. Utakutana na supu ya ngozi,utumbo wa kuku,supu ya kichwa cha kuku na miguu yake.

Nimeishi mbagala kibonde maji,kongowe,
 
Hii sijui ni tetemeko au ni kitu gani, wataalamu tunaomba mfuatilie na mtupatie majibu, Ardhi inapasuka na nyumba zinabomoka, eneo ni Saku Mwisho Dsm
Kuna Uzi humu JF unasema eneo la saku, majimatitu huu mji umejengwa juu ya makaburi ya watu flan katika ulimwengu wa kiroho,

Unasema maeneo hayo hakuna ustawi wa binadamu zaidi ya uharibifu, anaenda mbele zaidi anasema hakuna biashara inaazishwa isifilisike

Labda Mungu aliye mkuu ameamua kuingilia kati
 
Mbagala kwa walalahoi wanaojipapatua .,Yani huko mbagala kuna kila aina ya vurugu. Utakutana na supu ya ngozi,utumbo wa kuku,supu ya kichwa cha kuku na miguu yake.

Nimeishi mbagala kibonde maji,kongowe,
Je Manzese utasemaje?
 
Mkuu Kuna Uzi wako humu kuhusi mbagala ulijuwa au ni coincidence
IPO video U-Tube UNYAKUO TV isemayo Mbagala mji wa wafu- Nabii Boniface Victor miezi 8 iliyopita.

Mimi miezi kama mitatu iliyopita, baada ya kuisikiza na kuichambua na kuthibitisha, niliandika Thread humu, kilichotokea, Ile nataka kupost, ikadissapear mazima, nilivunjika moyo siku rudia tena, Hadi majuzi nasikia tukio Hilo eneo Hilo Hilo.

Video inasema Kuna JOKA kubwa lenye Vichwa vingi, ndipo kilipo KITI Cha enzi Cha muungu wa Nchi hii. Sasa mpasuko na tetemeko Hilo ni Ishara ya Ushindi dhidi ya nguvu za Giza, Nchi yetu itapiga hatua kubwa sana kiuchumi, kisiasa, Kijamii, kiimani Kwa haraka sana baada ya tukio Hilo.

Ni vyema ukaisikiza video hiyo, ni fupi ti ya dakika zipatazo 17.

Ubarikiwe.
 
Kuna Uzi humu JF unasema eneo la saku, majimatitu huu mji umejengwa juu ya makaburi ya watu flan katika ulimwengu wa kiroho,

Unasema maeneo hayo hakuna ustawi wa binadamu zaidi ya uharibifu, anaenda mbele zaidi anasema hakuna biashara inaazishwa isifilisike

Labda Mungu aliye mkuu ameamua kuingilia kati
Saku frem kibao zimelala yoo pale pazito hapana Nuru nilikaa Mwezi nikakimbia!
Pagumu sana kutokana na location na Sio hayo maswala ya kiza kama watu wanavyojaribu kutuaminisha!
 
Wale watu hata itokee leo serikali iwape viwanja chanika hawaendi. Wanapenda kujenga kwa kuhemeana sijui ndo wanaita udugu. Waswahili wagumu sana
 
Back
Top Bottom